Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Status
Not open for further replies.
Sihangaiki bali natoa mawazo kwa muono wangu kama wewe unavyotoa mawazo yako kwa muono wako.

Quotation-Jim-C-Hines-freedom-stupidity-speech-consequences-saying-Meetville-Quotes-116157.jpg
 
Si hasa inarun dunia ooooohh!! Si hasa inarun dunia! Hahahaha! Big up politiki! Walofanikisha mpango huu wamekodoa meno sasa kwatuuuuu!
 
Who is "JL"!!? Hata facts huna!! Kaa kimya!!?

James nani sijui, ya amma ni JL au JR, jina lake la mwisho sijalishika. Yule Mzee wa mamisalaba aliyeuza 30% yake ya IPTL.
 
Sihangaiki bali natoa mawazo kwa muono wangu kama wewe unavyotoa mawazo yako kwa muono wako.
Faiza mimi nashukuru kwanza kwa wewe kuchambua hoja , akili yako inapimwa hapa kumbuka kila mtu ana uwezo tofauti ila hatujuani
Mimi ninachokosoa kwenye ripoti ya Zitto ni kwamba kwa nini wametaja majina ya watu waliochukua fedha Benki ya Mukombozi ambapo zimetoka fedha kidogo lakini wameshindwa kutaja hata jina moja kutoka Benki ya StanBic ambako zimetoka fedha za kutisha?
 
FaizaFoxy acha kujiaibisha kwa kuleta ujuaji wa kipunguani, unavyotaka gavana athibitishse kuwa malipo ni halali kisheria na kumtoa AG katika hilo, sasa kazi ya mwanasheria mkuu ni ipi kama mambo ya kisheria yanafanywa na wengine?

Zitto kasema AG katoa amri zilipwe, wakati huo ni uongo.. AG hawezi kutoa amri kwa Gavana wa BoT.
 
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.

Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.

Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.

Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.

Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?

Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.

Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.

Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.

Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.

Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.

Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.

ili ujue kiswahili fasaha, nakushauri urudi , then fikili kabla hujandika ulichokiandika hapo. watu kama nyie mnaweza kufurah baada ya kukuta dadako kabakwa nawe unashuhudia, then unasema kajipendekeza sabab unapewa eti buku 7 ya kula. akili ndogo bado
 
Hahahh jamaa huyu mbna povu??? AG si ndo mshauri mkuu wa masuala ya kisheria ya serikali??? acha wehu
 
Faiza mimi nashukuru kwanza kwa wewe kuchambua hoja , akili yako inapimwa hapa kumbuka kila mtu ana uwezo tofauti ila hatujuani
Mimi ninachokosoa kwenye ripoti ya Zitto ni kwamba kwa nini wametaja majina ya watu waliochukua fedha Benki ya Mukombozi ambapo zimetoka fedha kidogo lakini wameshindwa kutaja hata jina moja kutoka Benki ya StanBic ambako zimetoka fedha za kutisha?

Hata mimi sijui kwanini.
 
Hahahh jamaa huyu mbna povu??? AG si ndo mshauri mkuu wa masuala ya kisheria ya serikali??? acha wehu

Kushauri si kuamuru. AG hana ubavu wa kumwamuru Gavana atoe fedha, huyo Gavana atakuwa mwehu akiamriwa na AG kutoa fedha na yeye akakubali.
 
kumbe Faiza hufahamu mengi ya nchi hii, and possibly ur not Tanzanian, ntakuja kwenye huu uzi after one week, kwa neema za Mungu mkuu
 
Pesa watu walizopewa wamepewa na JL, JL ni mmiliki halali wa IPTL na kauza shares zake kihalali na ana haki ya kuzitumia fedha zake atakavyo.
Kwa hiyo CAG,TAKUKURU na TRA wamechemsha kusema zile pesa ni za Uma .
 
ili ujue kiswahili fasaha, nakushauri urudi , then fikili kabla hujandika ulichokiandika hapo. watu kama nyie mnaweza kufurah baada ya kukuta dadako kabakwa nawe unashuhudia, then unasema kajipendekeza sabab unapewa eti buku 7 ya kula. akili ndogo bado

= fikiri

Mwana fasaha wee!
 
Kwa hiyo unasema pesa hazikuchotwa? kwa hiyo PCCB na CAG ni waongo!
 
Kwa hiyo CAG,TAKUKURU na TRA wamechemsha kusema zile pesa ni za Uma .

Pesa zilikuwa za umma kabla hazijapelekwa BoT kulipwa wafanyabiashara watapomaliza matatizo yao. Ukishamlipa mfanya biashara zinakuwa zake si za umma.

Kumbuka, kutokana na nilivyomsikia Zitto, ilikuwa zilipwe billion 306 lakini zimelipwa billion 182 tu na zingine zimezuiwa na TANESCO au Serikali, jiulize kwanini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom