Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

Unazungumza kwa niaba ya nani?

Nazungumza kitaalamu, baada ya kufanya tafiti katika inayoeleweka katika haya mambo. Lets follow reality, tatizo waafrika tangu tumejua siasa kila kitu hata kama cha kitaalamu tuna-politicise tu. SHAME.
 
Watanzania wana matatizo sana, nani aliwadanganya eti Pension ni kama Bank?, kwamba unaweka leo na muda wowote ukijisikia unaenda kuchukua?. Kuchangia mifuko imewekwa kisheria na kuwa lazima kwa sababu kuu hizi ambazo zote ni katika kucover social distress/ problems:

1. Unaweza ukaumia kazini na ukashindwa kabisa kuendelea na kazi maisha yako yote, fungu lako liliko katika hifadhi litakuhifadhi.
2. Unaweza ukafariki (wote tutakufa), na bahati mbaya hujajipanga au hata kama umejipanga..wale warithi wako wanapata walau pa kuanzia kupitia michango yako uliyokuwa ukichangia.
3. Ukazeeka na ukiwa hauna nguvu ya kuendelea kufanya kazi, lakini kupitia mifuko hii ukawa unapata pensheni ya kila mwezi ambayo ni kama ulivyokuwa ukipata msharhara japo itakuwa by 60-80% ya mshahara na marupurupu yako ya awali ila inasaidia kuliko kukaaa miaka hadi mia huna kipato chochote.
4. Kufaidika kwako binafsi Mfano NSSF jana wamezindua kukopesha SACCOS, PPF wanayo hiyo..so kama ni member na mko kwa SACCOS hizo mnakpoeshwa kisha unaendelea na maisha.
5. Kuwa sehemu ya msaada kwa jamii i.e Mifuko inajenga hospitals ambazo kama hazitakusaidia wewe basi mjomba, shangazi, kaka, dada au hata watoto wao etc etc.
6.nakadhalika.

Hawa wanaojifanya wanaacha kazi ili wachukue hela zao 'masikini ya Mungu' hawajui maana ya pension sheme. Inabidi mifuko ifanye kazi ya ziada kuwaelimisha kwa kina.

Hivi hizo hela unazokimbilia kuzichukua sasa hivi (i.e 10% ya kwako na 10% ya mwajiri) kama ungepewa kila mwezi sasa hivi ungekuwa nazo kweli?. Angalia salary slip yako kisha ujipe majibu..huenda ndo ingekuwa ya BAR, Mafuta ya gari, kuhonga, kununua nguo etc! But MIFUKO inatunza kwa niaba yetu, inafanya investments ili kuja ku-cover social distress that may happen now or in future na kukupatia mafao Bora.

Guys, be great thinkers ki kweli kweli na mjisumbue kufuatilia mambo. JF isiwe mahali pa kupoteza watu, kila jambo linawekwa kisiasa siasa tuu.

Hata kama ningekuwa sina ningekuwa nimezitumia mwenyewe ndio maana hakuna mtu analalamikia hiyo 90% aliyotumia. Watu wanalalamikia hiyo 10% kwa sababu imechukuliwa na wanakuwa restricted kui-access pale panapokuwa na haja. Sidhani kama watu wanamaanisha hapa NSSF iwe kama benki, God knows we have many banks already na sasa zinakuja nyingine ktk sura tofauti hadi mitandao ya simu siku hizi ni bank-like.

Hapa tunazungumzia matu ambaye hataki tena kuendelea na kazi. Si tuliambiwa kazi afanyayo mtu ni hiari yake? Kwani lazima mtu aendelee kuajiriwa? leo kama nafanya kazi miaka 8 kisha nataka kujiajiri, kwa nini pesa yangu usinipe? Kuna haja gani nisubiri hadi miaka 25 baadaye ili nipate hayo mafao? Najua watu watasema..sheria inasema hv au vile, that is exactly the problem..SHERIA hizo zinazoundwa na kupitisha na hao wahusika kwa maslahi ya 'umma'. Kwa nini kusiwe na flexibility hapa? Na kama kuna hizi sheria za kubana wanachama kuhusu mifuko hii kwa nini hazihusiki katika kuweka uwiano sawa wa mafao baina ya mifuko hiyo? Inapokuja kwenye suala hilo ndio inakuwa soko huria kwamba kila mfuko una uhuru wa kufanya mambo kivyake? Niambie hapa maana mimi ni 'ignorant' kidogo wa mambo haya ya mifumo ya siasa na sheria...
 
Hata mie nimesikia haya madude... Yaani wamenichanganya mbaya. Sijui mibunge ya CCM itapitisha huu mswada?

Na imekuwaje hii yuzifl sredi umeileta huku jukwaa la uchakachuzi?

yaani Asprin mie ndo ujue nimechanganyikiwa

nimechoka wanatuibia PAYE wanakata nusu ya hela bado wanahamia na huku
 
Mie nimechoka sina hamu nataka nichukue hela zangu mapema kabla bunge haligonga meza kukubaliana na huu mswada mchafu wa kukandamiza watu

NB: mwambie Mod aihamishie jukwaa husika watu waidadavue tujue mapema cha kufanya .

Mod akiikuta ataiamisha dah nimechoka Condorezaraisi
 
Hawa jamaa wanatumia masaburi kufikiri
Wajinga sana hata wakinipa ban poa waliopeleka muswada #"¿?"¢ zao
Wakome kutuzoea

Sasa ndo Mswada huo huko Bungeni
Na unavyojua wabunge wetu kila kitu wanagonga meza haha kuashilia wamekubali
 
Kwa kweli tuandamane nchi nzima
Hawa NSSf wamefulia naona sasa hawana pesa hata za kuwapa wanafakazi wanaoacha kazi.

Hayo mambo wawafanyie za serikalini kama wanavyowalazimisha mishahara kupitia NMB benki ya makabwela inayodhulumu wastaafu mafao.

Yaani am more than angry now, natarajia kuacha kazi mwakani ili NSSF yangu niitumie kwa mambo yangu?

NSSF hawajafulia ila serikali ndo imefulia imetumia hela za NSSF kwa mkopo sasa haina jinsi ya kurudisha ndo inataka kutukandamiza sie..
 
Mnwele

Asante kwa ufafanuzi.

Shida ni kuwa likishafika BUNGENI watasema NDIOOOOOOOOO wale wabunge wa CCM na kwa kweli hali haitakuwa nzuri hasa kwa sekta binafsi.

Wafanyakazi tulio PRIVATE toeni michango yenu ya mawazo nini kifanyike kuzuia udhalimu huu unaotaka kufanyika.

Mie nafikilia kuacha kazi ..sitaki kabisa hela yangu ikalipe madeni ya serikali
anytime from now nitakuwa najipanga upya...huu ni uonevu wa hali ya juu
 
Watanzania wana matatizo sana, nani aliwadanganya eti Pension ni kama Bank?, kwamba unaweka leo na muda wowote ukijisikia unaenda kuchukua?. Kuchangia mifuko imewekwa kisheria na kuwa lazima kwa sababu kuu hizi ambazo zote ni katika kucover social distress/ problems:

1. Unaweza ukaumia kazini na ukashindwa kabisa kuendelea na kazi maisha yako yote, fungu lako liliko katika hifadhi litakuhifadhi.
2. Unaweza ukafariki (wote tutakufa), na bahati mbaya hujajipanga au hata kama umejipanga..wale warithi wako wanapata walau pa kuanzia kupitia michango yako uliyokuwa ukichangia.
3. Ukazeeka na ukiwa hauna nguvu ya kuendelea kufanya kazi, lakini kupitia mifuko hii ukawa unapata pensheni ya kila mwezi ambayo ni kama ulivyokuwa ukipata msharhara japo itakuwa by 60-80% ya mshahara na marupurupu yako ya awali ila inasaidia kuliko kukaaa miaka hadi mia huna kipato chochote.
4. Kufaidika kwako binafsi Mfano NSSF jana wamezindua kukopesha SACCOS, PPF wanayo hiyo..so kama ni member na mko kwa SACCOS hizo mnakpoeshwa kisha unaendelea na maisha.
5. Kuwa sehemu ya msaada kwa jamii i.e Mifuko inajenga hospitals ambazo kama hazitakusaidia wewe basi mjomba, shangazi, kaka, dada au hata watoto wao etc etc.
6.nakadhalika.

Hawa wanaojifanya wanaacha kazi ili wachukue hela zao 'masikini ya Mungu' hawajui maana ya pension sheme. Inabidi mifuko ifanye kazi ya ziada kuwaelimisha kwa kina.

Hivi hizo hela unazokimbilia kuzichukua sasa hivi (i.e 10% ya kwako na 10% ya mwajiri) kama ungepewa kila mwezi sasa hivi ungekuwa nazo kweli?. Angalia salary slip yako kisha ujipe majibu..huenda ndo ingekuwa ya BAR, Mafuta ya gari, kuhonga, kununua nguo etc! But MIFUKO inatunza kwa niaba yetu, inafanya investments ili kuja ku-cover social distress that may happen now or in future na kukupatia mafao Bora.

Guys, be great thinkers ki kweli kweli na mjisumbue kufuatilia mambo. JF isiwe mahali pa kupoteza watu, kila jambo linawekwa kisiasa siasa tuu.

We are not doing a salesmanship, its my money I should be free to do anything with.

Social security system in TZ is broken including you.

Kila kitu anabanwa mfanyakazi mtu ameachishwa kazi hakun unemployment benefits eti hadi azeeke. This is the only guarantee kuwa atafafanya next project kwa kujilinda yeye na familia yake

Problem with TZ we don't deal with core issues tunaiga pasipo kuangalia nini kinahitajika huu ni uonevu na ujinga wa watu kama nyie mnaoshauri pasipo kuangalia fundamental na supporting system.

Kwa tAarifa yako watu wanaochukua pesa hizo hawapeleki bar ila wanafanyia vitu muhimu.

This is the problem for technocrats like you who causes a lot of commotion in the society.

Shame on you if you justify a broken social system instead of fixing the real issue. Acha siasa
 
Khaaaaa wakipitisha hii ntaamini kweli wanafikiria kwa masaburi.. manina zao yani hela yangu niisubirie mpaka mgongo upinde? wanipe sasa hivi wakati naweza kushusha bia nyingi bana
 
Hii sheria ikija mimi nahama ccm, maana nina mpango wa kusitaafu nikiwa na umri wa miaka 40. Tu ili nifanya busness, naomba nssf wasiingie kwenye sheria hiyo. Wafanye kwa watumishi wa umma tu.
 
Mie nafikilia kuacha kazi ..sitaki kabisa hela yangu ikalipe madeni ya serikali
anytime from now nitakuwa najipanga upya...huu ni uonevu wa hali ya juu

Naanza kujifunza kuwa mfanyabiashara. Serikali goigoi inataka kuzika mafao ya wafanyakazi!
 
Nazungumza kitaalamu, baada ya kufanya tafiti katika inayoeleweka katika haya mambo. Lets follow reality, tatizo waafrika tangu tumejua siasa kila kitu hata kama cha kitaalamu tuna-politicise tu. SHAME.
Mkuu hebu niambie hiyo sheria iliyoanzisha mifuko ya hifadhi ya jamii ilikuwa na mapungufu gani hadi wanataka kuiwekea vipande tena?
 
We are not doing a salesmanship, its my money I should be free to do anything with.

Social security system in TZ is broken including you.

Kila kitu anabanwa mfanyakazi mtu ameachishwa kazi hakun unemployment benefits eti hadi azeeke. This is the only guarantee kuwa atafafanya next project kwa kujilinda yeye na familia yake

Problem with TZ we don't deal with core issues tunaiga pasipo kuangalia nini kinahitajika huu ni uonevu na ujinga wa watu kama nyie mnaoshauri pasipo kuangalia fundamental na supporting system.

Kwa tAarifa yako watu wanaochukua pesa hizo hawapeleki bar ila wanafanyia vitu muhimu.

This is the problem for technocrats like you who causes a lot of commotion in the society.

Shame on you if you justify a broken social system instead of fixing the real issue. Acha siasa

I think it is a shame on you unaetafuta 10% ya mshahara ukiwa umealazimishwa ku save, and this is what constitues a strong society, social security! kuna alot of contigencies kwenye life and am sure you have no plan for them, this small litle 10% of your salary inaweza kukusaidia sana wewe, zaidi una sumbuliwa na Myopia, huoni hata one meter ahead of you, and you look like a teen hujaanza kufikiria properly. A society where people can not save, unategemea nini, rudi kwenye fundamentals za Vicious Cyle utaona No savings, no invetments, ina zunguka no income inarudia hapo hapo, huu mpango wa kulazimishwa unaupigia kelele unaweza kufanya voluntary wewe? kwa taarifa yako maisha yanaanza ukiwa mzee, unaweza ukajifanya umewekeza lakini uka rudi to zero, from a hero to zero, inawezekana pia hiyo, and thats why you need such a plan iku protect baadae! na ni lazima iwapo unafanya kazi, na hiyo miaka 55 na 60 itakuja iongezwe not very long kwasababu people are living longer, angali ulaya and america, increasing life expectancy imefanya pension schemes ziwe hazina hela na sasa ni kuongeza state pension age! wewe unarudi nyuma? shame on you fake analyst! lete hoja hapa, ungeweza kufikiria hiyo hela yako uitumie kama colateral kwenye long tern debts tena zilizo chujwa kama mortgage with term assurance in case you die! Angalia sana usikurupuke.
 
Haya ni mawazo ya kipumb@vu tu,huwezi kunikata hela yangu nikiwa na miaka 21 kisha uniambie ntakuja kuchukua nikifikisha miaka 55.Kwa riba gani hasa hiyo hela italipwa???Hivi ni akina nani wanaokuwa wanafikiria mambo ya ajabu kiasi hiki???mmxiiiiiii
 
Bado kidogo watatunyonya damu hawa. Wakiambiwa wapunguze matumizi yasiyoukuwa ya misingi hawataki. Wameshupalia tu kumkamua mlazwa hoi. Mungu tupe ujasiri!
 
Sasa ndo Mswada huo huko Bungeni
Na unavyojua wabunge wetu kila kitu wanagonga meza haha kuashilia wamekubali
Dah natamani hata wanamainduzi tungeenda kuupinga huo muswada maana hauna maana kabisa FirstLady1 hivi huo muswada unahusu hadi makampuni binafsi au ni serikali tu?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja niende pale kwenye banda lao 77 nikapate ufafanuzi vizuri vingine unaweza zimika bure hata kama huna presha

mkuu mimi nimeshalifatili a hilo na kikaambiwa hiyo kitu imeshaandaliwa ila bado haijapelekwa bungeni ili wapuuzi wagonge meza

huu ni mkakatai wa serikali maana serikali inachukua pesa kibao nssf na mpaka sasa serikali inadaiwa pesa kibao na nssf hasa zile za chuo cha udom..serikali haijazilipa hata cent...
 
Back
Top Bottom