Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,674
- Thread starter
- #61
asante dada ladyfurahia kwa mtazamo wako chanya kuelekea watu wote,inapendeza.
kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu na ndiye yeye Mungu aliyeweka mapambo tofauti
kulingania na vile atakavyo hivyo hakuna mtu mbaya hapa duniani unaposema ni mbaya basi
unamkosoa Mungu na uumbaji wake, mm sioni kama kuna mtu asiyekuwa mzuri wote ini wazuri
Last edited by a moderator: