KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Umeongea ukweli mtupu Blue G. Binadamu tumekuwa watu wakukosoa maumbile na mionekano ya watu wengine sbbu tu sisi tumeumbwa na maumbile mazuri ya kuvutia, tumesaha aliyekuumba wewe hivyo ndiye aliyeniumba mimi hivi.
Pia tunasahau kuwa Mungu alikuwaa na makusudi ya kukuumba au kukufanya uzaliwe jinsi ulivyo. Na pia maisha haya huwezi jua,leo ulivyo hutakuwa hivyo kesho, kuna wstu walizaliwa wazima,leo hawana miguu, mikono masikio pua na wengine waliharibika hata nyuso zao waalizoringa nazo kuwa nzuri sana. Kwa mada hii nawaakumbusha HUJAFA HUJAUMBIKA hivyo iwe tosha kutukumbusaha kuwamba usimcheke na kumbeza binadamu mwenzio simply because hana mvuto, mbaya au hana muonekano unaodhani wewe ndo muonekano bomba, Mungu anaufurahia muonekano.
Nakumbuka nilivyokuwa nakuwa nilikua najiangalia sana kwenye kioo na nilikuwa najiona nina kichwa kikubwaa, miguu yangu niliona kama bado haijashiba vile wana sema wa bia, mdomo wangu mkubwaaa. Kumbe Bibi yangu alikuwa ananiobserve mda mrefu bila mm kujua, siku moja akaniita alinipa somo ambalo huwa nalikumbuka daima na wakaati wa maongezi yetu aliniamba mjuukuu umekuwa unapoteza muda mwingi kwenye kioo ukijitazama kulikoni, nilimwelezaa....akaniambia usipowez kujikubali na kujiamini kwamba hivyo ulivyo unapendeza na ni mzuri kwa nafsi yako mwenyewe utapata shida sana. Jiamini, jikubali na jipende na furahi kwa Mungu alivyokuumba hivyo ulivyo. NInachotaka kuwakumbusha ni kwamba kwa maisha haya hata mtu akubeze vp kwa ulivyoumbwa, kama wewe binafsi umejikumbali na unajiamini na jinsi ulivyo hutatetereka na kamwe hutajisikia vibaya sbb mbele za Mungu u mzuri sana. Na bado wapo kwa muonekao nwako wanakupenda na kukuthamini. You are beautiful.
Based n true strory...nilipokuwa nasoma kuna binti mmoja wakibondei kwa kweli alikuwa amejaaliwa sana..ndo wenyeewe mnasemaga mashallah. kwa uzuri alionao kiburi kilimjaa na akawa na tabia ya kubeza wengine tena sometimes wazi wazi, ilifikia watu wkawa wanamchukia kwa tabia zake hizo, yeye wala hakujali, si ni mzuriii sanaaa. Tulimaliza shule. Miaka mingi imepita recently nimekutana naye kwanza nilimsahau kabisa.Yeye ndo aliiniita na nilipotaka kujua tulionana wapi ndo akaniambia mimi ni............i was shocked kwakweli japo nilijikaza asijue. Ni mlemavu wa mguu na mkono mmoja na usoni kwenye paji ana kovu, akasema ni ajali ya gali. Tulipoachana machozi yalinitoka nikajiuliza ni kile kiburi muumba ameamua kumpunguza? Nadhani tujifunze ia kwa matukio yanayotukuta au kuwa kuta wenzetu wanao beza maumbile na mionekano ya wengine, hatujui kesho tutaakuwaje.
As for me najibenda na najikubali jinsi nilivyo regardless kasoro nilizo nazo zinazobezwz na wengine wanionao, ido not care and i alsway thank God kwa jinsi nilivyo. DO THE SAME and YOU WILL HAVE PEACE OF MIND
Tupendane, tufarijiane na kutiana moyo kwa hali zozote tulizoumbwa nazo na si kubezana au kukatishana tamaa.
Ni hayo tuu, poleni kwa kuwachosha

Last edited by a moderator: