Hakuna jambo baya kama baba kumtegemea mwanaye

Hakuna jambo baya kama baba kumtegemea mwanaye

Kuna wababa wengine sijui Vipi Yani anathubutu kumtelekeza m(wa)toto mazima!
Yani mtoto hadi anamaliza Chuo kikuu na kuanza kazi baba hajui mwanae alikuwa anakula nini, anavaa nini na kuishi wapi, Hata ndala hajawahi mnunulia mtoto kitu chochote chenye thamani Hata ndala hajawahi mnunulia mtoto Hata mia hajawahi mpa mwanae!
Imagine?!
Halafu hapo baba aje Juu kudai matunzo?
Kila penye haki hapakosi kuwa na wajibu na maranyingi wajibu huanza kisha ndo haki!
Imeandikwa " laana isiyo na sababu haimpati Mtu "
 
Watoto wengi sana wanazaliwa bila kupangwa hususa Barani Africa!
Yani Mume na Mke wanakutana kimwili mara ujauzito mtoto kazawaliwa lakini wazazi wake hawa kupanga kumzaa imetokea tu!
Uzoefu unaonesha watoto wanaopangwa kuzaliwa Kabla na wazazi wote Wawili huwa wa pekee sana !
Takwimu zinaonesha Walau Kwa % ndogo sana nchi ya Ethiopia imethubutu kuwa na Watu wachache wenye kupanga kuzaa mtoto Kabla hajazaliwa!
Hii kitu ina faida nyingi sana za mwilini na rohoni Kwa mtoto na wanaomzunguka popote duniani ktk maisha Yake yote na hatima Yake !
 
Na kuwatendea wema wazazi wawili, Kila mahali katika Quran Mola alipozungumzia haki na stahiki zake ,linafuata inakua hiyo sentensi nilio Anza nayo ,
Chunga kijana
 
Akili yako inaonekana haina uwezo wa ku-connect kabisa. Mtu kuhonga mpenzi wake unalinganishaje na kumsaidia mzazi wake?
usidandie basi kwa mbele ndugu. Pitia upya mada zangu ujiridhishe kama kuna sehemu nimeongelea kuhonga mpenzi. Inaonekana na wewe ni walewale wajinga wajinga.
 
Kuna wababa wengine sijui Vipi Yani anathubutu kumtelekeza m(wa)toto mazima!
Yani mtoto hadi anamaliza Chuo kikuu na kuanza kazi baba hajui mwanae alikuwa anakula nini, anavaa nini na kuishi wapi, Hata ndala hajawahi mnunulia mtoto kitu chochote chenye thamani Hata ndala hajawahi mnunulia mtoto Hata mia hajawahi mpa mwanae!
Imagine?!
Halafu hapo baba aje Juu kudai matunzo?
Kila penye haki hapakosi kuwa na wajibu na maranyingi wajibu huanza kisha ndo haki!
Imeandikwa " laana isiyo na sababu haimpati Mtu "

Mtu huvuna alipopanda,
 
Back
Top Bottom