Hakuna binadamu anayekupenda kwa dhati

Hakuna binadamu anayekupenda kwa dhati

Mimi hili lilinikuta nikiwa mdogo sana wakati wazazi wangu walipoyumba kiuchumi,marafiki,ndugu na hata wanafunzi niliosoma nao waliingia mitini,ilinibidi nitafute marafiki wenye uwezo wangu ndio ikawa faraja yangu,ilikuwa ni funzo kwangu kwani tokea kipindi hicho sijawahi kuamini kuwa kuna mtu anayeweza kunipenda kwa dhati zaidi ya wazazi wangu,ndugu zangu wa tumbo moja,watoto wangu na Mungu wangu ambaye upendo wangu yeye haulinganishwi na chochote....
Kweli kabisa, Upendo wa binadamu ni WA kuangalia wewe una kitu gani, wakati Upendo wa Mungu hauangalii kitu chochote.
 
Aisee ni watu wachache sana watakuelewa kwa maana watu wanapenda kudanganywa, na huwezi kujua jinsi watu walivyo ni mpaka upitie mahali pagumu ndio utajua hujui, Ukiwa na kazi nzuri ni kosa ukiwa huna kazi ni kosa, Hivyo ni kujipanga ukijua kwamba hawa ambao wako na wewe wanasubiri uteleze ndio wakuonyeshe jinsi walivyo katika nafsi zao,

Lakini ukiwa unayachunguza mazingira watu waovu hawawezi kukukaribia kamwe maana utawajua kabla hawajaanza kukuletea stress.

Watu wako wana mambo mengi ambayo wanaweza kuyatenda ili wakuondoe katika mstari, kuanzia kuzungumza yao, matendo yao na jinsi wanavyoshirikiana na wewe.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mama yangu mzazi alinipenda sana na akawa anaongea na mimi muda mwingi na kuniombea sana. Leo pesa zimeisha hata nikipiga simu wanapewa watoto wa marehemu dada yangu waongee (shikamo mama.... jibu; ongea na wajomba zako mimi sina cha kuongea na wewe). nikienda kijijini hata chakula wakiivisha sipo wanakula sibakishiwi. Namshukuru Mungu wakati nina unafuu wa maisha nilijitahi kuboresha ustawi wa wazazi wangu hata nyumba nzuri nikawajengea. Nimeamua niende mbali na kijiji changu zaidi ya kilometa 800 nije nihangaike tena na sasa natafuta kwa tabu ili nipate tena nirudishe mahusiano mazuri na Mama yangu ambaye kumbe nikiwa na pesa ndo upendo unakuwepo. Tusiache kusaidia na kujitoa kwa ajili ya wazazi wetu.
 
The problem you can't tell from their faces. Yanakukenulia kenulia mimeno tu ndani kwa ndani yana maumivu makali sana.

Ndo maana na mimi nayaombeaga mabaya tu jinsi wao wafanyavyo kwangu.
Hapo unakosea, wasamehe kwa sababu ukiwaombea mabaya uziba baraka zako.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mkibahatika ipo siku wengi wenu mtagundua kuwa dhana ya kuwaona watu kama “rafiki” au “adui” haina uhalisia. Kiingereza tunaweza kuita “fallacy”
 
Maisha hayana formula, mtu yeyote anaweza akawa mzuri na akawa mbaya vile vile.

Kuna watu wamefanyiwa mabaya na ndugu, mke, mme, watoto na hata marafiki.Na kuna watu wametendewa wema na ndugu, mke, mme, watoto na hata marafiki. Unaweza ukapata matatizo hadi watu wote wa karibu wakakutenga ukasaidiwa na watu baki kabisa.

Ila cha msingi tu kwenye maisha ishi na watu vizuri, watu ndio watakaokusaidia. Ukisema uwe mbinafsi ujiangalie wewe tu, wewe si Malaika ipo siku utapata tu shida na utahitaji msaada wa haohao unaosema ni wanafiki.
 
Rafiki ninaye wawiili mmoja ni bro wangu. Ambao Sina Shaka kuwa naweza beba family yangu tukaishi kwake kula kulala juu Yao. Rafiki manaye you've to polish them ila Ile real friend it happen in rare case Sana.
Nimesoma primary tatu,olevo moja, advance shule tatu,chuo kikuu viwili kimoja hapa nchini kingine kwa Putin Ila Nina only one real friend,ambaye akiwa na njaa naumia na vice versa is the true
Hongera mno!! Hapo uliposema "nikiwa na njaa nakwenda na familia yangu, kula na kulala juu yake", nimetoa mchozi. Kweli zimwi likujualo halikuli likakwisha. mimi sina rafiki kabisa, ila wewe kama unaye hongera. Vipi nasikia Warusi ni makatili mno kuliko Wamarekani, kuna ukweli?
 
Mama yangu mzazi alinipenda sana na akawa anaongea na mimi muda mwingi na kuniombea sana. Leo pesa zimeisha hata nikipiga simu wanapewa watoto wa marehemu dada yangu waongee (shikamo mama.... jibu; ongea na wajomba zako mimi sina cha kuongea na wewe). nikienda kijijini hata chakula wakiivisha sipo wanakula sibakishiwi. Namshukuru Mungu wakati nina unafuu wa maisha nilijitahi kuboresha ustawi wa wazazi wangu hata nyumba nzuri nikawajengea. Nimeamua niende mbali na kijiji changu zaidi ya kilometa 800 nije nihangaike tena na sasa natafuta kwa tabu ili nipate tena nirudishe mahusiano mazuri na Mama yangu ambaye kumbe nikiwa na pesa ndo upendo unakuwepo. Tusiache kusaidia na kujitoa kwa ajili ya wazazi wetu.
Si mama yako mzazi. Trust my word, dunia ina SIRI nyingi. Labda wewe ni mtoto wa aliyekuwa shoga yake, ila akakuacha mikononi mwake kwa makubaliano ya kutotoa siri baada ya mama yako mzazi kufariki.

Au alikuasili kwa namna yoyote ile. Anza kuchunguza sasa utajua, katika usawa huu jaribu kuwa MTUNDU. Usikae 'kindezi' mkuu, watu wana siri nzito, hii dunia. Shauri yako!
 
Ndugu yangu wewe hujasoma vizuri huo uzi.Mimi ni mtu mzima naelewa ndio maana nililaumu Sana.Kwasababu yeye alikuwa akinikopa at any time.
Sasa hata kama alikuwa akikukopa at any time, si ulikuwa nazo za kukopesha? Pia hazikuwa na malengo kwa wakati huo na ndio maana ukakopesha. Yeye alikuwa na malengo na pesa yake kwa wakati huo na ndio maana hakukukopesha.

Tuache lawama!
 
Kha!kha!,Eti hazikuwa na kazi?, Unajua urafiki wa kushibana wewe?, Unaelewa maana ya urafiki wa kufa na kuzikana?.
 
Si mama yako mzazi. Trust my word, dunia ina SIRI nyingi. Labda wewe ni mtoto wa aliyekuwa shoga yake, ila akakuacha mikononi mwake kwa makubaliano ya kutotoa siri baada ya mama yako mzazi kufariki.

Au alikuasili kwa namna yoyote ile. Anza kuchunguza sasa utajua, katika usawa huu jaribu kuwa MTUNDU. Usikae 'kindezi' mkuu, watu wana siri nzito, hii dunia. Shauri yako!
 
Maisha hayana formula, mtu yeyote anaweza akawa mzuri na akawa mbaya vile vile.

Kuna watu wamefanyiwa mabaya na ndugu, mke, mme, watoto na hata marafiki.Na kuna watu wametendewa wema na ndugu, mke, mme, watoto na hata marafiki. Unaweza ukapata matatizo hadi watu wote wa karibu wakakutenga ukasaidiwa na watu baki kabisa.

Ila cha msingi tu kwenye maisha ishi na watu vizuri, watu ndio watakaokusaidia. Ukisema uwe mbinafsi ujiangalie wewe tu, wewe si Malaika ipo siku utapata tu shida na utahitaji msaada wa haohao unaosema ni wanafiki.
Asante kwa ushauri.
 
Rafiki yangu wa dhati ni mfugo wangu, eg kondoo ,kuku ,ng'ombe, bata, mbuzi na mazao yangu shambani... Hata nkifulia havinisemi vibaya kwa watu ndo vinanisaidia kwa usili vinanipa pesa, nakusihi sana penda kinachokupa kuishi. ila ishi vizuri na watu sana.
Asante Chifu,kwa ushauri.Barikiwa sana.
 
Aisee ni watu wachache sana watakuelewa kwa maana watu wanapenda kudanganywa, na huwezi kujua jinsi watu walivyo ni mpaka upitie mahali pagumu ndio utajua hujui, Ukiwa na kazi nzuri ni kosa ukiwa huna kazi ni kosa, Hivyo ni kujipanga ukijua kwamba hawa ambao wako na wewe wanasubiri uteleze ndio wakuonyeshe jinsi walivyo katika nafsi zao,

Lakini ukiwa unayachunguza mazingira watu waovu hawawezi kukukaribia kamwe maana utawajua kabla hawajaanza kukuletea stress.

Watu wako wana mambo mengi ambayo wanaweza kuyatenda ili wakuondoe katika mstari, kuanzia kuzungumza yao, matendo yao na jinsi wanavyoshirikiana na wewe.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa Mkuu.Nimekupata vema kabisa.
 
Mama yangu mzazi alinipenda sana na akawa anaongea na mimi muda mwingi na kuniombea sana. Leo pesa zimeisha hata nikipiga simu wanapewa watoto wa marehemu dada yangu waongee (shikamo mama.... jibu; ongea na wajomba zako mimi sina cha kuongea na wewe). nikienda kijijini hata chakula wakiivisha sipo wanakula sibakishiwi. Namshukuru Mungu wakati nina unafuu wa maisha nilijitahi kuboresha ustawi wa wazazi wangu hata nyumba nzuri nikawajengea. Nimeamua niende mbali na kijiji changu zaidi ya kilometa 800 nije nihangaike tena na sasa natafuta kwa tabu ili nipate tena nirudishe mahusiano mazuri na Mama yangu ambaye kumbe nikiwa na pesa ndo upendo unakuwepo. Tusiache kusaidia na kujitoa kwa ajili ya wazazi wetu.
Kwa akina mama hiyo huwa inatokea.Mimi mwenyewe mama yupo hivyo, yaani km hujamtumia pesa kwa muda mrefu siku ukimpigia utakuta ni km vile Hana muda na simu Yako,Mtu anakuuliza ulitaka kusemaje sasa?, Swali hili unaulizwa kabla ya kujuliana Hali.
 
Back
Top Bottom