Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe

1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20)

2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10)

3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10)

4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10)

5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka 5 na miezi 5)

6. Samia Suluhu Hassan 2021 hadi Sasa.

Kati ya hawa Marais hakuna rais hata mmoja aliyefikia viwango vyq Julius Kambarage Nyerere kwenye nyanja mbali mbali kuanzia uchumi, demokrasia, diplomasia, na maendeleo ya jamii.
No comment..
Hatuwezi kuuzungumzia utawala ambao hatukuuona tukiwa na utambuzi.

Kwanza Nyerere mpaka kafa sikuwahi kumuona.

Wanaoweza kumchambua Nyerere fairly ni waliozaliwa 1960s au mwanzoni mwa 1970's.....ambao humu wanahesabika mno.
 
Kwa hakika hii comment inaeleza kwa usahihi jinsi elimu yetu iliyoshindwa na ni ngumu kujua hatima yetu.
Sasa kama kila mtu akitaka kujua wale aliowaona tu, mwisho wake unakuwaje!? USA na Japan waliofanikiwa walifundishwa historia ya miaka 400 nyuma na kwa vile waliielewa ndio maana wanajiita taifa leo.
Uliza Israel walifukuzwa miaka gani hapo wanapopapigania leo lakini mamia ya miaka walioishi uhamishoni tena maeneo tofauti tofauti bado wanaweza kutunza hadi lugha na tamaduni zao na kuwa tayari kufia nchi ambayo hawakuwai kuwaona waanzilishi wake mbali na kusimuliwa tu historia.
 
Kwa hakika hii comment inaeleza kwa usahihi jinsi elimu yetu iliyoshindwa na ni ngumu kujua hatima yetu...
Inafikirisha sana. Kama hatujui tulipotoka tunajuaje kuwa hapa tulipo saas ndiyo yalikuwa malengo ya wazazi wetu?

Kama hatujui historia yetu tunawezaje kujua kama Sasa tunasonga mbele ama tunarudi nyuma?
 
Kabisa alf hao wengn wamekaa 10 Yrs
JPM Ni 5 yrs uchumi ukapanda
Swali ni JPM kafanya mangapi ndani ya miaka 5 na miezi 5 hadi akafariki??
Kwa miaka aliyokaa Kwenye Kiti Cha Uraisi JPM hakuna mfano Wake Huo ndio Ukweli ALIHESHIMISHA FEDHA HAPA NCHINI TULISAHAU JERO TUKAITA MIA 5
NA MASKINI HAWAKUNYANYASWA NA MATAJIRI NA VIONGOZI WALIJUA WAJIBU WAO KUTEKELEZA SABABU WALIMUOGOPA MAGUFULI KUWATUMBUA
 
Hujawah kumuona
Hata kwenye Tv?
No comment..
Hatuwezi kuuzungumzia utawala ambao hatukuuona tukiwa na utambuzi.

Kwanza Nyerere mpaka kafa sikuwahi kumuona.

Wanaoweza kumchambua Nyerere fairly ni waliozaliwa 1960s au mwanzoni mwa 1970's.....ambao humu wanahesabika mno.
 
Kwa hakika hii comment inaeleza kwa usahihi jinsi elimu yetu iliyoshindwa na ni ngumu kujua hatima yetu.
Sasa kama kila mtu akitaka kujua wale aliowaona tu, mwisho wake unakuwaje!? USA na Japan waliofanikiwa walifundishwa historia ya miaka 400 nyuma na kwa vile waliielewa ndio maana wanajiita taifa leo.
Uliza Israel walifukuzwa miaka gani hapo wanapopapigania leo lakini mamia ya miaka walioishi uhamishoni tena maeneo tofauti tofauti bado wanawea kutunza hadi lugha na tamaduni zao na kuwa tayari kufia nchi ambayo hawakuwai kuwaona waanzilishi wake mbali na kusimuliwa tu historia.
Kweli mkuu,
Mimi history ya nchi yangu ninaijua kwa remarkable events tu.
Kama uhuru wenyewe, Muungano, Azimio la Arusha....hicho ni kipindi cha mwalimu.
Na hapo nimejitahidi sana.....

SaSa ukinibana nitoe analysis ya Nyerere as then President utakuwa hunitendei haki...sanasana nitakupa makaririsho tu.

We ukitaka uchambuzi anzia Rais Mwinyi kuja hadi kwa samia.
 
Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe

1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20)

2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10)

3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10)

4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10)

5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka 5 na miezi 5)

6. Samia Suluhu Hassan 2021 hadi Sasa.

Kati ya hawa Marais hakuna rais hata mmoja aliyefikia viwango vyq Julius Kambarage Nyerere kwenye nyanja mbali mbali kuanzia uchumi, demokrasia, diplomasia, na maendeleo ya jamii.
Mh 🤔 kwan masalia wa mataga wanasemaj?
 
Swali ni JPM kafanya mangapi ndani ya miaka 5 na miezi 5 hadi akafariki??
Kwa miaka aliyokaa Kwenye Kiti Cha Uraisi JPM hakuna mfano Wake Huo ndio Ukweli ALIHESHIMISHA FEDHA HAPA NCHINI TULISAHAU JERO TUKAITA MIA 5
NA MASKINI HAWAKUNYANYASWA NA MATAJIRI NA VIONGOZI WALIJUA WAJIBU WAO KUTEKELEZA SABABU WALIMUOGOPA MAGUFULI KUWATUMBUA
JPM alikuwa na GUTS za kutekeleza visions za wengine tu.

  • Bwawa la umeme, mpango ulikuwepo tangu enzi za Nyerere
  • Serikali Dodoma tangu enzi za Nyerere.

Ndio maana binafsi nadhani, Magufuli angekuwa na watu wa vision juu then yeye akawa mtekelezaji, angefanya wonders.

Maana JPM kwenye excution alikuwa vizuri.
 
No comment..
Hatuwezi kuuzungumzia utawala ambao hatukuuona tukiwa na utambuzi.

Kwanza Nyerere mpaka kafa sikuwahi kumuona.

Wanaoweza kumchambua Nyerere fairly ni waliozaliwa 1960s au mwanzoni mwa 1970's.....ambao humu wanahesabika mno.
Issue siyo kumchambua, issue ni Kuona alichokifanya mpaka leo kinaishi.

Nchi hii unaweza kutoka Lindi ukae da Tarime na huna ndugu, ila ukalala, ukala, ukapata kibarua na ukachinjiwa mbuzi au kuku.

Ukitaka kujua thamani ya alichofanya Nyerere nemda tu hapo Kenya. Hakuna Mkalenjin anatoka Eldoret kwenda Mlima Kenya kuishi, au Mjaluo anatoka Kisumu au Homa bay kwenda Eldoret. Hata salamu akifika huko hapati.
 
Dr.Samia Suluhu Hassan, kipenzi cha waTanzania wote, anaendelea kuupiga mwingi kwa maslahi mapana ya waTanzania na kwa mujibu wa katiba bila kubabaika na records za wengine katika kazi gentleman.

kwasababu kila zama na kitabu chake
 
kiongozi mwanaume dhidi ya mwanaume mwenzake tu uongozini hawafanani kiutendaji, sembuse kiongozi mchapakazi mwananake gentleman?

sometimes tunafanya comperison nonsense sana gentleman 🐒
Santino, mama yako wala hakupigiwa kura, aliambiwa amalizie ngwe ya awamu ya tano akajipachika ati awamu ya Sita, awamu zinapigiwa kura, sasa kan'ang'ania awamu sisui ya ngapi. Anavuruga kila kitu
 
Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe

1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20)

2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10)

3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10)

4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10)

5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka 5 na miezi 5)

6. Samia Suluhu Hassan 2021 hadi Sasa.

Kati ya hawa Marais hakuna rais hata mmoja aliyefikia viwango vyq Julius Kambarage Nyerere kwenye nyanja mbali mbali kuanzia uchumi, demokrasia, diplomasia, na maendeleo ya jamii.
Uchumi wenu na Mwalimu ndio ule wa viraka na kupanga foleni? 😁😁
 
HIVI UCHUMI UKISHUKA UNATANGAZWAGWA KAMA UCHUMI ULIOPANDA UNAVYOTANGAZWA?
 
Katika marais wa ovyo waliweka misingi mibovu inayotukosti hadi leo ni huyo babu yenu mchonga
 
Back
Top Bottom