Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,053
- 137,849
Inabidi kuta za nyumba zipendeze mpaka ukiingia useme waoooh amejitahidi
Nahitaji kufanya moulding ya ukuta. Mnitoe ushaamba ni materials yapi ni sahihi?
Kuna mafundi wanatumia gypsum powder kutengeza, nasikia zinapasuka na zinaharibiwa na maji
Kuna wengine wanatumia cement, hizi ni imara ila sioni kama zipo unyama
Kuna material yaitwa PU yanafungwa kwa gundi.
Nitumie yapi kwa uimara na mwonekano mzuri. Uushauri wako