Kuna siku moja, back in high school, jamaa mmoja aliinuka kwenda chooni. Akamkuta mwalimu wa math (wapi mwalimu @
gfsonwin ) anashusha vitu katikati ya ma equation, akamwambia mwalimu, kwa heshima zote "Mwalimu naomba kwenda kujisaidia chooni". Jamaa alikuwa na nia nzuri kabisa, awe msafi si tu kwa kutua mzigo alio nao tumboni, bali awe msafi hata kwa kumwambia mwalimu fully anaomba ruhusa kwenda nje kufanya nini, isije kuonekana kwamba anatoroka kipindi tu kuzuga nje kwa sababu hapendi hesabu. Basi pamoja na nia nzuri ya mwanafunzi, mwalimu alikwazika. Kwa sababu mwalimu aliona kama mwanafunzi kwa kutaja kwamba anaomba ruhusa kwenda chooni kujisaidia katoa "too much information" na kavuruga akili yake yeye mwalimu, aliyekuwa anashuka ma equation akaanza kuona ma image ya choo na labda kuanza ku imagine yule mwanafunzi anashusha vitu. Sasa utaona labda kwa huyu mwanafunzi kwao choo ni sehemu fulani safi tu, hai associate na image mbaya. Na nia yake ilikuwa kutoa "full disclosure" hiyo unayoitaka. Kwa mwalimu yeye hiyo full disclosure imekuwa mzigo, akamsema kwamba "jamani, sie wakubwa wote hapa, mtu akitaka kutoka kwenda haja ajitokee tu, hizi habari za komba ruhusa kwenda chooni it's too much information" Mie kama umenisoma hapo juu sitetei hadaa hata kidogo, soma jibu langu kwa
The Boss. Ila nasema, kama ilivyo kwa mfano wa huyo mwalimu, there is such a thing as "too much information too fast" There has to be a practicable balance somewhere in between hapo, tusiwe na jitu jongo linajitia kuwa bikira wakati linauza Ohio on the one hand or on the other hand tusiwe na mtu aliye so open mpaka akahadithis crushes zake zote za tangu kindergatten!