Hakuna aliyejiumba!

Hakuna aliyejiumba!

hata hiyo uliyoweka imependezea sana

atii umesahau mm nilikwambia kuwa nimeolewa
kiuhalisia au kijf? hebu nikumbushe kidogo nshasahau
achana na kihalisia bana, nataka kwanza ki-jf jf mamii, sikuonagi ukiwa na kampani yoyote, unajua nilikutongozaga sana enzi zile... tukafika mbaaali sana!! ghafla nikashangaa umetoweka kama moshi!

dah.. iliniuma sana kama sindano ya asubuhi asubuhi...
 
Kwa kuwa mmenichokonoa sana wacha niseme sasa...
Suala la uzuri na ubaya liko kwa beholder, yaana mtu mwenyewe, muhimu ni kujikubali na kukataa kujishusha no matter what! Kuna mabinti wengi tu wa kienyeji as well vijana wa kiume ambao instagram na twitter kwao ni misamiati ila ni wazuri balaa. hawa wanacholack ni hii exposure kidogo na once wakiishajitambua na kujiamini ni weka mbali na watoto wa mjini kwa kuwa ni shida kabisa. To me, siamini katika uzuri, naamini katika confidence...si unamchek Lupita!
Hapo sasa umeongea na bora tulivyokuchokonoa
 
pole mwaya kwa yote hayo usijali
mm niko kisingle+ double = doublesingle
hivyo huwaga spendi kampani za humu kwani nyingi ni :flypig:
na isitoshe ziko kwenye TEAMbazazi
sasa mm niko kiaina aina, ila usiumie si uko kwa ajili yangu tena au?

achana na kihalisia bana, nataka kwanza ki-jf jf mamii, sikuonagi ukiwa na kampani yoyote, unajua nilikutongozaga sana enzi zile... tukafika mbaaali sana!! ghafla nikashangaa umetoweka kama moshi!

dah.. iliniuma sana kama sindano ya asubuhi asubuhi...
 
Last edited by a moderator:
Uzuri ni nini?
Uzuri kulinganishwa na kipi/nani?
Uzuri unaonekana,unasikika ama unahisiwa?
-Wako watu wanaona mtu wanasema "huyu mzuri kwelikweli"..
-Wako watu wanasikia wanamsikia mtu au hata jina lake tu halafu utawasikia "atakuwa mzuri kweli huyu anayeongea/mwenye jina hili"..
-Wako watu wanafanya ngono/'mapenzi' bila hata kuona nyeti za mhusika lakini utawasikia "mzuri kweli yule pale chini"...
-Vipofu pia hujua wazuri,viziwi nao pia..
Ni kazi sana kujiamulia tu kuwa u mzuri kama ilivyo kazi sana kujua uzuri ni nini haswa!!!
 
thats it mkuu hazel na nimependa ufafanuzi wako wa kina kuhusiana na hili utu ni kila kitu kwani hicho ndicho kinachotupa hili jina la watu na wala si sura wala umbo.
Watu inabid waelewe kitu kimoja, wether wewe n mzur au mbaya no is perfect!!
Unaweza ukawa ni mzur machon pa watu au mbaya machoni pa watu na isijalishe, knacho weigh more ni utu wako na jins gan unavojithamin na kuthamin wengine.....
Kujitambua na kujiamin ndo njia pekee itakayokufanya uvuke vkwazo vyote vya walimwengu.....
 
Last edited by a moderator:
dada yangu KOKUTONA sina mengi zaidi umemaliza nami nakuupa pongezi kwanza kwa kujikubali wewe mwenyewe,pili kwa kutodharau wengine kutokana na mionekano yao na tatu kwa kujifunza kutokana na mambo yanayotokea hapa duniani huo ni mtazamo mzuri sana na ni tabia nzuri sana be blessed dada.
Umeongea ukweli mtupu Blue G. Binadamu tumekuwa watu wakukosoa maumbile na mionekano ya watu wengine sbbu tu sisi tumeumbwa na maumbile mazuri ya kuvutia, tumesaha aliyekuumba wewe hivyo ndiye aliyeniumba mimi hivi.
Pia tunasahau kuwa Mungu alikuwaa na makusudi ya kukuumba au kukufanya uzaliwe jinsi ulivyo. Na pia maisha haya huwezi jua,leo ulivyo hutakuwa hivyo kesho, kuna wstu walizaliwa wazima,leo hawana miguu, mikono masikio pua na wengine waliharibika hata nyuso zao waalizoringa nazo kuwa nzuri sana. Kwa mada hii nawaakumbusha HUJAFA HUJAUMBIKA hivyo iwe tosha kutukumbusaha kuwamba usimcheke na kumbeza binadamu mwenzio simply because hana mvuto, mbaya au hana muonekano unaodhani wewe ndo muonekano bomba, Mungu anaufurahia muonekano.

Nakumbuka nilivyokuwa nakuwa nilikua najiangalia sana kwenye kioo na nilikuwa najiona nina kichwa kikubwaa, miguu yangu niliona kama bado haijashiba vile wana sema wa bia, mdomo wangu mkubwaaa. Kumbe Bibi yangu alikuwa ananiobserve mda mrefu bila mm kujua, siku moja akaniita alinipa somo ambalo huwa nalikumbuka daima na wakaati wa maongezi yetu aliniamba mjuukuu umekuwa unapoteza muda mwingi kwenye kioo ukijitazama kulikoni, nilimwelezaa....akaniambia usipowez kujikubali na kujiamini kwamba hivyo ulivyo unapendeza na ni mzuri kwa nafsi yako mwenyewe utapata shida sana. Jiamini, jikubali na jipende na furahi kwa Mungu alivyokuumba hivyo ulivyo. NInachotaka kuwakumbusha ni kwamba kwa maisha haya hata mtu akubeze vp kwa ulivyoumbwa, kama wewe binafsi umejikumbali na unajiamini na jinsi ulivyo hutatetereka na kamwe hutajisikia vibaya sbb mbele za Mungu u mzuri sana. Na bado wapo kwa muonekao nwako wanakupenda na kukuthamini. You are beautiful.

Based n true strory...nilipokuwa nasoma kuna binti mmoja wakibondei kwa kweli alikuwa amejaaliwa sana..ndo wenyeewe mnasemaga mashallah. kwa uzuri alionao kiburi kilimjaa na akawa na tabia ya kubeza wengine tena sometimes wazi wazi, ilifikia watu wkawa wanamchukia kwa tabia zake hizo, yeye wala hakujali, si ni mzuriii sanaaa. Tulimaliza shule. Miaka mingi imepita recently nimekutana naye kwanza nilimsahau kabisa.Yeye ndo aliiniita na nilipotaka kujua tulionana wapi ndo akaniambia mimi ni............i was shocked kwakweli japo nilijikaza asijue. Ni mlemavu wa mguu na mkono mmoja na usoni kwenye paji ana kovu, akasema ni ajali ya gali. Tulipoachana machozi yalinitoka nikajiuliza ni kile kiburi muumba ameamua kumpunguza? Nadhani tujifunze ia kwa matukio yanayotukuta au kuwa kuta wenzetu wanao beza maumbile na mionekano ya wengine, hatujui kesho tutaakuwaje.
As for me najibenda na najikubali jinsi nilivyo regardless kasoro nilizo nazo zinazobezwz na wengine wanionao, ido not care and i alsway thank God kwa jinsi nilivyo. DO THE SAME and YOU WILL HAVE PEACE OF MIND

Tupendane, tufarijiane na kutiana moyo kwa hali zozote tulizoumbwa nazo na si kubezana au kukatishana tamaa.
Ni hayo tuu, poleni kwa kuwachosha
 
Last edited by a moderator:
umenena jambo muhimu sana mkuu NANDERA lakini licha ya kwamba jambo hili halitaisha hiyo si sababu ya kutufanya sisi binadamu kuacha kukumbushana pale tunapoona tuna mapungufu ninachokiamini mimi hata ikiwa somo fulani litatolewa kati ya watu 50 wawili tu wakapiga hatua wakajifunza na kubadilika hayo ni mageuzi makubwa kama nini

na nimependa point yako ya kuwa hata hao wazuri sana wala si wote wanaowaona kama wazuri,ni kweli si kila mtu atakubaliana kwamba funalani ni mzuri wapo watakaopinga kwa nguvu zao zoe kuwa ni mbaya.
Mimi nadhani kila tabia mbaya ipo duniani ili tabia nzuri ionekane na kinyume chake. Ubaya hautakaa uishe pamoja na uwepo wa polisi, magereza, mahakama, matairi, makanisa, misikiti n.k. Sasa badala ya kupigania watu kuacha hiyo tabia ya kukosoa (tuseme tu ila haitaisha) pia tufundishane na namna ya kukabiliana na kukosolewa huko maana hata hao wazuri nao huwa wanapondwa kwani uzuri wao si kila mtu anauona. Nasema hivi kwa sababu haya mambo nimeyaona toka utoto kwa watoto. Mimi ni mweusi na nina nywele kipilipili na nyekundu. Sasa shuleni mi ndo nilikuwa mweusi kuliko wote na watoto wenzangu walikuwa hawaishi kuniandama na weusi na nywele zangu. Nilikuwa naumia sana lakini nilipona siku tulipotembelewa na mgeni (nilikuwa na miaka 6) akanishika mkono halafu akaniangalia usoni na mkono mwingine akanishika shavu akamwambia mama yangu "mtoto wako ana uso mzuri sana, yaani rangi yake inameremeta, kauso kalaini". Hayo maneno yalipenya mifupa yakaingia akilini na moyoni. Kesho yake sikuogopa kwenda shule na kuanzia siku hiyo kukosolewa hakukuisha ila mimi sikuumia tena na nimejifunza mojawapo ya vitu muhimu kwenye malezi ya mtoto ni kumjengea kujiamini kuhusu muonekano wake toka akiwa mdogo kabisa. Nawasilisha.
 
Last edited by a moderator:
Hata ningekuwa na kibamia mkuu ilimradi kinafanya kazi kama inavyotakiwa mbona hamna shida,ili mradi kiwe na uwezo wa kumtungisha mimba mwanamke,kiwe na uwezo wa kumpa haki yake kisawasawa wewe unaona tatizo lake liko wapi? tatizo mmekariri eti ukiwa na muhogo ndo unaweza kumpa raha mwanamke la hasha labda wale wanawake wanaohangaika na saizi ya uume ambao nao mwisho wa siku wanahitaji mwanaume muwajibikaji,hebu fikiria una muhogo halaf hauwezi kuhimili hata dk 15 juu ya kifua cha mwanamke kuna raha hapo au ndo masikini huwezi kutungisha mimba unafikiri atafurahia muhogo wako? performance ya kitandani wala haitegemei saizi ya uume ni kujisumbua na kujipa stress zisizo na msingi,Mungu ameumba vyote vibamia na mihongo kwa mahitaji maalumu hilo unatakiwa ujue,ndiyo maana hata upande wa wanawake wapo wenye uke mkavu,wapo wenye maji mengi wapo wa wastani wote mungu ameumba hakuna aliyejiweka katika hali hiyo....nitoe tena shukrani kwa mtoa maada kwa kutukumbusha hili maana wengi wetu tumezoea kumkosoa Mungu,Hivyo ulivyo haukujiumba mshukuru Mungu kwa vile ulivyo kuliko kukosoa.

nimeipenda hii hasa kwa kumkubusha huyu mwenzetu maaneke naona yeye mwenzetu kamaliza be blessed mkuu.
 
Ukiwaona watu wanakucheka au kukushangaa kwa jinsi ulivyoumbwa, nawe wacheke na kuwashangaa kwa jinsi akili zao zilivyo ndogo hadi zikafanana zote na kutojua suala na kuumba haliko kwa mwanadamu.
 
asante kwa mchango wako mkuu.
Ukiwaona watu wanakucheka au kukushangaa kwa jinsi ulivyoumbwa, nawe wacheke na kuwashangaa kwa jinsi akili zao zilivyo ndogo hadi zikafanana zote na kutojua suala na kuumba haliko kwa mwanadamu.
 
Back
Top Bottom