Hakuna namna, ualimu ndio njia ya kutokea

Mie nadhani it suits women hii profession kuliko wanaume, ndio maana kuna kamsemo kanasema strong men merry teachers, wanawake ni walezi by nature.

Niliposoma comparative education nilikuja kugundua/ na imeandikwa nchi zilizoendelea walimu wanaume ni wachache sana, mathalan wingereza karibu 78% ya walimu wote ni WANAWAKE.

Kwanini wanawake na sio wanaume, WANAUME ndio wabeba mizigo, familia nk, tunahtaji kupata kipato kikubwa ili kuendeleza maisha, kusomesha nk. Sasa akina Evelyn Salt hawa ni wanawake, wanaume wenzangu kazi ipo, tusidanganyane eti ualimu kuna muda wa kutosha kufanya kazi za ziada, labda kama kwenu huko mlipo mna loopholes na hamsimamiwi hakuna wakuu wa shule makini.

Muda wa masaa ya serikali ni masaa 9 kwa wafanyakazi wote, una saini asubuhi 1:30 na kutoka uwe na kipindi huna ni saa 9.30 cjui ninyi hz muda wa kutosha mnapata wapi? Tena kada nyingine wenzetu akikaa mpk saa 11 sio kua kabanwa no anatumikia allowance na atapewa ama atajiandikia/andikiwa.

Kuna biashara huwezi simamia saa 10 mpk saa 12 ni uongo lazima uitaji muda wa kutosha, ikibd full time.

Ualimu ni kazi ambayo unaenda likizo, unafanya vikao, unafanya overtime bureeee na utapokea pesa tarhe 30 mpk 30 mwezi unaofuata ya mshahara wako tu tena uliokatwa na CWT

Ualimu ni kazi unayoweza dhurumiwa na huna pakusema wala kudai, maana hata bosi wa kazi yako kumjua ni issue, kazi ina wasimamizi kibao, juu ya mwalimu wa kawaida, kuna walimu wenzangu wa msingi wakimuona hata mratibu elimu kata wanatamani kujinyea. Ualimu suits women the most.

Mwisho tujue tunatofautiana matamanio, malengo, aina ya maisha tunapenda kuishi na vision.

Kuna mtu, kwa mf rafiki yangu mmoja aliajiriwa kufundisha primary, salary yake ni kama 270k alipoanza, aisee huyu alilidhika akawa bonge, kanenepeana kama tetea la bata hata ukimwambia kasome ufikie kidiploma anakwambia nisome ili iweje, kwake maisha ni kuwa na uhakika wa kula na nyumba ya vyumba viwili na sebure bila finishing basi, watoto wanasoma elimu kata bure maisha yamekoma.

Wenzangu na mie kila siku unaota kuendesha atleast VX, umeshindwa sana hata mark X, lazima ualimu usiwe kazi ya maana kwako, maana kupanda madaraja tu ni kesi mpk usugue magoti kumeomba mungu.

Ualimu hata usome ufike masterz hutatambulika kwa elimu hiyo uta push tu madaraja basi, sasa mpk nifikie daraja I lenye milioni 1 na point ni leo?

Life begins at 40 alafu wewe unasubiri kufika daraja I, lini?

Ualimu kwa wanaume kwa mtazamo wangu sisi wenye njozi kubwa ni sehemu ya kukusanya mtaji, or mark time area ukijiandaa kwa safari au mchakamchaka.

Kwa wanawake ninyi fieni humo tu kwasababu mnafanyakazi kutafta pesa ya saloon na mashindano ya mavazi stuff. Kila siku mnachukiana kwa mashindano ya kuuza bagia na karanga stuff

Mkuu umenikuna sana
 
Ni kweli nilikuwa nikisubiri kwa hamu kupata hiyo ajira lakini sasa hivi cha moto nakiona ila kinachonisikitisha ni kuona ubaguzi unaofanywa na serikali yetu kwa kuamua kulipa wafanyakazi wa kada nyingine mishaara mirefu alafu wengine mishaara kiduchu na bila kupewa posho yoyote. Mimi hapa kwenye halmashauri niliyopo kuna kambi ya jeshi na watu wa game reserve ndo watu waliojenga nyumba na kutupangisha sisi walimu alafu wanakula bata kama kawaida na kusaidia kwao.
Ongea mengine acha kabisa habari ya game, weka mbali na watoto, ualimu unalalamika hivyo game utaiweza?
 
Kuna walimu nafanya nao kazi wanaume, ni watu wenye pesa tu wana biashara zao kubwa wana nyumba zao wamwpangisha, haya mambo kila mtu na akili zake kwenye huu huu ualimu ukiamua kua Tajiri utakua ukiamua kuwa masikini unakua, watu wawili wanaweza kupewa m1 kila mtu, mmoja akafanya mambo ya maana mwingine akala bata kazi kwako kuchanga karata hakuna kazi isio na changamoto ila walimu tumezidi kulia lia
 
Kwani game inakitu gani cha kutisha, kinachohitajika ni pesa. Usijione we ni special sana kwa sababu umepata bahati ya kuajiriwa huko. Mi mwenyewe nilipenda sana hiyo taaluma sema uwezo wa kulipia ada pale MWEKA ndo ilikuwa ishu, wanaiweza watoto wa vigogo tu.
 
Ni kweli nilikuwa nikisubiri kwa hamu kupata hiyo ajira lakini sasa hivi cha moto nakiona ila kinachonisikitisha ni kuona ubaguzi unaofanywa na serikali yetu kwa kuamua kulipa wafanyakazi wa kada nyingine mishaara mirefu alafu wengine mishaara kiduchu na bila kupewa posho yoyote. Mimi hapa kwenye halmashauri niliyopo kuna kambi ya jeshi na watu wa game reserve ndo watu waliojenga nyumba na kutupangisha sisi walimu alafu wanakula bata kama kawaida na kusaidia kwao.
Walimu tumezidi kulia lia we hata mwaka kazini hujamaliza ila unavolalamika sasa as if unakaribia kustaafu, inaonekana tunalalamika kwa mazoea tu kwa kuwa walimu wanalalamika basi hata sie ambao hatujawahi kupata hizo changamoto automatically tunaanza kulalamika, wewe unapata hizo laki kadhaa unalia, kuna wadada wa kazi na house boys wanalipwa elfu 20 kwa mwezi, kuna mabosi wanapata mamilioni ila bado hayawatoshi wanalalamika pia
Simaanishi uridhike kwa hicho kipato nop endelea kufight upate zaidi na zaidi na zaidi make ukiridhika utabaki masikini, ila tumia hicho kidogo kufanya kiwe kikubwa
 
Natamani niwaone hao walimu cjawai kutana nao thou nimepita shule kadhaa, walimu wenzangu wengi wenye atleast visible life success ni wenye privilege kiasi mf wakuu wa shule.

Maana kwanza hawana muda wakukaa shule akiwa na makamu mzuri basi yeye kazini anakuja hata once a week au anakuja ana saini anasepa.

Hawa walikuwa/wanauwezo wa kutumia pesa ya shule na ya ziada na mishahara yao ikakaa.

Hizi case study zenu/zetu ziwe real ni walimu wangapi wanafikia hayo? Maana atleast kila staff ina watu(walimu) kumi na kuna uhakika ukatembelea shule 10 ukakuta wawili tu, nao sio maisha kusema maisha.

Eneo ninalokaa mie kuna chuo cha ualimu, sekondari 2 na shule za msingi 3 around kijiji kimoja na taasisi nyingine za serikali kama mbili hivi na chuo cha kilimo lkn ukitembelea madukani hapa center utakuta madaftari ya walimu ya madeni mpaka ya sembe 2kg, bado wanapigwa pesa kukopa mitaani kwa riba ya 50% yan laki kwa laki na nusu. Hawana jinsi wanakopa.

Sasa huwa najiuliza ina maana walimu tu ndio hawana akili ya kujiongeza ili kuongeza kipato? Ina maana ukienda fani nyingine kama kilimo, udaktari/nurse nk ambao tupo nao huku vijijini unakuwa na akili ya maisha?

Jibu linabaki ni hapana, ila ualimu sio kazi inayotoa malipo stahiki. Na marupurupu ya kujikimu.

Ngoja nikuoneshe yanayotokea huku vijijini, na walimu mnajifanya hamyaoni mnataka tusifiwe hapa wakati kazi hii haina malipo halisi.

Mwl anaeanza saizi daraja la IIIA, take home ni kama 270 kama sio chini ya hapa ila ipo maeneo hayo hayo. Huyu anaanza kazi pesa ya kujikimu anapewa laki na nusu, nyumba ya kupanga miezi sita inahtaji 240000/= hapa nimepigia anaanza na chumba cha elfu 40 kwa mwezi, wanaoanzia mijini kabisa ndio shida zaidi.

Anahtaji godoro la kuanzia, utakuta mahtaji yote kuanza kazi ni kama laki 5 minimum, alafu kapewa 150000/= tu bila shaka hii ataitumia kwa chakula tu nakununua sufuria na jiko la mkaa/mafuta na sahani wakati akisubiri mshahara wa kwanza, na pengine huwa hautoki kwa mwezi husika.

Mwishowe anaamua kukopa kwa mtu/ndg na jamaa au walimu aliowakuta ili maisha yaanze, (madeni yanaanza RASMI) sasa kila akifika mwisho wa mwezi anajikuta analipa deni anakosa pesa ya kula, hii trend inaendelea, mwisho anakuwa mwenyeji eneo husika anaanza kukopa madukani, hapo hajawai nunua chochote cha ziada ndani,hata kuchonga kitanda.

Miezi kadhaa badae anaona kujitoa katika tabu nikakope bank, anaenda kukopa bank, kwa mshahara wake anapata mil 4 ikikatwa anabaki na 3.8mil anarud nyumbani analipa madeni mpk inabaki karibu nusu.

Anaamua basi na yeye ni binadamu ananunua kitanda, labda na ka tv ka kichina ka 250000/= Familia za kiafrika nazo zipo nyuma, mama/baba anaomba pesa au mdogo mtu kafukuzwa ada, home hawana chakula anatuma kidogo, akiangalia balance kesha baki na laki 2

Mwisho wa mwezi salary inaanza kukatwa sasa hapokei 270000/= tena anapokea 190000/= hapa mdipo shida za walimu zinaanza.

Kesho anaingia vicoba (shida tu hiz) kesho yake finca, kesho kutwa blacc uko nako anakopa si zaidi ya laki 2 maana salary yake haina dhamana kubwa.

Kabla mkopo haujaisha bank inabdi atop up maana shida zinazidi na kazi kubwa ya ziada anauza bagia kwa wanaume anakomaa na tution ambazo siku hz pia hakuna, au anafungua kiduka cha elfu 50 ambacho kwa mzunguko wa alipo ni mdogo hapo anapambana na wazawa.

Walimu wengi waliopo vijijini wanajua shida ya wazawa huko hawataki kuona una biashara, wana kitu tunaita undewa, wivu wa kimasikini "atapataje mshahara alafu aje ashindane na sisi pia".

Walimu haya yote mnajua ila hamtaki kusema, wanawake ninyi mlioolewa mnakuwa supplied wala hamuoni, wengine walimu huku wa kike ni malaya (samahani kwa neno kali) ila wanafanya, wanatembea leo na diwani, kesho mtendaji, jioni afisa nanii wa hapa kijijini anaeonekana anaweza mpa walau tsh 10000 ya ziada.

So maisha ya umasikini inakuwa ni trend, walimu wamebaki kuwa walevi wengi wetu, stress anaingia darasani na yeboyebo, ananyonga baiskeli shati linanuka jasho anavaa siku 3

Walimu wenzangu haya yapo, mie nayaona kila siku, tupo wachache tuna mantain personality na heshima ya kutokuwa na madaftari ya madeni ya unga madukani lkn sio wote. Wengi wana dhiki

GOD SAVE TEACHERS
 
Sawa my lovely sister Evelyn
 
Tatizo sio kuolewa wala kuoa nani, tatizo ni kukaa tu kusubiri neema na rehema za tarehe 30 my dear hata kama salary yako ni 5m per month ila ndo hapo hapo unapotolea macho lazma tu utaona maisha ni magumu
Unauponda ualimu unasema sio kazi ya kusema mbele za watu LAKINI MUDA HUO HUO UNASUBIRI COMFIRMATION LETTER UKACHUKULIE MKOPO, ungekuwa kijiweni ungepata hiyo barua? Ungepata huo mkopo? Acha kudharau kazi
ualimu ni kazi nzuri binafsi nipo free sana kwa wiki nna vipindi siku mbili tu siku zinazobaki nipo free nikiwa na kijiwe muda wa kukisimamia upo 90%, nikiweka mabanda ya kuku muda wa kusimamia upo sana tu hata nikiwa na mishe mishe za hela mjini nna uhakika muda ninao, pia mtaji sio swala la kujiuliza make kwa ualimu huu huu nnakopa milioni kadhaa. Yani unataka maisha yakunyookee kwa kusubiri tarehe 30???Hiyo haipo we endelea kulaumu ualimu ila kuna watu wanaulilia angalia hata ambao wanangoja hizo post au hata wewe wakat unangoja posts ulikuaje kama sio kusumbua kila siku unaulizia lini zinatoka, ila kwa kua leo umeajiriwa unaona ualimu sio kazi pole acha ualimu ukakae kijiweni utatoka
masai dada ana dili kibao mjini kwa ajili ya ualimu we endelea kulalamika

This COMMENT sum up ur thinking capability,,,UR VERY SMART ASEEH!!!
 
mimi sio mwalimu ila umeongea ukweli.kwa reference ya ndugu zangu walimu.. huyu mwanamke anakuenjoy.. anajua game..

ualimu mgumu sana na sana kwa mwanaume..

mwanamke kaolewa na daktari hela yake haulizwi popote ni nyanya tu na nyama jikoni anasema kipato kinatosha unamsikiliza kweli?

Evarlin acha kuitetea serikali.Ualimu kwa wanaume siyo kazi ya kufanya hata kidogo.Haiingii akilini a degree level teacher kuwa na mshahara kidogo kuliko askari wa form four.
 
Nilisema hapa 70% ya walimu wa degree ni watoto wa maskini.Hivyo hiyo posho inategemewa na watu kibao.Swala si kulialia ila ndio ukweli wenyewe.Elimu Tz itaendelea kushuka tu!
 
Tatizo sio kuolewa wala kuoa nani, tatizo ni kukaa tu kusubiri neema na rehema za tarehe 30 my dear hata kama salary yako ni 5m per month ila ndo hapo hapo unapotolea macho lazma tu utaona maisha ni magumu
Unauponda ualimu unasema sio kazi ya kusema mbele za watu LAKINI MUDA HUO HUO UNASUBIRI COMFIRMATION LETTER UKACHUKULIE MKOPO, ungekuwa kijiweni ungepata hiyo barua? Ungepata huo mkopo? Acha kudharau kazi
ualimu ni kazi nzuri binafsi nipo free sana kwa wiki nna vipindi siku mbili tu siku zinazobaki nipo free nikiwa na kijiwe muda wa kukisimamia upo 90%, nikiweka mabanda ya kuku muda wa kusimamia upo sana tu hata nikiwa na mishe mishe za hela mjini nna uhakika muda ninao, pia mtaji sio swala la kujiuliza make kwa ualimu huu huu nnakopa milioni kadhaa. Yani unataka maisha yakunyookee kwa kusubiri tarehe 30???Hiyo haipo we endelea kulaumu ualimu ila kuna watu wanaulilia angalia hata ambao wanangoja hizo post au hata wewe wakat unangoja posts ulikuaje kama sio kusumbua kila siku unaulizia lini zinatoka, ila kwa kua leo umeajiriwa unaona ualimu sio kazi pole acha ualimu ukakae kijiweni utatoka
masai dada ana dili kibao mjini kwa ajili ya ualimu we endelea kulalamika
Tatizo la watz n ubunifu,yaan unashindwa kugundua k2 kingine mbadala cha kukuingizia hela mpaka usubiri hyo 30 ifike??af kwa m2 mjanja kazi za kuajiriwa hata ulipwe 2m kwa mwezi haziwezi kukufanya utajirike...
 
mimi sio mwalimu ila umeongea ukweli.kwa reference ya ndugu zangu walimu.. huyu mwanamke anakuenjoy.. anajua game..

ualimu mgumu sana na sana kwa mwanaume..

mwanamke kaolewa na daktari hela yake haulizwi popote ni nyanya tu na nyama jikoni anasema kipato kinatosha unamsikiliza kweli?
Ni vema ungeelewa kwanza nilichoandika nimesema hivi HELA YA KULA KUNYWA KUVAA IPO TUNAMSHUKURU MUNGU, wapi nimesema kipato kinatosha?? Kwani maisha ni kula, kuvaa na kunywa? Hata daktari unayemsema hapa nae mwenyewe analalamika mshahara mdogo.... Kama hujaelewa uliza usikurupuke hivo
 
Evarlin acha kuitetea serikali.Ualimu kwa wanaume siyo kazi ya kufanya hata kidogo.Haiingii akilini a degree level teacher kuwa na mshahara kidogo kuliko askari wa form four.
Sitetei serikali namie nasema MSHAHARA NI MDOGO MNO ILA KUTEGEMEA MSHAHARA UKUTOE NI NDOTO
 
kipato cha daktari na cha mwalimu ni sawa? je mwalimu ana posho hata za night call kama daktari? je mwalimu ana semialnar za afya kama daktari..

nimeongelea mwalimu wa kiume ni ajira ngumu sana than zingine..

hata mengo kipato hakimtoshi, hata wabunge walilalamika kipato cha posho ya laki 2 kwa siku hakiwatoshi wakaongezewa posho na Jk kufikia laki 3 kwa siku...

wote tuna shida ila shida tunazidiana.. hata binafsi nina shida tele japo nina kipato kikubwa kuliko mwalimu.. lakini najua ualimu ni too much na kwa mwanaume anayepaswa aongoze familia anateseka sana.. simshauri mwanaume kukomalia ualimu labda kama anazugia ana mishe zingine..

Ni vema ungeelewa kwanza nilichoandika nimesema hivi HELA YA KULA KUNYWA KUVAA IPO TUNAMSHUKURU MUNGU, wapi nimesema kipato kinatosha?? Kwani maisha ni kula, kuvaa na kunywa? Hata daktari unayemsema hapa nae mwenyewe analalamika mshahara mdogo.... Kama hujaelewa uliza usikurupuke hivo
 
Ni kweli nilikuwa nikisubiri kwa hamu kupata hiyo ajira lakini sasa hivi cha moto nakiona ila kinachonisikitisha ni kuona ubaguzi unaofanywa na serikali yetu kwa kuamua kulipa wafanyakazi wa kada nyingine mishaara mirefu alafu wengine mishaara kiduchu na bila kupewa posho yoyote. Mimi hapa kwenye halmashauri niliyopo kuna kambi ya jeshi na watu wa game reserve ndo watu waliojenga nyumba na kutupangisha sisi walimu alafu wanakula bata kama kawaida na kusaidia kwao.
Ndugu yangu maisha ndivyo yalivyo, never be Fair. Usitegemee kuwa ipo siku Mwalimu atakuwa na mshahara mkubwa na Marupurupu. Why? Idadi ya walimu ni kubwa sana, Low quelification during enrollment, hawaingizi mapato yoyote moja kwa moja serikalini, sio Kipaumbele cha kwanza kwa serikali nk.

Good thing kwa ualimu ni kwamba wanaajirika serikalini siku zote. Yaanii wewe ukisomea ualimu tu, ujue ajira serikalini ipo tu. Ni kada mbili tu kwa sasa hapa Tanzania zina uhakika wa Ajira serikalini. Elimu na Afya.
Something is better than nothing.
 
kipato cha daktari na cha mwalimu ni sawa? je mwalimu ana posho hata za night call kama daktari? je mwalimu ana semialnar za afya kama daktari..

nimeongelea mwalimu wa kiume ni ajira ngumu sana than zingine..

hata mengo kipato hakimtoshi, hata wabunge walilalamika kipato cha posho ya laki 2 kwa siku hakiwatoshi wakaongezewa posho na Jk kufikia laki 3 kwa siku...

wote tuna shida ila shida tunazidiana.. hata binafsi nina shida tele japo nina kipato kikubwa kuliko mwalimu.. lakini najua ualimu ni too much na kwa mwanaume anayepaswa aongoze familia anateseka sana.. simshauri mwanaume kukomalia ualimu labda kama anazugia ana mishe zingine..
Unataka Mwalimu alipwe Night call allowance wakati taaluma yake haina night call?
Unataka mwalimu alipwe Seminar allowance wakati hajaenda semina?

Ngoja nitoe Ufafanuzi kidogo.
1/Sio kila Daktari anakuwa on Call, inategemea na mazingira ya hospitali na Section ambayo huyo daktari anafanyia kazi.

2/Sio kila Daktari anakwenda semina, na sio semina watu wanalipwa. Ni utamaduni tu uliojengwa na ambao wakati wowote unaweza kufutika kabisa. Ni issue ya kubahatisha sana na tegemezi sana. It is like teachers when they go for national Examination supervision and marking. Wakienda kusaisha mitihani na kusimamia mitihani hulipwa allowance
 
Twende mbele au kurudi nyuma, bado Taaluma ya ualimu bora zaidi kwa watanzania wengi wa leo kwa sababu.
1/Ni rahisi zaidi kupata nafasi ya kwenda kusomea ualimu chuoni kwa mwanafunzi anayemaliza sekondari. Hivyo kijana akifaulu kidogo tu, nafasi ya kusomea ualimu ipo.

2/Uhakika wa 100% wa kupata ajira serikalini mara amalizapo chuo.(Watu wengi wanatamani wamalizapo chuo basi wapate Ajira hasa serikalini). Fani nyingine ya uhakika wa kupata Ajira ni Afya.

3/Muda mzuri zaidi wa kufanya mambo yako baada ya Kazi. Kiujumla mwalimu anatoka kazini saa tisa na Nusu mchana, Weekend anapumzika, ana likizo mbili kuu kwa mwaka na likizo fupi mbili kwa mwaka.(Kuna some technicallity fulani kwenye hizo likizo). Hana Night shift, holidays zote hayupo kazini. Raha ilioje hiyo!!

4/Uwezo wa kujifunza zaidi na zaidi. Asili ya kazi ya kufundisha inakufanya kuwa mdadisi, msomaji na mfuatiliaji. Kifupi Mwalimu hazeeki haraka.

5/Kwa wasichana ndio raha zaidi. Upo uhakika mkubwa wa kuolewa, tena na Potential Person na hapo hapo advantage ya kutunza familia vizuri kwa sababu ya kuwa na Muda na pia saikolojia ya makuzi.
 
kipato cha daktari na cha mwalimu ni sawa? je mwalimu ana posho hata za night call kama daktari? je mwalimu ana semialnar za afya kama daktari..

nimeongelea mwalimu wa kiume ni ajira ngumu sana than zingine..

hata mengo kipato hakimtoshi, hata wabunge walilalamika kipato cha posho ya laki 2 kwa siku hakiwatoshi wakaongezewa posho na Jk kufikia laki 3 kwa siku...

wote tuna shida ila shida tunazidiana.. hata binafsi nina shida tele japo nina kipato kikubwa kuliko mwalimu.. lakini najua ualimu ni too much na kwa mwanaume anayepaswa aongoze familia anateseka sana.. simshauri mwanaume kukomalia ualimu labda kama anazugia ana mishe zingine..
Walimu hawana semina? Hawa lipi hizo semina?
Kusimamia mitihani, marking pia hazilipwi?
Sio tu ualimu haufai kwa mwanaume yani mtu yeyote anaishi kwa kutolea machoni mshahara ujue maisha ni magumu tuuu
 
Kwani game inakitu gani cha kutisha, kinachohitajika ni pesa. Usijione we ni special sana kwa sababu umepata bahati ya kuajiriwa huko. Mi mwenyewe nilipenda sana hiyo taaluma sema uwezo wa kulipia ada pale MWEKA ndo ilikuwa ishu, wanaiweza watoto wa vigogo tu.
I didn't mean to disrespect, lakini unalalamika sana bro, lazima ujue kutengeneza maisha mazuri kutokana na kipato chako... Hatuna tofauti kubwa sana ya kipato.... Kama unataka kuhamia game nenda Pasiansi hapo mwanza Mwaka mmoja uje tupambane na ujangili.... Wapo jamaa kibao walioanza ualimu tuko nao huku wanapambana,
 
Back
Top Bottom