Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

Kwa kweli tumekwisha kwa maana hakuna security wakati hauna ajira ila wanasubiri ufe kwa njaa ili wale fedha zako vizuri. Huu ni uhuni na wafanyakazi wote tunatakiwa kuchukua hatua sasa na si vingine kusubiri kufa ndo walipie jeneza lako.
 
Tatizo kubwa ni kwamba bado watanzania hatujaelimika vya kutosha kuhusu social security, kwa wenzetu ukigusa eneo hilo valangati lake huwa balaaa kumbuka France kuna wakati walitaka kuongeza umri wa kustaafu wakata wa Sarkozy kilichotokea nia kwamba Paris iliwaka moto kwa siku kadhaa! sisi huku hata wabunge hawajui maana ya hii kitu ndio maana sheria ilipita haraka haraka ofcourse kuna tetesi kwamba bado hii mamlaka inaendeshwa kwa pesa ya ya wahisani na condition ya kuendelea kuto fedha ilikuwa lazima hiyo sheria ipite! ndio maana wote wakasema "ndiyoooooooooooooooooo"
Ni kweli mkuu, mifuko ya hifadhi inatakiwa isimamiwe na waendeshaji wenye akili timamu..hapa kwetu hili janga la kitaifa. Nikiangalia hata harmonization ya hii mifuko haipo, watu kama wa NSSF inasemekana wana terms za hovyo kabisa kulinganisha na wengine...na hamna anayesema kitu. Pia hili dubwana la bima ya afya nalo ni another bottomless pit. Mi nadhani ifikie mahali watu wachague kuingia wanakotaka au wasiingie kabisa maana naona advantage ni ndogo sana. Ni bora tujiangalie sisi wenyewe kwa kufungua retirement accounts.
 
Hili suala limeshafika mahali husika ambapo matatizo ya Watanzania yanazungumziwa. Taasisi pekee ambayo kwa miaka zaidi ya saba iliyopita imejipambanua nchini kuwa ndiyo mdomo wa kuwasemea Watanzania, kupigania haki zao na uhuru wa kweli katika kuendesha nchi yao, the voice of the voiceless, tayari inalifanyia kazi suala hili, kwa umakini mkubwa. Wafanyakazi na Watanzania kwa ujumla watulie kwa sasa. Setikali hii sasa inaelekea kusiko...

The govt, particularly this one, is bcoming more and more insensitive. It is now inviting mass strike ever happened in the country.
 
sioni sababu yoyote ya kulalamika. Umeshaambiwa fao la withdraw halipo na wala halikuwepo kwenye sheria ya uanzishwaji wa mfuko wowote! Sasa mnalalamika nini? Sidhani kama ni sahihi kulalamika ukinyimwa msaada. Withdrawal benefits zillikuwa zinatolewa kama msaada tu.

Kumbuka nia na madhumuni ya compulsory benefit schemes ni kwaajili ya kukusaidia kwenye kipindi ambacho huwezi tena kufanya kazi either kwa ugonjwa au uzee. Siyo saving schemes ujichukulie tu contribution zako unavyotaka!!!
sawa mjasiriamali..mindhali wewe haupo huku basi tuachie sisi huu muziki tuucheze wenyewe..wewe unasema msaada mi nasema michango(deposits) yangu..sasa sidhani kaa tutaja elewana. just stay in ur lane and enjoy the ride.
 
Kama hiyo fedha itakua na riba angalau naweza kusema pengine kuna tumaini.
Mpaka mtu afikishe miaka 55 duh! je thamani ya hela itaendelea kuwa vile vile?
Hawa watu PAYE wanachukua na PENSION pia loh!
 
Watanzania bado hawajajitambua ni mpaka hapo watakapo jitambua na kujua thamani yao ndani ya taifa lao ndipo hapo watakapo jifunza namna ya kudai haki kwa kuisimamia serikali kutenda kwa matakwa ya umma,bila ya hivyo mtaendelea kuwa watumwa wa wanasiasa na familia zao.
 
chadema kwa hili msipotuongoza kwa kweli sita waelewa maana wengi wetu tunategemea sana hivyo nssf na pff kwaajiri ya kuanzisha vikampuni vyetu ili tuweze kujiajiri baada ya kuchoka kuajiriwa sasa ukiniambia nizichukue baada ya mika 60 kama siyo **** ni nini au pensioni ni kwaajiri ya wajukuu?..ccm ninawachukia yaani hapa nilipo nikikutana na mseng akaisifia ccm ni bisibisi ya masaburi tu..
 
Hili suala limeshafika mahali husika ambapo matatizo ya Watanzania yanazungumziwa. Taasisi pekee ambayo kwa miaka zaidi ya saba iliyopita imejipambanua nchini kuwa ndiyo mdomo wa kuwasemea Watanzania, kupigania haki zao na uhuru wa kweli katika kuendesha nchi yao, the voice of the voiceless, tayari inalifanyia kazi suala hili, kwa umakini mkubwa. Wafanyakazi na Watanzania kwa ujumla watulie kwa sasa. Setikali hii sasa inaelekea kusiko...

The govt, particularly this one, is bcoming more and more insensitive. It is now inviting mass strike ever happened in the country.
Tumain Makene

Nimefurahi sana kuwa sauti yetu imesikika huu ni unyonyaji wa hali ya juu
hawa jamaa wanatutania

Yaani hawezekani mimi niache kazi leo ndo nisubiri 55 yrs ndo nichukue hela yangu
inakuwa hii hela ya mifuko hii wanatupangia matumiza yake?

This is very stupid nina hasira na hili riserikali agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Last edited by a moderator:
sioni sababu yoyote ya kulalamika. Umeshaambiwa fao la withdraw halipo na wala halikuwepo kwenye sheria ya uanzishwaji wa mfuko wowote! Sasa mnalalamika nini? Sidhani kama ni sahihi kulalamika ukinyimwa msaada. Withdrawal benefits zillikuwa zinatolewa kama msaada tu.

Kumbuka nia na madhumuni ya compulsory benefit schemes ni kwaajili ya kukusaidia kwenye kipindi ambacho huwezi tena kufanya kazi either kwa ugonjwa au uzee. Siyo saving schemes ujichukulie tu contribution zako unavyotaka!!!

Rejao acha upuuzi mie miner nina hasira nikikutana na wewe nakuumiza,,unajua ninavyoathirika hapa mgodini
 
Kama ndio hivi hata Wabunge hamna kuchukua mafao yao baada ya kipindi chao kuisha..mpaka watakapofikisha umri wa kustaafu. Na kwa mujibu wa ubunge napendekeza iwe miaka 75 ili nao waonje uchungu huu,,,
 
Tunasubiri tamko la serikali juu ya hili maana watakosa kura za wafanyakazi zooote haki tena tutaiangusha ccm na serikali yake kwa kura za hasira
 
Serikali inakaribisha hasira nyingine kutoka kwa wafanyakazi..wamemaliza na Ma-Dr sasa wanahamia kwa wafanyakazi wangine..Impact yake itakuwa kubwa sana kwa CCM yetu..
 
natamani kuchinja mtu kwa hili

Hivi hii ppf wafanyakazi wamepigania kutoka huko lakini sasa ndio serikali inapitisha sheria ya ajabu hivi ili kuwabana wafanyakazi! Yaani unamlazimisha mtu kufanya kazi kwa muda asiojisikia? Who the hell is Irene? Kama mafao ni mpaka miaka 55 na mtu akijitoa hapewi mafao, kwa nini pia isiwe hiari kujiunga? Nadhani hata magamba wafanyakazi kama wana akili hata za kubangaiza wataona hili la serikali na wakuu wao. Hili likome 2015.
 
3. Kwa kuzuia fao la kujitoa mwanachama anapata fursa ya kupata mikopo ya nyumba kwa kutumia dhamana ya michango yake kama ilivyoelezwa kwenye Sheria ya SSRA kipengele cha 38.
mabenki yangetoa mikopo kwa kutumia mafao kama kinga watu wasingetoa hayo mafao. wanatoa kwa vile mikopo haipo.
 
Atukilia

Hizi zote sanaa hakuna kitu, mfano una accumulation ya 3.5 mill au 10 million utawezaje kupata mkopo? huu ni wizi
hawa watu wanatuchezea
 
Last edited by a moderator:
Duh hapa dawa ni maminer kuanzisha mgomo kiaina mpaka uzalishaji ushuke, ukishuka Barrick,GGM wataongea na serikali dhaifu kwamba wawasamehe maminer ndo watasikilizwa lakini sisi sijui nasikia viongozi wa Tamico wameitwa Mwanza angalieni wasije nunuliwa dawa ni kuzuga ki aina mpaka ishu ieleweke angalia suala la kodi wananchi wanapiga kelele wabunge nao lakini siku waziri wa fedha akisoma bajeti kodi ni bia na soda mpaka wanatishiwa wasipopitisha bajeti bunge litavunjwa bila Barrick kulalamika hapa hamna kitu esp mtanzania mwenzetu .....anayelipwa dola 700000 kwa mwezi ila sidhani kama anatusapoti kwa age yake na hela anazolipwa kwani miradi aliyonayo anaweza kusubiri mpaka miaka 55
 
Duh hapa dawa ni
maminer kuanzisha mgomo kiaina mpaka uzalishaji ushuke, ukishuka
Barrick,GGM wataongea na serikali dhaifu kwamba wawasamehe maminer ndo
watasikilizwa lakini sisi sijui nasikia viongozi wa Tamico wameitwa
Mwanza angalieni wasije nunuliwa dawa ni kuzuga ki aina mpaka ishu
ieleweke angalia suala la kodi wananchi wanapiga kelele wabunge nao
lakini siku waziri wa fedha akisoma bajeti kodi ni bia na soda mpaka
wanatishiwa wasipopitisha bajeti bunge litavunjwa bila Barrick
kulalamika hapa hamna kitu esp mtanzania mwenzetu .....anayelipwa dola
700000 kwa mwezi ila sidhani kama anatusapoti kwa age yake na hela
anazolipwa kwani miradi aliyonayo anaweza kusubiri mpaka miaka
55

mkuu hata makampuni ya uchimbaji yanaweza kuwa nyuma ya hili suala ili waendelee kutunyanayasa vizuri kwa kuwa tutakuwa hatuna kianzio tukiacha kazi zaidi ya kuwa wapole na kuendelea kunyanyaswa dawa ni sisi wadau kulisimika kwa migodi yote ,Inauma sana
 
Migodin watu wanaacha kzi ,safari huko huko,NSSF,kitaeleweka tu,mtu ana million 80,huko unamweleza ujinga,,c peke yake tupo wengi, ,,BUNGE DHAIFU,,.
 
Akipatikana mzalendo moja tu wa kulianzisha watu waingie barabarani kupinga hii dhuluma, nakuhakikishia kwa mara ya kwanza nchi hii itaingia katika historia mpya.
 
Back
Top Bottom