Hawa jamaa wanadhani wataweza kubadilisha hizi sheria mpaka lini? Je hawajui kuwa leo watabadili sheria kwa kuona mwanya na kesho waone kuwa mifuko ina hela na kuendelea kukopa hatimae kijikuta wanakopa zaidi, je wataendelea kubadili sheria ili wastaafu wasubiri mpaka mfuko utakapo lipwa na serikali? Sisiem tafakarini sana, acheni kutumia mabavu katika kufikiri na kufanya maamuzi yasiyo kuwa na tija kwa walalahoi.
Hapa ndo wale wanaosema kuwa hiki si chama cha wakulima na wafanyakazi tena wanakuwa na pointi! Si chama cha walalahoi tena hiki ndugu yangu,kina wenyewe.