Mng'ongo
JF-Expert Member
- Nov 13, 2013
- 243
- 191
Awe mkweli tuu kuwa alihonga kwa mchuchu maana km in two weeks alafu tume exchange na msela lazima nikurudishie bomu lakoYani ukabadilishana samsung J3 na Tecno
Wonders shall never end
Awe mkweli tuu kuwa alihonga kwa mchuchu maana km in two weeks alafu tume exchange na msela lazima nikurudishie bomu lakoYani ukabadilishana samsung J3 na Tecno
Wonders shall never end
Techno hata ikija model yake ikaitwa TECHNO MALAIKA ni buuuuuure tu.
NIlikuwa silijui hilo hadi pale nilipo badiri simu ndo nikatambua TECNO ni mwendo wa KINYONGAhabari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo lakin kilichonikuta kwakwel najuta na hiy k7 ni mpyaa sanaaa na ina finger print cha ajabu ina stuck kukik maelezo na ina gb 16 na ram 1 gb kwakwel nikawa nimeingia mkenge nilikuwa sina raha nayo haina mvuto kabisa wala mzuka baada ya kuitumia kam wiki mbil nikawa nimeichoka mno mambo yake ikanibid niiuze kwa elfu 80 hata sikujiuliza ninawaomb wanajamvi kama kuna mtu ana mpango wa kununua tecno hii k7 ni simu isiyo na kiwango narudieni tena tecno ni simu mbovu na majanga sijapata kuona nawasilisha
Mrembo kama hukuwahi tumia simu tofauti na tecno una haki ya kuandika ulicho andikaSijaona ubaya wake, Sana sana wewe ndo nakuona mshamba wa kutumia cm.
Nimetumia miaka na miaka, kama hujui kutumia cm usiseme ni mbovu... pye
Majibu yako niyaki mihemko......Huna lolote hujui tu kutumia
Duuh!!Kwanza nabishana na mwanamke si nitakuwa sina akili katafut wa saizi yako nyie mkipata kamera simu zenu zimetosha
Hongera kwa kujieleza haliyako ya uchumi.Sijaona ubaya wake, Sana sana wewe ndo nakuona mshamba wa kutumia cm.
Nimetumia miaka na miaka, kama hujui kutumia cm usiseme ni mbovu... pye
HUYOOOOOOOIII

Hiyo ni ignorance of consumer kwetu sisi wachumiBidhaa inayopatikana kwa wingi (pengine na bei yake ikawa chini mno) maranyingi huwa ni bidhaa isokukuwa bora
Kinyume chake
Bidhaa inayopatikana kwa uchache sokoni (na pengine hata bei yake ikawa ghali) mara nyingi huwa ni bidhaa bora
Na hapo ndo utajua kwanini wanasema...
"Kizuri chajiuza" na
"Kibaya chajitembeza"
Mi mwenyewe najuta hamna kitu inazingua kinyamakaka sijawah kutumia tecno ndo mara ya kwanza kwa muonekano wake nilijua ni kitu cha ukwel
Hongera ndugu yangu mi Tecno hata ukinipa bure naweza sahau hata kusema asante

Techno hamna kitu ipo slow na kila kitu ovyoMm Tecno yangu ipo Poa. Nikiingia Opera mini Sina tatizo. Inaonekana mmenunua simu zenu karume, tandale, mbagala za mafungu. Mtajijuuuuuuu mm nafurahia na iPad yangu Tecno
Samsung s8 edge babyTunaongea tu nyuma ya touchpad/keyboard lakini wengi wetu humu ndani tunatumia tecno