nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
inatosha sana nameless girl lakini tambua kuwa mtu sio yeye mwenyewe tu bali pia jamii inayomzunguka,kwa hiyo kila kinachomzunguka mtu kinaathiri namna mtu anavyojichukulia na nikwambie kuwa ni vigumu sana kuovercome dhihaka za watu ili mtu ajiamini na ajone yuko sawa ilhali kuna watu kumi wanamfanya ajione duni ilhali yeye yuko mmoja tu anayetaka kujiaminisha ku yu bora na sawa na wengine.....it takes a very brave person to overocome such people na wa hivyo ni wacche sana!!!!!!!!!!!!!!!!!
Haya ndo yanayopelekea wasichana kufanya mambo ya ajabu miilini mwao...
Last edited by a moderator: