HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!!! Kuzuga tu na Kujikausha!!!!!!

HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!!! Kuzuga tu na Kujikausha!!!!!!

Jamani Lala1 anahoja yake ambayo naweza kuisummarise hvi be aware of "saints" and handle them with care. If someone calls himself/herself a born again or born after....read their eyes carefully. Kuna best wangu mmoja anaishi mbele huko yaani ni anasura ya uchumba. Kila mdada akimuona na anavyojifanya mpole, sijui mtaratibu yaani sifa 70% wanazosema wadada anawaoneshea. Ila alivyo ukweli wake ni............. wewe niseme mapungufu ya best wangu NO naishia hapa

Siku zoteee SIMBA MWENDA POLE NDIE MLA NYAMA!!!!!!!! Yaani huyo Bestie wako atakuwa DANGEROUS!!!!!!!!!
 
Haki ya nani mwanaume na mwanamke bikra JF ajitokezeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Naapa hakuna!!! Kama si kwa mikuki basi ni kwa madushelele ya kununua kule salooonnnnnnn mkajimaliza wenyewe!!! Bikra ni yule ambaye kwa maisha yake no mwanaume/mwanamke kutiana, no punyeto, no kusagana, no kutumia dildo in your entire life!! Je tupo hapo?? Sasa aje mtu aseme anamalizaje genye zake? Lara 1 watu tunajifanya tu lakini waongo tu!! Mbuzi ya kondoo ndani mwanaharamu!!
 
You are as virgin as your room mate from A town lol

Ha ha haaaaa! Wewe ni chiboko! Ila lara 1 kasema ukweli! Humu jamvini kuna watu wanajifanya malaika sana na kuponda wenzao! Kama wewe ni malaika baki na umalaika wako wewe na Mungu wako. Hatuna haja ya kujua kuwa wewe ni malaika!
 
Last edited by a moderator:
Maybe so maybe not. Sometimes when we live in a fast lane we believe everybody is like that...huwa tunapata comfort. Lkn there are some admirable, decent and non-twofaced people out there.
 
Tafwaaaaa babu tafwaaaaaaaaaaaa!!!!!!! Shika adabu zako zikushike!!!!!! Hapo mimi nimetuma salamu kwa nilio wa CC hapo chini! Afu FYI NAANDIKA TOPIC NAYOJISIKIA SIO WEWE KUNIPANGIA!!!!!!!!!

Unge wa PM, hapa ni jukwaani.
 
teh teh ,my x girl friend ni mlokole safiiiiiiiiii. si wenyewe ndo tunajua tunayofanya ..............
 
hahahh sijaenda afu leo chugga mvua imekunya balaa kidogo nipelekwe lol
hajambo kabisa ,naona huko mkoani mvua inanyesha sana ujaondoka na mafuriko?morogoro yameua jana mbezi beach yamebeba angalia shost usipoteze thin coat yako
 
Kuna jamaa tulisoma nae chuo hapa Arusha, akawa anamsifia mkewe na kudai yeye anamsimamo na mkewe.japo mkewe shule ya msingi lakini anaakili za maisha yupo kwao kagera.walimpa cheo kanisani na waalimu walimheshimu ile mbaya aliitwa ‘mpendwa’. Alinihusia nisiangaike na sketi kwa miaka yote nlikuwa bwan mdogo (teenager) alinimanipulate kwa story zake nlimwamini! NIKAWA NYUKI WA MASHINENI. Kumbe alikuwa anatembea na binti m1 wa hapa chuoni tena ishu ilifika hadi kwa mkewe nusura ndoa ivunjike.unfortunately nliipata hii nyuuz tukiwa tunamaliza chuo iliniuma sana, ckumwamini tena mpaka leo sitaki hata kujua yupo wapi aliwahi ntafuta nikampotezea, cause nilihisi alinipotezea bahati kwa mawazo yake manake nliwachomolea ma-dem wengi dah!. Mwingine besti angu alikuwa anajiona mtu mzima hataki mambo ya wanawake na kitoto-toto kumbe anawaogopa mademu wa chuo akawa anafuata wa mtaani kwa siri sana kwakuwa usawa ulikuwa mgumu akawa haendi gesti ni vichakani tu.cku ya cku jioni saa moja hivi akiwa anakula dumi yaduyu akavamiwa na watu wakidai mwizi na yeye huwa anavua nguo zote si alikimbia uchi akaokolewa na klasmeti wetu baunsa kidogo akimtetea ni mwanachuo akampa koti limsitiri akapakiwa kwenye pikipiki(bodaboda) mpaka ‘dom’.aliniambia baadae hajui condom ilichomokaje, ila alikiri wangempeleka loliondo kwao akiwa marehemu.tangu cku hiyo jamaa akawa mkimya tu ujanja wote mfukoni. 😛layball:
 
hahahh sijaenda afu leo chugga mvua imekunya balaa kidogo nipelekwe lol

shost kila siku unabadilisha avater ?inaonyesha una external limejaa ma avatar tu bandika bandua mpaka siku 365.25 ziishe tutakukoma
 
hahahah lara 1 alinambia niweke ya 2013 si wajua mambo ya riri full mafoto ya ukwee
shost kila siku unabadilisha avater ?inaonyesha una external limejaa ma avatar tu bandika bandua mpaka siku 365.25 ziishe tutakukoma
 
Last edited by a moderator:
Maybe so maybe not. Sometimes when we live in a fast lane we believe everybody is like that...huwa tunapata comfort. Lkn there are some admirable, decent and non-twofaced people out there.


Funny i believe you are one of those...'decent and admirable '...
 
Back
Top Bottom