Jamani mie mama wa kwanza leo nina mawazo Lukuki....naomba mnipe pole na msaada wenu kimawazo
Baada ya kumtumikia mwajili wangu kwa miaka kadhaa na kuamini kuwa vile Vijisenti vyangu vya NSSF
Nikivipata pale nitakapoamua kuacha kazi vitaniweka mjini kabisaa niendeleze sekta ya vibusiness niliyoinzisha.
Juzi wamekuja kutuletea habari zao eti tujiandae kisaikolojia wanataka kupitisha sheria kuwa .
Sasa ukiacha kazi hela yako huchukii ……..
Ukifikisha miaka kumi kazini unaingizwa kwenye sijui pensheni
Na kama vile walivyo na akili za (.........) nispate Ban hapa wanadai sheria hii itaanza kutumika Asap
Unapewa 30% YA VIJISENTI vyako
Harafu zingine ukistaafu after 55 years unaanza kupewa ..vijipasenti
Ooh mama nimepata shock…..
Nawaza kuacha ajira nikiwa sijajiandaa yaani nimechoka
wana JF nipeni ushauri nasaha na vipimo wa haraka
Sitaki vijisenti vyangu vikaongezewe kulipa madeni ya serikali
aaaaaaaaaaaaaaaaaagh....