Mie nadhani it suits women hii profession kuliko wanaume, ndio maana kuna kamsemo kanasema strong men merry teachers, wanawake ni walezi by nature.
Niliposoma comparative education nilikuja kugundua/ na imeandikwa nchi zilizoendelea walimu wanaume ni wachache sana, mathalan wingereza karibu 78% ya walimu wote ni WANAWAKE.
Kwanini wanawake na sio wanaume, WANAUME ndio wabeba mizigo, familia nk, tunahtaji kupata kipato kikubwa ili kuendeleza maisha, kusomesha nk. Sasa akina
Evelyn Salt hawa ni wanawake, wanaume wenzangu kazi ipo, tusidanganyane eti ualimu kuna muda wa kutosha kufanya kazi za ziada, labda kama kwenu huko mlipo mna loopholes na hamsimamiwi hakuna wakuu wa shule makini.
Muda wa masaa ya serikali ni masaa 9 kwa wafanyakazi wote, una saini asubuhi 1:30 na kutoka uwe na kipindi huna ni saa 9.30 cjui ninyi hz muda wa kutosha mnapata wapi? Tena kada nyingine wenzetu akikaa mpk saa 11 sio kua kabanwa no anatumikia allowance na atapewa ama atajiandikia/andikiwa.
Kuna biashara huwezi simamia saa 10 mpk saa 12 ni uongo lazima uitaji muda wa kutosha, ikibd full time.
Ualimu ni kazi ambayo unaenda likizo, unafanya vikao, unafanya overtime bureeee na utapokea pesa tarhe 30 mpk 30 mwezi unaofuata ya mshahara wako tu tena uliokatwa na CWT
Ualimu ni kazi unayoweza dhurumiwa na huna pakusema wala kudai, maana hata bosi wa kazi yako kumjua ni issue, kazi ina wasimamizi kibao, juu ya mwalimu wa kawaida, kuna walimu wenzangu wa msingi wakimuona hata mratibu elimu kata wanatamani kujinyea. Ualimu suits women the most.
Mwisho tujue tunatofautiana matamanio, malengo, aina ya maisha tunapenda kuishi na vision.
Kuna mtu, kwa mf rafiki yangu mmoja aliajiriwa kufundisha primary, salary yake ni kama 270k alipoanza, aisee huyu alilidhika akawa bonge, kanenepeana kama tetea la bata hata ukimwambia kasome ufikie kidiploma anakwambia nisome ili iweje, kwake maisha ni kuwa na uhakika wa kula na nyumba ya vyumba viwili na sebure bila finishing basi, watoto wanasoma elimu kata bure maisha yamekoma.
Wenzangu na mie kila siku unaota kuendesha atleast VX, umeshindwa sana hata mark X, lazima ualimu usiwe kazi ya maana kwako, maana kupanda madaraja tu ni kesi mpk usugue magoti kumeomba mungu.
Ualimu hata usome ufike masterz hutatambulika kwa elimu hiyo uta push tu madaraja basi, sasa mpk nifikie daraja I lenye milioni 1 na point ni leo?
Life begins at 40 alafu wewe unasubiri kufika daraja I, lini?
Ualimu kwa wanaume kwa mtazamo wangu sisi wenye njozi kubwa ni sehemu ya kukusanya mtaji, or mark time area ukijiandaa kwa safari au mchakamchaka.
Kwa wanawake ninyi fieni humo tu kwasababu mnafanyakazi kutafta pesa ya saloon na mashindano ya mavazi stuff. Kila siku mnachukiana kwa mashindano ya kuuza bagia na karanga stuff