HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!!! Kuzuga tu na Kujikausha!!!!!!

Wee huyu Mzee ukimfundisha MAMBO YA KIZAZI HIKI ATAKUFA KWA SHOCK AU HEART ATTACK!!!!!! Zama zake zilishapita siku nyingi!!!!!!!!! Kama hakumake things zika happen back in the days BAAAAAAAASSSSSS!!!!!!!!!!

Wee mama yoyoo ebu sadia musee,mbona nafanyia roho ya kupinda,haujui musee nayo naitaji raha......ipe maujusi musee.......musee haiseeki maini!
 
hahahah wanaisoma namba kimoyomoyo....timba timba ileeee

Shosti AVATAR badili loooooo! Mwaka mpya avatar ya mwaka arobaini na saba!!!!!!!!!1 Afu kuna mtu anaitumia ananichanganyaga kweli! Embu weka ya mwaka mpya bwana!!!!!!!
 
Hahahaaaaa! Gold Say somethin negative please!!!!!!! I missed your kimombo you know!!!!!!! And im in mood for some negativity!!!!!!!:cheer2:
 
Last edited by a moderator:
Wakubwaa zangu shikamooni!!!!!!!!

IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Muungwana yeyote huanza na salamu!)

Ebanaeeeeeeeeeee ndo nimegundua HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!

Every person has 2 sides!!!! Wengine ndo 2nd side wanaificha, wengine wanakuwa hawajaanza kurealise what they are capable of! Ukiwapa exposure kidogo ndo unabring out thier WORST OF THE WORST!!!!!!! Yaani mtu ukimzoea ndo unapojua uchafu wake wa ki Silivio Berlusconi!!!!!!! Kama sio Ki Free Manson kabisaaa!!!!!Wengi/wote wamejivalisha ngozi za kondoo tu na ni good actors, na wanavipaji vya kuficha makucha yao!!!!!!!!! Mpaka Unamuogopa mtu jinsi alivo perfect kumbe ni cover tu hiyooo!

It gets WORSE in relations!!!!!!! You trust someone you shouldnt!!!!! Watu wanafukia fukia Past zao ukiwaona wife/husband material sema ukiamua ku Dig kidogo from their past balaaaaa!!!!!!!!

Hizi ni baadhi tu ya encounters nilizogundua hakuna Alie Msafi!!!!!!!

Kuna my cousin ex seminarian, mpole anaakili anajielewa!!! Sasa ndo nikasema nimzoee nipate kusali na mie kidogo, na kuambukizwa brains!!!!! Mwanzo tulikuwa tunaongea mambo ya maendeleo sana, baadae nikawa namsifia kwa mashosti, kuja kuhamaki Kawafilimba karibia wote kila mtu akiamini mwenzie hawezi kuwa low na kudate na my cousin kisiri siri!!!! Kafilimba mmoja mmoja kwa raha zake!!!!! Baada ya kugundua hilo mimi na yeye saivi tunaongea usengery tu mwanzo mwisho!!!!! Kumbe mchafuuu kuliko uchafu!!!!!! Japo bado ukoo unmuona mfano wa kuigwa!!!!!

My roomate chuo, Maza mchungaji, mzee wa kutugea wosia na kutushauri tusomee! Nikamuaminia vibaya sanaa! Aaaah wapi! Kumbe ana mibaba anaichuna vibaya mno! Kuja kumzoea nikasema Laanakum mkubwa!!!!!! Yeye no wanafunzi ni waume za watu kwenda mbele!!!! Saivi kaolewa japo chunaji na kidude anagawa kama kazi! Ila ukimkuta anatoa ushauri nasaha huwezi amini!!!!!!!!!

MMoja katoka A town mpoleee, tukawa nae chuo!!!!! Akawa anadai yeye sealed! Basi kuna siku tukaenda nae kwenye house party ya kiberlusconi!!!!!! Kunywa mi micombinenga ya alcohol mwanzo mwisho!!!! Baadae akaaanza kumdandia mkaka hamjui! Tukaona anapelekwa room! Kwenda kumuokoa Mtumishi asije ku loose precious item yake, katutukana matusi ya nguoni! Tukajisikia vibaya sanaa she is gonna loose it jst like that without a fairy tale!!!!!! Alivotoka tukawa tunampa pole! Akatuacha vinywa wazi! "Nyie wangese nini? Nani sealed? Mimi hata seal ya 0713 sinaaa! Yaani busy mkaaniamini? Mi nimeona mnajishaua my number is 3, mine is 4, wakati mimi nishaacha kuhesabu longi! Kuwakomesha nikawambia sealed" Mijicho ikatutoka!!!! Pombe sio chai!!!!!

Embu na nyie tupieni humu Wazugaji waliwaacha vinywa wazi baada ya kwa fool kuwa wao ni wemaa kumbe ni The Devil Himself in Disguise!!!!!!!

CC: Kwa wote wanaojifanya wema humu jamvini na kunichambua kama karanga!!!!!! DONT YOU HAVE SOME SKELLETONS IN THE CLOSET??????????? (Whatever you did in the darkness will come to light! Usinirushie mawe wkt unaishi kwenye jumba la kioo!)

mi msafi mbona.
 
So what?! kwani hapa duniani wanaishi angels or just human being?! every person has his/her weakness so don't compromis
 
Kweli lara 1 ni kweli wote wametenda dhambi na kupungukiwa na utukufu wa MUNGU. Anayekataa aweke mguu wake kwenye mfuko wa sariwali akiwa ameivaa! Amen!
 
Last edited by a moderator:
hahah haya ngoja nimweke mtoto riri kitu ya cris brown, watu wanammind riri wangu lol
Shosti AVATAR badili loooooo! Mwaka mpya avatar ya mwaka arobaini na saba!!!!!!!!!1 Afu kuna mtu anaitumia ananichanganyaga kweli! Embu weka ya mwaka mpya bwana!!!!!!!
 
Im FLATTERED!!!!!!!!!! Thanks mwaya kwa kunisifia!!!!! JAPO NAJUA WENGI SANAA WANANIKUBALI KIMYA KIMYA!!!!!!!!

Hahahahahahahahaaaa Lala1, did u really understand UMBWE1? Go back to his/her comment and read btn lines!
Siku zote mtu asiyejiamini especially with his/her past, hutumia nguvu ya majungu ili kumchafua mwenzake! Remember for your future, your past will be what you are doing today! Usijipe moyo kwa uchafu uufanyao kwa kutumia uchafu walioufanya watu wengine enzi zao! Ni upumbavu na ukosefu wa weredi ufanyapo kosa ukiwa unajua ni kosa ili ujifunze wakati unajua kuna watu wengi walifanya kosa kama hilo, kwa nini usijifunze kutoka kwao ili kuepuka kukutana na consequences walizokutana nazo walipofanya uchafu huo? I know, we are not wasafi but we are doing our best ili ku attain huo usafi! Ndio maana hata President Obama wamarekani wamemchagua Kuwa raisi wao (tena twice) japo alikiri kutumia bangi enzi zake za u-teenager! Sasa ole wake angebisha hilo ungeona watu ambavyo wange mu-undervalue kwani hata ushahidi walikuwa nao!
So, kwa kusema hayo machache Mdogo wangu Lala 1, Mara nyingi uchafu tuufanyao hutokana na udhaifu wetu sasa UUNGWANA huhitajika kuukiri na pia kujitahidi kutourudia tena! Na hii huonyesha kiwango cha USTAARABU wetu! Na ustaarabu huu ndio wanadamu tukiwamo mimi na wewe huupenda!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
hahahahah unataka kujibishana na mama chuo kikuu, umejipanga lakini??

Hahahaaaaa! Si unajua nimeanza kujisomea ONLINE DEGREE ya Literature sasa ndo nafanya majaribio na bi dada kuoka Lower Manhattan si mwingine ni Gold Her Highness!!!!!!! B.A IN LINGISTICS ENGLISH MAJOR!!!!!, Masters in phonology! syntax, morphology,semantics and Lexis!!!! PHD in Etymology!!!!!! Najua wewe Ciello ni 0 kabisaa hapa hujaambulia kitu na PGM yako, bora ungebrush na HGL kidogo! Haya zama google upesi!!!!!

Nikiweza DIALOGUE nae kesho nishafuzu pepa ya DIALOGUE!!!!!!! Kuna siku nitafanya practical ya kuleta Story Niliotunga aka Literature nione kama hadhira wakiipokea ndo iwe assigment paper yangu! Wakiichunia inabidi niwe nalete mfululizo hadi niiteke hadhira!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hahahahah haya bana mie nasubiri mpambano, jana si uliomba radhi wewe .....

Heeeeeeeeeeey!!!!! Slow down!!!!!! Tangu ununue BLACK BERRY basi ukipost na hiyo simu tabu tupu! Rudi kwenye chogo lako!!!!!!

Kuhusu Umbwe 1 maybe he is mocking me bt i dont care!!!!!!!!! I dont take things seriously anyway!!!!! I justed wanted aone nimesoma his commen maybe kweli sikuielewa!!

1st thing 1st that avatar is SEXXXYYYYYYYYY!!!!! Back to topic

Swala nalobisha mimi ni kuwa JITU CHAFU afu linajifanya JEMA!!!!!!!! Fine hata mie sio msafi najua bt hunikuti nikijitia mwema hata mara 1, na kcondemn wengine wakati mi skeletons inamwagika kwa kabati langu!!!!!

Hata habari zangu nyingi humu ni kuelezea how i am imperfect japo some people find it cool anyway!!!!!!!! Sasa watu humu MAKUBUHU WASTAAFU ila kwa kunyoosha vidole hawana mpinzani!!!!!!

You can be imperfect jst dont make people believe you are the most perfect!!!!!!
 
hahahahah haya bana mie nasubiri mpambano, jana si uliomba radhi wewe .....

Hahahaaaaa! Tunarudi pale pale gfsonwin kuwa FORGIVENESS IS AN ILLUSION!!!!!!!! So nili mdellutionalise akajua i regreted what i said but i didnt!!!!!
 
Binadamu anapenda kuishi maisha ya kufikirika na ya ajabu sana.
"
Kila binadamu anatamani ampate mwenza msafi wakati yeye sio msafi.
"
Akiingia kwenye mahusiano Yeye ndo anataka asilindwe na awe hururu,ila mwenzake afungiwe ndani.
"
Uchafu ni wa mwenzake wakwake sio uchafu,binadamu tunaweza kuwa tunazungumza lugha moja lakini tukatofautiana kwenye upi ni uchafu na upi ni usafi.
"
Binadamu huyo huyo akipata alie msafi walau kidogo anamletea vimbwanga vingi mpaka unashangaa.Binadamu anashangaza sana.
"
Hakuna tafsiri inayoeleweka ya usafi ambayo ni ulimwengu wote,na kama ni hii tunayoijua,hakuna msafi duniani!
 
una akili ww ndo mana nakupenda. Coment zako zina phd kabs.
 
Hahahaaaaa! Si unajua nimeanza kujisomea ONLINE DEGREE ya Literature sasa ndo nafanya majaribio na bi dada kuoka Lower Manhattan si mwingine ni Gold Her Highness!!!!!!! B.A IN LINGISTICS ENGLISH MAJOR!!!!!, Masters in phonology! syntax, morphology,semantics and Lexis!!!! PHD in Etymology!!!!!! Najua wewe Ciello ni 0 kabisaa hapa hujaambulia kitu na PGM yako, bora ungebrush na HGL kidogo! Haya zama google upesi!!!!!

Nikiweza DIALOGUE nae kesho nishafuzu pepa ya DIALOGUE!!!!!!! Kuna siku nitafanya practical ya kuleta Story Niliotunga aka Literature nione kama hadhira wakiipokea ndo iwe assigment paper yangu! Wakiichunia inabidi niwe nalete mfululizo hadi niiteke hadhira!!!!!!

Ciello ulifata nini pgm huko, sura haikukunjamana kweli kusolve pure mathematics 1 and 2 bila kusahau Engineering Physics?

Ungemfata Lara 1 candy shop
 
Last edited by a moderator:
hivi unaamini anayosema lara moko? mie nimepiga KLF bana...full bonsoir monsier....
Ciello ulifata nini pgm huko, sura haikukunjamana kweli kusolve pure mathematics 1 and 2 bila kusahau Engineering Physics?

Ungemfata Lara 1 candy shop
 
Why should i say negative stuff? But somehow you are right though there must be reasons for that, for instance people may pretend to be someone they are not because they are not secure with who they are. They lack self-confidence and want to "fit in" to everyone else's expectations.
Hahahaaaaa! Gold Say somethin negative please!!!!!!! I missed your kimombo you know!!!!!!! And im in mood for some negativity!!!!!!!:cheer2:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom