Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,336
- 10,896
- Thread starter
- #101
Jiwe anasema tufyatue watoto.... akili za kuambiwa changanya na za kwako. Ukipata mzazi wa kukujengea nyumba na kukupa elimu bila shaka huyo anajitambua sana. Na aina ya wazazi hao hawahitaji msaada wa kununuliwa chakula na watoto wao. Wanahitaji msaada wa kupelekwa hospitali kama ni wagonjwa, ama kuvalishwa nguo kama wanakiharusi nk.
Kweli kabisa. Ukiwa mzazi wa hivi unaangalia ni mtoto wako yupi amepungukiwa akili za maisha ili umsaidie baadhi ya ishu kama kusomesha watoto wake n.k. Kwani hao ndio ukoo wako wewe. Wametoka kiunoni mwako