Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,666
- 7,111
Ulikuwa ni the other option... ila bora wewe, ushawahi ambiwa "Goodnight!" Saa nane ("8") mchana?! 😔Binafsi niliwah pitia mahusiano ambayo una mtext demu sms ila anakujibu baada ya 5 hrs au zaid so mm niliamua tu kuendelea na ratib zangu za vituo vinavyo fuata so alipokuja kugeuka nyuma alinikuta tayari nishabeba abiria mwingine yaan kimya kimya tu