Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,149
- 55,167
Mbn unacheka tena🤣🤣🤣🤣
Mbn unacheka tena🤣🤣🤣🤣
Wewe ndio mimi aisee, kumbe tupo wengiTunatofautiana mi nkiwaga na upwiru mda mrefu nakua na hasira nakua na chuki flan Kwa wanawake utendaji wangu kwenye mambo ya kawaida unakua mdogo nikipiga tu show nakua mwepesiiiiii nakua na raha flan hv hata nakua na upendo kwa watu wote nakua vizuri kisaikolojia
😂😂😂😂😂😂.upumbavu wa nyeto ndio huo..Unachokaq kijinga ahalf ukiiendekeza hata memory hako inapata walakin ku store na ku retrieve stuffs kwa harakasasa ulimwengu wa nyeto upo ww, maji na sabuni ujikamuee weee mda linakuja kwenye joint kama panavunjika hv mwili unakosa balance dah nyeto kumbafu sana
Kwa hiyo ww huwezi hata kum text mtu wako yaan within 24 hrs unakosa hata 2 hrs + za ku communicate nj soul mate wako ?Hivi karne hii ukijibu kila SMS kweli kunakitakachofanyika au utafanya kazi ya kuandikiana SMS.., Kumbuka sasa hivi ni information at your fingertips (dunia nzima unayo kiganjani).
Kwahio hio ni tabia ya mtu wengine sio watu wa SMS sasa abadilike ili tu akuridhishe wewe..., nadhani cha maana ni kutafuta mtu anayependa hayo mambo...
Duh mkuu unless hio ni hobbie ya mtu mbona huo ni kama mtihani..., lakini uzuri ni kwamba kama ni soulmate wako mwenye hobbie sawa basi mtakuwa mnaongelea vitu ambavyo ni interesting kwenu nyote sio leo jua limewaka au ninakusalimia tu au just making conversation for the sake of conversation......Kwa hiyo ww huwezi hata kum text mtu wako yaan within 24 hrs unakosa hata 2 hrs + za ku communicate nj soul mate wako ?
Ukute hata humu mtu analeta threads unawaza saa anaaandika alikua anawaza nn kumbe mwenzetu upwiru umemkaba kooWewe ndio mimi aisee, kumbe tupo wengi
Una umri gan kwanza ?Duh mkuu unless hio ni hobbie ya mtu mbona huo ni kama mtihani..., lakini uzuri ni kwamba kama ni soulmate wako mwenye hobbie sawa basi mtakuwa mnaongelea vitu ambavyo ni interesting kwenu nyote sio leo jua limewaka au ninakusalimia tu au just making conversation for the sake of conversation......
Nimegundua una changomoto, ?Kwa maswali haya huenda ndio maana ulikuwa hujibiwi SMS...,
Kataa ndoaKATAA MAHUSIANO
AMINA KUBWAKataa ndoa
😀😀😀 Sio kwa hisia sana ndo uhalisia kama hutak upweke na pia mahusiano yanakuchanganyaOyaaa umeandika kwa hisia sanaa
Kwahio ni selfish anajali nafsi yake na maumivu yake kuliko yako ? Sijasema akiwambia hakupendi bali nimesema anayekudanganya huenda anakupenda - anakuepusha na consequences / maumivuYuko mmoja huyo kaniambia kuwa nna deserve better...na akanambia kuwa ana guilty feelings due amecheat...kwa upande wangu naona mwanamke akikwambia ukwel yawezkana ni kutafuta namna ya kutibu nafsi yake lakin si kwamba hakupendi
Kuna ukweli haujengi sanasana unabomoa tu (kama una uhakika hautajulikana na ulifanyika kwa bahati mbaya / tamaa) ile trust kwamba fulani hawezi kuku-let down au kufanya kitu fulani ikishavunjika it will never come back (nothing will ever be same)....., Wanasema Ignorance a BlissHurt me for the Truth but never comfort me with lies!
Kumfariji tu mtu inaua zaidi Mkuu mchane mapema afanye mambo yake tu ... hio utakuja kumuimiza vibaya sana !!Kuna ukweli haujengi sanasana unabomoa tu (kama una uhakika hautajulikana na ulifanyika kwa bahati mbaya / tamaa) ile trust kwamba fulani hawezi kuku-let down au kufanya kitu fulani ikishavunjika it will never come back (nothing will ever be same)....., Wanasema Ignorance a Bliss