Hahahahahahahahaaaa
Lala1, did u really understand
UMBWE1? Go back to his/her comment and read btn lines!
Siku zote mtu asiyejiamini especially with his/her past, hutumia nguvu ya majungu ili kumchafua mwenzake! Remember for your future, your past will be what you are doing today! Usijipe moyo kwa uchafu uufanyao kwa kutumia uchafu walioufanya watu wengine enzi zao! Ni upumbavu na ukosefu wa weredi ufanyapo kosa ukiwa unajua ni kosa ili ujifunze wakati unajua kuna watu wengi walifanya kosa kama hilo, kwa nini usijifunze kutoka kwao ili kuepuka kukutana na consequences walizokutana nazo walipofanya uchafu huo? I know, we are not wasafi but we are doing our best ili ku attain huo usafi! Ndio maana hata President Obama wamarekani wamemchagua Kuwa raisi wao (tena twice) japo alikiri kutumia bangi enzi zake za u-teenager! Sasa ole wake angebisha hilo ungeona watu ambavyo wange mu-undervalue kwani hata ushahidi walikuwa nao!
So, kwa kusema hayo machache Mdogo wangu
Lala 1, Mara nyingi uchafu tuufanyao hutokana na udhaifu wetu sasa UUNGWANA huhitajika kuukiri na pia kujitahidi kutourudia tena! Na hii huonyesha kiwango cha USTAARABU wetu! Na ustaarabu huu ndio wanadamu tukiwamo mimi na wewe huupenda!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums