Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,055
- 1,024
Tutaona kama hawatajiuzulu? Wakikataa wananchi tunajiuzulu.
Kushauri si kuamuru. AG hana ubavu wa kumwamuru Gavana atoe fedha, huyo Gavana atakuwa mwehu akiamriwa na AG kutoa fedha na yeye akakubali.
FF kuna kitu eidha kwa makisudi au kwa sababu unazozijua wewe hukijui.... TANESCO ILIKUWA VAT pamoja na mambo mengine KWENYE HIYO AKAUNTI ..
VAT ni fedha ya uma
Kwenye hiyo akainyi tanesco walikuwa wanalipa VAT. Hivyo basi kabla pesa haijachotwa kilikuwa na VAT. Waliochota wamechota na VAT hence fedha za umakwa hiyo kumbe fedha ya umma illishalipwa?
Kwenye hiyo akainti tanesco walikuwa wanalipa VAT. Hivyo basi kabla pesa haijachotwa kulikuwa na VAT. Waliochota wamechota na VAT hence fedha za umakwa hiyo kumbe fedha ya umma illishalipwa?
Kwenye hiyo akaunti tanesco walikuwa wanalipa VAT. Hivyo basi kabla pesa haijachotwa kulikuwa na VAT. Waliochota wamechota na VAT hence fedha za umakwa hiyo kumbe fedha ya umma illishalipwa?
Huwezi kuwa na hatia bila ya kujitetea, mpaka sasa ni tuhuma tu na nnaziona kuwa hazina mshiko.
Hebu fafanua hao wafanyabiashara walimalizana vipi matatizo yao hadi walipane.?
Faiza mimi nashukuru kwanza kwa wewe kuchambua hoja , akili yako inapimwa hapa kumbuka kila mtu ana uwezo tofauti ila hatujuani
Mimi ninachokosoa kwenye ripoti ya Zitto ni kwamba kwa nini wametaja majina ya watu waliochukua fedha Benki ya Mukombozi ambapo zimetoka fedha kidogo lakini wameshindwa kutaja hata jina moja kutoka Benki ya StanBic ambako zimetoka fedha za kutisha?
Kampuni hewa na bado watu wanatetea,watz ni ajabu la kwanza la dunia!au ndo kuhororoja,kubwabwaja na kuwa zwazwa kwenyewe huku?!
Mahakama ilishaamuwa hakuna tatizo na wamemalizana na ikaamuru kuwa kila linaloihusu IPTL kwa sasa litabebwa na PAP na PAP wamekubali kama kuna madeni yoyote wao ndiyo watayalipa, na mikataba ikasainiwa baina yao na TANESCO na Serikali na ndiyo sababu kubwa mpaka leo kuna B 90 hawajalipwa, ikiwa kuna madai yoyote zitatoka kwenye hizo, wanachodaiwa according to Zitto si zaidi ya B30. Sasa fikiri una B30 zao unasema wamekwepa kodi ya B30? haiingii akilini.
Kingine, Zitto hajaonyesha uharamu wowote ule wa VIP kulipwa na PAP, in fact kasema "rugemalila kachukua chake". Lakini hotuba nzima imejaa uharamu wa fedha za PAP kutoka escrow. Cha ajabu zitto anataja majina ya watu wa mkombozi ambako fedha ni halali, anaacha kuwataja hao wa za stanbic ambako katumia muda wote kuthibitisha ni haramu.
Chenge, Ngeleja, Yona, Kimiti, Bukuku na Tibaijuka hawa ni waandamizi serikalini na Kanisani na wote wamelipwa kupitia MKOMBOZI, si rahisi kwao kulisaliti KANISA!!!Nauona ukweli katika Uzi huu.. Ukiangalia kwa jicho LA tatu ukweli nauona.
Baada ya kusikiliza ripoti rasmi ya PAC iliyowasilishwa na Zitto Kabwe na Deo Filikunjombe nnadiriki kusema kuwa hakuna cha maana kwenye ripoti yao cha kuwafanya mawaziri kuwachia ngazi.
Ni drama tu lakini hakuna kipengele chochote cha sheria ambacho hakijibiki au kilichooneshwa kuwa kimekiukwa.
Hukumu ya Mahakama ni ya halali na haina utata na Zitto wala CAG wala TAKUKURU hawajaonesha kuwa ilikuwa ni batili au ya kughushi.
Zitto kapiga porojo nyingi sana kuliko ukweli, na mwanasheria yoyote mahiri anazisambaratisha hoja zake zote ndani ya nusu saa.
Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?
Utata wa IPTL na Standard Chartered ni huko-huko kwao si IPTL iliyokopa, iliyokopa ni Mechmar na Mechmar haiwezi jitokeza kwani imeshafilisika kisheria, Standard Chartered karata yao ya mwisho ni hii na hapa wamepata mwanya.
Nnasikitika kusema na nnaliona linakuja la Serikali kuingia gharama kubwa ya kulipa zaidi ya mara mbili au tatu hizi fedha ikiwa watafata akili za akina Zitto.
Nnashauri, wajadili hili suala bungeni lakini shauri liwachwe kesi kumi zilizopo mahakamani zinazoihusu IPTL zikamilike.
Mapendekezo ya Zitto ya watu kuachia nyadhifa zao ni ya kishabiki na hayana mshiko, watu hawaachii tu nyadhifa zao kwa habari kama hizi ambazo hazina mshiko wa kisheria.
Isitoshe, fedha zilizolipwa escrow si kamili, hizo zilizobaki zilizuiliwa kwanini? Jibu tutalipata kesho na ndilo litakalosambaratisha hoja ya kodi ya Zitto.
Kuna mengi sana ya kuchambua lakini tusubiri kesho, tusiandikie mate na wino upo. Ni matumaini yangu kuwa wote waliotajwa watapewa fursa ya kujibu. Na hapo ndipo mtamjuwa Chenge ni kichwa.
mie wanaponiumiza kichwa wanasema hela yote ya escrow ilikuwa ya tanesco na tena wanadai na zaidi. Sasa sijui muda wote huo toka 2006 IPTL ilikuwa inazalisha umeme wa bure au?
Kwenye hiyo akaunti tanesco walikuwa wanalipa VAT. Hivyo basi kabla pesa haijachotwa kulikuwa na VAT. Waliochota wamechota na VAT hence fedha za uma
Hapo sasa.
Kinachowauma zaidi ni kuwa TANESCO walifunguwa kesi na kesi ikakaa miaka mingi sana, inabidi capacity charges zilipwe tu hata kama haitumiki.
Huo ndiyo ujinga wa TANESCO.
Hadi jana ulikomaa kwamba Report haiwasilishwi leo,
haya imewasilishwa, unapambana na mapendekezo ya kamati!