Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,336
- 10,896
- Thread starter
- #121
Ukiona unaombwa pesa na huyo baba jinga jua anatambua kuwa wewe mwanae ni baba jinga unayesubiri mda kufika,ukishaona upo kwenye mfereji huu jitafakari mara mbili namna ya kutoka katika mfumo huu,na sio kulalama.Mzazi ambaye alijipanga vizuri atatamani sana kuona ukifanya vitu vya maendeleo na wala hana tabia ya kuomba pesa.
Ila naomba kukushauri kuwa katika maisha ya duniani some shit happens,kama vile kuhujumiwa,kutapeliwa,majanga kama vile moto,mafuriko na kadhalika,kwa hiyo mtoa mada we cant judge all fathers kama ulivyo generalize""baba jinga"",and some time watoto wajinga sana sana hawa wa sasa hivi ambao wanasomea kwenye simu,na kwenye shule zisizokuwa na mitaala rasimi,wanaweza waka misuse rasilimali zote za baba,au hata ikitokea familia ikawa na msukosuko wa ndoa ;watoto wanaweza kushirikiana na mama yao kuhujumu mali ya baba yao.
Swala la ubaba lina maana sana,maana unapokuwa baba unakuwa umezaa mpaka wake za wanao wa kiume,au baba wa wanaume ,walio oa wanao wa kike,kwa hiyo hili swala sio la kuliendea kimchezo mchezo,ndo maana ikitokea baba akatokea amehujumiwa,au kuwekwa chini ya mufilisi,the only solution ni ku-officialise suicide ili kuepuka fedheha kama hizi za huyo mtoa mada.
Mkuu mbona kama umepaniki hivyo. Mzazi ni mzazi tuu bila kujali nafasi yake. Ila mada hii ipo kwa lengo kwa kuwaasa vijana wa sasa wafanye kazi na kuwekeza ili uzeeni wasipate tabu. Wawe msaada kwa watoto wao. Ikiwa itatokea dhararu kama ya kuhujumiwa, kutapeliwa, kudhulumiwa hiyo ni kesi nyingine.
Umegusia vitu muhimu sana. Ishu ya ndoa endapo Mama atathubutu kumhujumu Baba kwa kushirikiana na Watoto ujue kuna tatizo la msingi Aidha Baba unatabia ya kutapanya mali. Au hukuimudu familia yako tokea mwanzo