Hakuna namna, ualimu ndio njia ya kutokea

Hakuna namna, ualimu ndio njia ya kutokea

kila mmoja ana ndoto zake me naona ndoto zangu haziwez kutimia nkiendelea kuwa Mwalimu
 
Evarlin acha kuitetea serikali.Ualimu kwa wanaume siyo kazi ya kufanya hata kidogo.Haiingii akilini a degree level teacher kuwa na mshahara kidogo kuliko askari wa form four.
Anachomzidi Si elimu ya form four bali ni yale material ya kijeshi huyo mwenye degree hawezi operate radar plus risk ya mionzi halafu linganisha na kufundisha vishazi nani anakaz ngumu? Anyway jeshini nao wanashule zao go and join them ila usifuate hela kule uzalendo kwanza
 
Anachomzidi Si elimu ya form four bali ni yale material ya kijeshi huyo mwenye degree hawezi operate radar plus risk ya mionzi halafu linganisha na kufundisha vishazi nani anakaz ngumu? Anyway jeshini nao wanashule zao go and join them ila usifuate hela kule uzalendo kwanza
 
Anachomzidi Si elimu ya form four bali ni yale material ya kijeshi huyo mwenye degree hawezi operate radar plus risk ya mionzi halafu linganisha na kufundisha vishazi nani anakaz ngumu? Anyway jeshini nao wanashule zao go and join them ila usifuate hela kule uzalendo kwanza
ualimu ni tifu aiseeeeeeeeeee mi siuelewi hata kidogo kwan serikali inatarajia mambo makubwa wakati haiwez kuudumia mim inaniudhi serikali haipandishi madaraja kwa wakati yaan hawa watu dawa yao ni moja ukipata kipato cha ziada achana nao tu kwan ualimu ni sehemu ya kustaafia na co sehemu ya ujana kujengea maisha wengine walimu wamesharidhika hata ukiwapa 100,000 kwa mwezi ila sis tunahitaji maisha bora ualimu co sehemu ya kupata hayo maisha bora
 
I love this! I am not a teacher lakini nina uhakika kwa 100% wala nisingejuta endapo ningekuwa mwalimu! Tatizo wengine wanadhani kwenye hizo sekta zingine ndo peponi! Wakiwaona wale wa kwenye sekta binafsi na t-shirt zao mzuri siku za Ijumaa wanadhani wamepatia kumbe, kimsingi, walimu wamepatia kuliko majority ya wale wanaodhaniwa wamepatiwa! Thanks God kwamba nimepata kufanyia kwenye sekta zile ambazo wengi wanadhani ndo wamepatia ile mbaya kwahiyo mtu hawezi kunidanganya... YES, wapo waliopatia lakini majority hawana tofauti yoyote na walimu huku mwalimu akiwa na comparative advantages nyingi zaidi.
Aise ila fani ya Ualimu ukitaka kujiendeleza unapeta tu mi kuna mwalimu kanifundisha O level now anafundisha chuo
 
A strong man does not hesitate battle. Wanawake wamejaa kwenye ualimu na wanatoboa. Ukiona umekushindwa ujue huo ni mfupa mgumu kwako mafisi yanaula tu wwe unavyokula pweza!!
 
Aise ila fani ya Ualimu ukitaka kujiendeleza unapeta tu mi kuna mwalimu kanifundisha O level now anafundisha chuo
Nilikuwa na demu miaka michache tu iliyopita... alikuwa Mwalimu wa Primary; yaani certificate holder! Nikamshawishi ajiendeleze na hapa tunapoongea ni Bachelor holder from certificate less than 10 years ago!

In addition, kuna teacher wetu mmoja kitambo sana... wa primary! Tukapoteana kwa muda; cku nikakutana nae pale Chang'omba ananiambia anasema Masters!

Kuna huyu mwingine ni rafiki yangu... mumewe alikuwa MVUVI mdogo mdogo na huyu best angu alikuwa mwalimu wa Primary tena shamba! Nimeonana nae mara ya mwisho miaka 5 iliyopita na tayari alishakuwa degree holder na akahamishwa kule shamba hadi Halmashauri!!

Walimu walioshindwa kuitumia fursa ya Utawala wa JK kujiendeleza; hakika watabaki kuwa ni wa kujiilaumu maisha yao yote unless kama kuwa na elimu ya juu haikuwa option ya maisha yao

Kwenye Ualimu kuna opportunities sana na ukiona mtu anau-diss Ualimu basi huyo mtu hajielewi na wala dunia haifahamu ingawaje hili linachangiwa na Walimu wenyewe! Majority hawajiamini... wanajihisi kama ni losers in the labor industry kv wengi walienda Ualimu kama last option! Matokeo yake, hapa mjini kuna watu wanaonekana kama ndio winners in the labor industry na hata Walimu nao ndivyo wanavyoamini but trust me, majority ya wale wanaonekana ni winners kimsingi ndio losers wenyewe!
 
#POST nzuri kupindukia, na mtoa POST umechanganya lugha ndo maana baadh yetu tumeshindwa kuchangia, huenda ni elimu kubwa ulonayo!
 
nashindwa kujaji,labda kwa sababu bado sijaingia rasmi,by the way mimi ni tarajali
 
Mie nadhani it suits women hii profession kuliko wanaume, ndio maana kuna kamsemo kanasema strong men merry teachers, wanawake ni walezi by nature.

Niliposoma comparative education nilikuja kugundua/ na imeandikwa nchi zilizoendelea walimu wanaume ni wachache sana, mathalan wingereza karibu 78% ya walimu wote ni WANAWAKE.

Kwanini wanawake na sio wanaume, WANAUME ndio wabeba mizigo, familia nk, tunahtaji kupata kipato kikubwa ili kuendeleza maisha, kusomesha nk. Sasa akina Evelyn Salt hawa ni wanawake, wanaume wenzangu kazi ipo, tusidanganyane eti ualimu kuna muda wa kutosha kufanya kazi za ziada, labda kama kwenu huko mlipo mna loopholes na hamsimamiwi hakuna wakuu wa shule makini.

Muda wa masaa ya serikali ni masaa 9 kwa wafanyakazi wote, una saini asubuhi 1:30 na kutoka uwe na kipindi huna ni saa 9.30 cjui ninyi hz muda wa kutosha mnapata wapi? Tena kada nyingine wenzetu akikaa mpk saa 11 sio kua kabanwa no anatumikia allowance na atapewa ama atajiandikia/andikiwa.

Kuna biashara huwezi simamia saa 10 mpk saa 12 ni uongo lazima uitaji muda wa kutosha, ikibd full time.

Ualimu ni kazi ambayo unaenda likizo, unafanya vikao, unafanya overtime bureeee na utapokea pesa tarhe 30 mpk 30 mwezi unaofuata ya mshahara wako tu tena uliokatwa na CWT

Ualimu ni kazi unayoweza dhurumiwa na huna pakusema wala kudai, maana hata bosi wa kazi yako kumjua ni issue, kazi ina wasimamizi kibao, juu ya mwalimu wa kawaida, kuna walimu wenzangu wa msingi wakimuona hata mratibu elimu kata wanatamani kujinyea. Ualimu suits women the most.

Mwisho tujue tunatofautiana matamanio, malengo, aina ya maisha tunapenda kuishi na vision.

Kuna mtu, kwa mf rafiki yangu mmoja aliajiriwa kufundisha primary, salary yake ni kama 270k alipoanza, aisee huyu alilidhika akawa bonge, kanenepeana kama tetea la bata hata ukimwambia kasome ufikie kidiploma anakwambia nisome ili iweje, kwake maisha ni kuwa na uhakika wa kula na nyumba ya vyumba viwili na sebure bila finishing basi, watoto wanasoma elimu kata bure maisha yamekoma.

Wenzangu na mie kila siku unaota kuendesha atleast VX, umeshindwa sana hata mark X, lazima ualimu usiwe kazi ya maana kwako, maana kupanda madaraja tu ni kesi mpk usugue magoti kumeomba mungu.

Ualimu hata usome ufike masterz hutatambulika kwa elimu hiyo uta push tu madaraja basi, sasa mpk nifikie daraja I lenye milioni 1 na point ni leo?

Life begins at 40 alafu wewe unasubiri kufika daraja I, lini?

Ualimu kwa wanaume kwa mtazamo wangu sisi wenye njozi kubwa ni sehemu ya kukusanya mtaji, or mark time area ukijiandaa kwa safari au mchakamchaka.

Kwa wanawake ninyi fieni humo tu kwasababu mnafanyakazi kutafta pesa ya saloon na mashindano ya mavazi stuff. Kila siku mnachukiana kwa mashindano ya kuuza bagia na karanga stuff
Kwa wanawake ninyi fieni humo tu kwasababu mnafanyakazi kutafta pesa ya saloon na mashindano ya mavazi stuff. Kila siku mnachukiana kwa mashindano ya kuuza bagia na karanga stuff

Umenena vizur ila ayo niliyoyacopy ndo umekosea mkuu
 
Back
Top Bottom