Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Status
Not open for further replies.
Hakuna kitu kama hicho, kuna kesi mahakamani, wewe leo mbunge aseme ile kampuni haiko kisheria halafu kampuni hiyo hiyo ina kesi kumi mahakamni na zingine na Tanesco. inakuingia akilini?

Sijui mawazo yenu yakoje, mimi mawazo yangu tofauti.
ndiyo maana tunafunua kote. kama mwanasheria mkuu wa serikali anabariki wizi, unafikiri majaji wa mahakama watashindwa kuendesha kesi ya kampuni hewa!?. mawazo na maoni yako ni tofauti kwasababu umeisha amua cha kuamini, ushahidi wowote ukienda kinyume unaona ni batili.
 
images
 
Huyu FaizaFoxy mimi mpaka Leo sijuagi kama ni me au ke.!

Lakini bado navutiwa sana na ukaidi wake humu jukwaani.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unasema pesa hazikuchotwa? kwa hiyo PCCB na CAG ni waongo!

Pesa hazikuchotwa na sijaona mahala paliposema zimechotwa, pesa zimelipwa, tena siyo zote, zingine bado zimezuiliwa amma na TANESCO amma na Serikali. Billion zaidi ya 90 zilizozuiliwa, Why?
 
Huyu FaizaFoxy mimi mpaka Leo sijuagi kama ni me au ke.!

Lakini bado navutiwa sana na ukaidi wake humu jukwaani.

Hapana si ukaidi ni hoja tu. Mimi ni mwanamke mtu mzima wa miaka zaidi ya 55, lakini najuwa kucheza na kompyuta zaidi ya vijana wa leo.
 
OTE=FaizaFoxy;11244901]Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.

Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.

Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.

Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.

Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.

Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.

Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.

Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.

Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.[/QUOTE]Ukokwenyesikuzetu ninii???

Uko
 
Hoja ni nini hapa? Yaani hakuna pesa iliyoibiwa au.........
 
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.

Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.

Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.

Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.

Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.

Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.

Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.

Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.

Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.

FaizaFoxy hebu jaribu kufikiria kwa kutumia huo uji mweupe kichwani kwako wenyewe wanauita ubongo,hizo hela walionufaika nazo ni wabia wa PAP?wamelipwa kwa ajili gani?kwann wengine wameenda na viroba na maboksi kuchukua malipo yao?napata shida kukuelewa to be honest. YOU ARE JUST FINISHING THE AIR IN TZ SHAME ON YOU. Nenda Muhimbili kesho for tour then urudi kuongea hayo unayo yaongea. Sipendi kukudharau lakini nahisi unanilazimisha
 
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.

Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.

Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.

Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.

Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.

Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.

Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.

Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.

Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.

Mimi pia baada ya kuisikiliza nimegundua kuna mapungufu mengi katika report ile, mapungufu hayo ndiyo nguvu ya majibu yanayotarajiwa kutolewa na serikali. Naona kabisa ushindi upo kwa mwenye zamu ya kuucheza mpira wa kesho. Ni suala la kusubiri

Ila kuhusiana na hilo nililolipa rangi nyekundu hapo juu, sikumsikia akisema hivyo, nilichosikia ni khuhusiana na ushauri wala si kuamuru.
 
Pesa zilikuwa za umma kabla hazijapelekwa BoT kulipwa wafanyabiashara watapomaliza matatizo yao. Ukishamlipa mfanya biashara zinakuwa zake si za umma.

Kumbuka, kutokana na nilivyomsikia Zitto, ilikuwa zilipwe billion 306 lakini zimelipwa billion 182 tu na zingine zimezuiwa na TANESCO au Serikali, jiulize kwanini?
Hebu fafanua hao wafanyabiashara walimalizana vipi matatizo yao hadi walipane.?
 
ndiyo maana tunafunua kote. kama mwanasheria mkuu wa serikali anabariki wizi, unafikiri majaji wa mahakama watashindwa kuendesha kesi ya kampuni hewa!?. mawazo na maoni yako ni tofauti kwasababu umeisha amua cha kuamini, ushahidi wowote ukienda kinyume unaona ni batili.

Hakuna mahala nilipoona kuwa Mwanashera Mkuu kabariki wizi. Nnachokiona ni fitna tu.

Mwansheia anatuhumiwa kuwa kamwaamuru Gana alipe, wakati huohuo Gavana ndiye wakala wa walipaji na walipwwaji, sasa kama Gavana iweje aamriwe na AG? atakuwa ni punguani huyo Gavana.

Shutuma nyingine niliyoisikia ni kuwa eti kwanini AG kaseema hio pesa zi za umma? khaa! what a rubbish point, kama zilikuwa za umma kwanini zikae escrow account? fikiri.

Hizo ndiyo tuhuma kwa AG zilizozosikia na zote ni bogus si za kumfanya mtu aachie ngazi, kama unazijuwa zingine nifahamishe.
 
Pesa zilikuwa za umma kabla hazijapelekwa BoT kulipwa wafanyabiashara watapomaliza matatizo yao. Ukishamlipa mfanya biashara zinakuwa zake si za umma.

Kumbuka, kutokana na nilivyomsikia Zitto, ilikuwa zilipwe billion 306 lakini zimelipwa billion 182 tu na zingine zimezuiwa na TANESCO au Serikali, jiulize kwanini?
FF kuna kitu eidha kwa makusudi au kwa sababu unazozijua wewe hukijui.... TANESCO ILIKUWA inalipa VAT pamoja na mambo mengine, KWENYE HIYO AKAUNTI ..
VAT ni fedha ya uma
 
Sihangaiki bali natoa mawazo kwa muono wangu kama wewe unavyotoa mawazo yako kwa muono wako.

umeongea la maana sana, kuna watu wanajiita wana "demokrasia" lakini ndio wa kwanza kubana haki ya mtu kutoa mawazo yake jinsi aonavyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom