Maana ya Single mother

Lamzettttt

JF-Expert Member
May 28, 2020
1,031
3,123
Salaam wakuu.... Katika pita pita zangu kwenye machapisho mbali mbali kwa mara ya kwanza ndio nimejua maana ya single maza kwamba
Single =ina simama kwamba mwanamke huyu yuko single na hayuko kwenye mahusiano na
Mother=inasimama kama mwanamke huyu anamtoto.

Kwahiyo singo maza kitafsiri ni mwanamke mwenye mtoto lakini hayupo kwenye mahusiano!!!!

Kama wewe unamtoto baba yake kakukimbia au mmeachana alafu una bwana huko nje anakula tunda kimasihara jipige kifuani wewe sio single mother wewe ni in relation mother ....
Wabongo kwa kingereza nyie😎!
 
double mother
 
Wengi wanao waongelea single mama hawana udhoefu nao, ni hadithi za kusimuliwa,
Ni wanawake poa Sana wanayajua Maisha na ni wavumilivu hwana mizinga ya ovyoovyo.
Wengi wamepitia vipindi vigumu vya mahusiano Kwa hiyo Huwa na tahadhari. Ni watafutaji him no kwaajili ya mtoto au watoto wake
 
Back
Top Bottom