Hakuna aliyejiumba!

Hakuna aliyejiumba!

dada yangu KOKUTONA sina mengi zaidi umemaliza nami nakuupa pongezi kwanza kwa kujikubali wewe mwenyewe,pili kwa kutodharau wengine kutokana na mionekano yao na tatu kwa kujifunza kutokana na mambo yanayotokea hapa duniani huo ni mtazamo mzuri sana na ni tabia nzuri sana be blessed dada.

Pamoja daima rsfiki, amri kuu ni UPENDO.....tukipendana wote bila kujali tulivyo ni rahisi sana kujitenga na dhambi nyingine hasa za kubaguana.
Thanks for appreciation my dear
 
you are welcome mama.
Pamoja daima rsfiki, amri kuu ni UPENDO.....tukipendana wote bila kujali tulivyo ni rahisi sana kujitenga na dhambi nyingine hasa za kubaguana.
Thanks for appreciation my dear
 
Back
Top Bottom