Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Hakuna atakayeachia ngazi sakata la Escrow

Status
Not open for further replies.
Hivi unajua BOT waliomba idhini ya Raisi na waziri wa fedha kabla ya kutoa hizo hela?

Kuwa mpole kwani kuna document hazijasomwa kuiokoa ofisi kubwa na hizo document zilitolewa baada ya BOT kuomba idhini ya kimaandishi ya ofisi kubwa nchini.

Who cares?chaka la wevi na nondo limechomwa na wht we care most ni exodus huko kuja kwa broad day light..sas cjui rais,bot,au malaika no one cares....take our money to labs n starvin teachers
 
Unatetea uharo kwasababu zifuatazo: huskiza ripoti
kama uliskiza hujaelewa
kama umeelewa -----------
kama hujanunuliwa una matatizo ya ubongo.
 
Rahabu...usihangaike na huyo... kanywa maji ya bendera kiasi cha kutetea kila wendawazimu unaofanywa na mwanachamawenzie

Hapana, hata Kikwete anapokosea nnmkosoa, pitia pitia nyuzi humu utanielewa.

Mfano, sikuunga mkono CCM kuondoa pendekezo la Serikali tatu lakini demokrasia imefanya nikubali matokeo, wengi wape, na tutakwenda kupiga kura wengi watapewa.
 
Naam, hiyo ni haki yako, hata sungura alipokosa zabibu akasema mbichi hizo.

Hope you are paid very well, cause unatetea ujinga ambao uko wazi, kwa hela inaonekana hata mtoto wako unaweza muuwa! We kabila gani samahani, tunaweza kukulaumu kumbe kosa si lako ni la kurithi
 
Unatetea uharo kwasababu zifuatazo: huskiza ripoti
kama uliskiza hujaelewa
kama umeelewa -----------
kama hujanunuliwa una matatizo ya ubongo.

Naona unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
 
Masikini FaizaFoxy amejikuta anajaribu kumuamsha mpendwa wake anayeamini kalala Kumbe amekufa kitambo sana.
 
Last edited by a moderator:
Chizi kweli umepewa ubongo utumie vizuri, sio tu kwa vile una misuli ya kuandika ndo unaandika tu anyhow kisa kila mtu Ana uhuru wa kutoa mawazo! Mawazo gani hayo mgando? Hvi huwezi jistukia kila mtu anakupinga?
 
Wewe Habinder Singh Sethi na wewe James nani sijuwi, mnaona nnavyokesha hapa, ohooo hata hako ka 40m nami kangenifaa.
​
 
Sikiliza, hakuna mwenzangu humu. Wala kuwajuwa siwajui, CCM tuko wengi sana lakini tuna demokrasia, si lazima wote tuwe na mawazo aina moja, sisi si misukule.
ukkitaka hadi ikulu iaibike basi wapuuze mapendekezo ya PAC.
 
Mpaka sasa sijakiona cha maana cha kuiangusha Serikali, nnachokiona ni fitna na watu wamepata pakutokea kisiasa lakini hoja zao kisheria hazina mshiko.

Mbona unajibu mipasho tu hoja nyingine hujibu? Nisikie mawazo yako kuhusu maswali niliyokuuliza katika post yangu ya kwanza tupate kujadiliana na kupanua upeo
 
181723_20140220_172202_12183_719880794697749_1279053772_n.jpg
abraham_lincoln_stupidity_3861.jpg
 
Nahisi mwenzetu anatafuta ubunge wa kuteuliwa kma sio maalumu!
 
Zitto ametetea sana BoT lakini alichoshindwa kuelewa ni kuwa Bot kama wakala ndiye alitakiwa aridhike na vielelezo vyote kabla hajalipa na kama havijakamilika hawezi kutoa fedha. Zitto anasema eti Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndiye alimuamuru Gavana hizo fedha zitolewe, toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali?
FaizaFoxy, labda tatizo lako ni IQ maana naona hapa ni wazi you don't know what you are asking for; warning...you might just get it! Si rahisi kwa akili ya kawaida kuelewa implication ya swali lako la toka lini Gavana wa benki anatoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali? Mbona jibu ni simple; Gavana hawezi kutoa fedha kwa amri ya Mwanasheria Mkuu. Sasa endelea na unachodhani ni utetezi kwa kipenzi chako kumbe unazidi kumwaga petroli kwenye moto...maskini ajuza, tafakari hii;
Mwl Nyerere said:
Kubadili Waziri Mkuu sio jambo la ajabu; Anaweza kujiuzulu, anaweza kufukuzwa Nchi isitikisike. Lakini huwezi kumtimua Rais wa Nchi bila kuitikisa Nchi yenyewe.
 
Hapana, hata Kikwete anapokosea nnmkosoa, pitia pitia nyuzi humu utanielewa.

Mfano, sikuunga mkono CCM kuondoa pendekezo la Serikali tatu lakini demokrasia imefanya nikubali matokeo, wengi wape, na tutakwenda kupiga kura wengi watapewa.
Ingekuwa always wengi wape basi kusingekuwa na vyama vingi Tz leo
 
ukkitaka hadi ikulu iaibike basi wapuuze mapendekezo ya PAC.

Hakuna kitu kama hicho, kuna kesi mahakamani, wewe leo mbunge aseme ile kampuni haiko kisheria halafu kampuni hiyo hiyo ina kesi kumi mahakamni na zingine na Tanesco. inakuingia akilini?

Sijui mawazo yenu yakoje, mimi mawazo yangu tofauti.
 
Pesa watu walizopewa wamepewa na JL, JL ni mmiliki halali wa IPTL na kauza shares zake kihalali na ana haki ya kuzitumia fedha zake atakavyo.

Who is "JL"!!? Hata facts huna!! Kaa kimya!!?
 
wengi walishangaa kanisa katoliki lilivyo makini katika kutawala na kutekeleza majukumu yake iweje leo benki yake na maaskofu wake waingizwe kwenye kashfa kirejareja namna hii. Thanks kwa elimu yako, maana wanaomjua Pinda toka seminari wanahoji kwanini AJIUZULU? umesaidia kuelimisha na watu wasisahau Pinda siyo mluteli kama Lowasa! kule katoliki hawachukiani linapokuja swala la kutawala, so umemgusa pinda na kimiti na mkombozi anyway tusubiri kesho!
 
Utauona tu hao mabwana zako watakapoanza kumwagwa mmoja mmoja.

Hapana, si "mabwana" zangu, nipo hapa kutetea hoja zangu binafsi sina maslahi na mtu yeyote wala mimi si msukule wa kufata upepo. Kumbuka hilo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom