Wakubwaa zangu shikamooni!!!!!!!!
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!! (Muungwana yeyote huanza na salamu!)
Ebanaeeeeeeeeeee ndo nimegundua HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!
Every person has 2 sides!!!! Wengine ndo 2nd side wanaificha, wengine wanakuwa hawajaanza kurealise what they are capable of! Ukiwapa exposure kidogo ndo unabring out thier WORST OF THE WORST!!!!!!! Yaani mtu ukimzoea ndo unapojua uchafu wake wa ki Silivio Berlusconi!!!!!!! Kama sio Ki Free Manson kabisaaa!!!!!Wengi/wote wamejivalisha ngozi za kondoo tu na ni good actors, na wanavipaji vya kuficha makucha yao!!!!!!!!! Mpaka Unamuogopa mtu jinsi alivo perfect kumbe ni cover tu hiyooo!
It gets WORSE in relations!!!!!!! You trust someone you shouldnt!!!!! Watu wanafukia fukia Past zao ukiwaona wife/husband material sema ukiamua ku Dig kidogo from their past balaaaaa!!!!!!!!
Hizi ni baadhi tu ya encounters nilizogundua hakuna Alie Msafi!!!!!!!
Kuna my cousin ex seminarian, mpole anaakili anajielewa!!! Sasa ndo nikasema nimzoee nipate kusali na mie kidogo, na kuambukizwa brains!!!!! Mwanzo tulikuwa tunaongea mambo ya maendeleo sana, baadae nikawa namsifia kwa mashosti, kuja kuhamaki Kawafilimba karibia wote kila mtu akiamini mwenzie hawezi kuwa low na kudate na my cousin kisiri siri!!!! Kafilimba mmoja mmoja kwa raha zake!!!!! Baada ya kugundua hilo mimi na yeye saivi tunaongea usengery tu mwanzo mwisho!!!!! Kumbe mchafuuu kuliko uchafu!!!!!! Japo bado ukoo unmuona mfano wa kuigwa!!!!!
My roomate chuo, Maza mchungaji, mzee wa kutugea wosia na kutushauri tusomee! Nikamuaminia vibaya sanaa! Aaaah wapi! Kumbe ana mibaba anaichuna vibaya mno! Kuja kumzoea nikasema Laanakum mkubwa!!!!!! Yeye no wanafunzi ni waume za watu kwenda mbele!!!! Saivi kaolewa japo chunaji na kidude anagawa kama kazi! Ila ukimkuta anatoa ushauri nasaha huwezi amini!!!!!!!!!
MMoja katoka A town mpoleee, tukawa nae chuo!!!!! Akawa anadai yeye sealed! Basi kuna siku tukaenda nae kwenye house party ya kiberlusconi!!!!!! Kunywa mi micombinenga ya alcohol mwanzo mwisho!!!! Baadae akaaanza kumdandia mkaka hamjui! Tukaona anapelekwa room! Kwenda kumuokoa Mtumishi asije ku loose precious item yake, katutukana matusi ya nguoni! Tukajisikia vibaya sanaa she is gonna loose it jst like that without a fairy tale!!!!!! Alivotoka tukawa tunampa pole! Akatuacha vinywa wazi! "Nyie wangese nini? Nani sealed? Mimi hata seal ya 0713 sinaaa! Yaani busy mkaaniamini? Mi nimeona mnajishaua my number is 3, mine is 4, wakati mimi nishaacha kuhesabu longi! Kuwakomesha nikawambia sealed" Mijicho ikatutoka!!!! Pombe sio chai!!!!!
Embu na nyie tupieni humu Wazugaji waliwaacha vinywa wazi baada ya kwa fool kuwa wao ni wemaa kumbe ni The Devil Himself in Disguise!!!!!!!
CC: Kwa wote wanaojifanya wema humu jamvini na kunichambua kama karanga!!!!!! DONT YOU HAVE SOME SKELLETONS IN THE CLOSET??????????? (Whatever you did in the darkness will come to light! Usinirushie mawe wkt unaishi kwenye jumba la kioo!)