Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,351
Sio mama yako huyo, uliza vizuri. Alitaka kukutoa kafara ukiwa mtoto ukute, ila ukapona kwa kudra za Mungu. Na baada ya kushindwa amepoteza upendo wote kwako.Kwa akina mama hiyo huwa inatokea.Mimi mwenyewe mama yupo hivyo, yaani km hujamtumia pesa kwa muda mrefu siku ukimpigia utakuta ni km vile Hana muda na simu Yako,Mtu anakuuliza ulitaka kusemaje sasa?, Swali hili unaulizwa kabla ya kujuliana Hali.
