Nina mashaka na RAM zake..
Nafikiri una Bahati mbaya tu ninayo tecno L5 mwaka wa tatu huu Haina shida yeyoteUsizifie kitu usichojua kam toka uzaliwe umetumia tecno tumia hizo hiz ndo saiz yako kwa upeo wa mawazo yakk utaziona za maan wauliz wanaozielewa simu hata hao wanaoouza madukan humkut anatumia tecno najuta kuingizwa mkenge
Huu ndio ukweli japo ni mchungu kwa baadhi ya watu!!Hahah hizo Simu zinanunuliwa sababu ya umaskini tu mkuu.
Tecno huko China huwa zinatengenezwa "for export only" ina maana hakuna raia wa China anayeruhusiwa kuitumia wala kuiuza ndani ya China sasa ulitaka wazitumie harafu wangerudije? Jamaa wanatutengenezea vitu feki harafu wanatuletea hukuHuwezi amini, wakati nasimama pale nikawaambia watanzania wenzangu mbona hawa wenyewe hawatumii hizo tecno? Yaani bora wangekuwa nazo hata kwa ajili ya kuzugia tu ingetosha aiseee.
Kitu kikubwa ambacho watumiaji wengi wa Tecno hujivunia ni kukaa na chajiNadhani jamaa alikushisha simu mbovu tu kwa kusudi,nimetumia tecno tofauti tofauti zina uwezo wa kukaa na charge vzr sana,hazistuck ovyo,tofauti ya samsung na tecno ni kwenye touch,samsung is very sensitivelly,,,mengine mbwembwe tu

yaani kisa kuna umeme ndio uchaji simu baada ya masaa mawili? una raha sanaMpaka zama hizi bado unawaza chaji mkuu daah sasa umeme wa kazi gani
Bro sio iphone na samsung au Huawei tu kuna simu nyingi ziko poa saana kushinda hata baadhi ya model za samsung na Iphone , sema ni kwa vile hazijawa maarufu huku Africa.Kama huna iphone au samsung wewe huna simu. Ila una kifaa cha mawasiliano. Simu za tecno zina soko kwenye nchi za afrika kwa sababu ya unafuu wa bei yake na aina ya watumiaji wake. Ndio manaa zinauzwa kama njugu. Watu husema cheap is expensive amini. Kama unahitaji simu ya kukaa nayo muda mrefu tafuta iphone.. hawa ni mkataba. Halafu wanafatiwa na Samsung
Sio kwamba ni gale gale tu mkuu?hapa kila mtu anasifia alicho nacho bora mimi sijaisifia infinix yangu tehetehe
Mkuu hii kampuni ni matapeli kabisa mi sitaki hata kuiona mana ninadeal na simu nazijua hizi tecno ndomana hata ikiwa na tatizo ukaigoogle usitegemee utapewa majibu.habari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo lakin kilichonikuta kwakwel najuta na hiy k7 ni mpyaa sanaaa na ina finger print cha ajabu ina stuck kukik maelezo na ina gb 16 na ram 1 gb kwakwel nikawa nimeingia mkenge nilikuwa sina raha nayo haina mvuto kabisa wala mzuka baada ya kuitumia kam wiki mbil nikawa nimeichoka mno mambo yake ikanibid niiuze kwa elfu 80 hata sikujiuliza ninawaomb wanajamvi kama kuna mtu ana mpango wa kununua tecno hii k7 ni simu isiyo na kiwango narudieni tena tecno ni simu mbovu na majanga sijapata kuona nawasilisha
K7 awezi pita siku 2 bila kuletewa ina stuckhabari zenu wana jamvi yani nilikuwa nina samsung yangu nzur mno j3 2016 kioo amoled kuna rafiki yangu akaipenda kwel na alikuwa anatumia tecno K7 ikambid anipe hiy tecno aniongeze na hela kidogo lakin kilichonikuta kwakwel najuta na hiy k7 ni mpyaa sanaaa na ina finger print cha ajabu ina stuck kukik maelezo na ina gb 16 na ram 1 gb kwakwel nikawa nimeingia mkenge nilikuwa sina raha nayo haina mvuto kabisa wala mzuka baada ya kuitumia kam wiki mbil nikawa nimeichoka mno mambo yake ikanibid niiuze kwa elfu 80 hata sikujiuliza ninawaomb wanajamvi kama kuna mtu ana mpango wa kununua tecno hii k7 ni simu isiyo na kiwango narudieni tena tecno ni simu mbovu na majanga sijapata kuona nawasilisha