HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!!! Kuzuga tu na Kujikausha!!!!!!

HAKUNA ALIE MSAFII!!!!!!!!!! Kuzuga tu na Kujikausha!!!!!!

This applies without any shadow of doubt to muanzisha thread

Afu we baba mbona UMENIGANDA KAMA LUBA!!!!!!!

Nimekuuliza SUPER HANDSOME ukakimbia relay kama sio race!!!!!! Mada huioni WANIONA MUANZISHA THREAD TU !!!!!!!!!!!! MABIG HAYA MBONA!!!!!!!!!
 
Mimi najijua kabisa sipo kwenye kundi la wasafi ndo maana sipendi kumuhukumu mtu..

My mother told me wakati ananiacha boarding form one " my son I know your not a Good boy but try to your best to study hard and avoid misbehaving japokuwa najua hautaweza.. Nililia sana that day kwa kulijua hilo akanipiga na pocket money nzito ki form one form one ili anitulize...

Na akaja kurudia tena neno lake miaka kibao mbeleni kwamba amezaaa majanga..

Kuna siku tulikuwa india kwenye matibabu yake nilienda kumcheki ICU baada ya surgery yake with my sister alivyofumbua macho akasema Bad boy hivi hapa tupo wapi? Nikajisikia vibaya kweli kuitwa bad boy mbele za watu..

So najijua kabisa na siwezi kujiita msafi maana hata b mkubwa ananiita majanga japokuwa kiukweli nimebadilika kutoka moyoni nimekuwa good boy sema sitaki kujitangaza

MABIG MBONA!!!!!!!!!!! We siumedai Bikira wa Kiume hapo juuu????????? Amaaaaaa??????????
 
nimekukubali ni kweli 100% hakuna alie msafi,though kuna jamaa yangu kampata binti bikra bwana tena yuko MUHAS 4YR,Kwa hiyo kila kitu kipo,Lara1 umeongea safi kabisa,tena,kwa hiyo mi huwa nasema kila mtu atapata wake kama mtu ni kiruka njia lazima ampate anaefanana nae,kama umetulia utampata alietulia.....big up LARA1.
 
MABIG MBONA!!!!!!!!!!! We siumedai Bikira wa Kiume hapo juuu????????? Amaaaaaa??????????

Bikra si kwenye mambo yetu tu.. Nina drama zangu on other side of the truck siri ya familia yangu tu..
 
Afu we baba mbona UMENIGANDA KAMA LUBA!!!!!!!

Nimekuuliza SUPER HANDSOME ukakimbia relay kama sio race!!!!!! Mada huioni WANIONA MUANZISHA THREAD TU !!!!!!!!!!!! MABIG HAYA MBONA!!!!!!!!!
sometimes naona sense of humour yako inakwenda holiday-mtu akikuganda sii unasoma between the lines??labda anataka kukuzukia!!!
 
Kwani hii mada inazungumzia bikra ama usafi??manake naona pipo kama@The Boss wamekomalia bikra za watu

HAO WALIOKOMALIA BIKIRA ZA WATU VIVABUUU VIMEOA MIAKA 30 ILIYOPITA!!!!!!!!!! Sasa sijui Wake zao hawakuwa nazo?????????

WENYEWE BIKRA HAWANA!!!!!!!!!!!!!! Yale yale ya KURUSHA MAWE WAKATI UNAISHI KWENYE NYUMBA YA KIOO!!!!!!1

WEE UNAKOMAA MI BIKRA SINA!!!!! UMENIFIRIMBA UKAKUTA HAIPO!!!!!!!!!!???????????? Ndo manaaaaaa sibishanii Assumptions!!!!!

KAMA KUNA MTU KAINGIA KWANGU KAKUTA HAIPO NA AJITOKEZE HAPA!!!!!!!!!

MABIG MABIG MBONA!!!!!!!!!
 
nimekukubali ni kweli 100% hakuna alie msafi,though kuna jamaa yangu kampata binti bikra bwana tena yuko MUHAS 4YR,Kwa hiyo kila kitu kipo,Lara1 umeongea safi kabisa,tena,kwa hiyo mi huwa nasema kila mtu atapata wake kama mtu ni kiruka njia lazima ampate anaefanana nae,kama umetulia utampata alietulia.....big up LARA1.

Hahahaaaaaaaaaaaaaaa! Huyo MUHAS 4 YR vipi SURA INASOMA?????????? Au ndo ngoja nisimalizie!!!!!!
 
Mmmh mimi najifanyaga mkali wa totoz lakini hata cjawahi ku-do........:becky:
 
Nakubali, for the decency sake ni muhimu kuangalia ni image gani unapotray kwenye society.
Ila kuna ambao (nafkiri ndio anaowasema lara) ambao ni wepesi kuwasema na kuwahukumu wenzao while they are worse than the devil himself.

Nimeshuhudia wanafiki ambao kutwa kucha wanajisifia jinsi walivyo wasafi hadi wanaanza kuuamini huo uongo wao wenyewe.

Ukitaka kuwa huru, ni bora uwe na moral values zako mwenyewe na uishi kutokana na jinsi unavyoona wewe inafaa kuliko kulazimisha kuwa kama wengine. Blending in inawacost wengi sana.

So my dear gfsonwin, nakubaliana na wewe kuwa as long as Mungu anakuona na unafeel uko sawa; opinions za wengine shouldn't matter.
my dearest Kaunga kuna kamsemo huwaga ninapendaga sana kujiambia KWAMBA

"" WATU HUANGALIA MATUNDA HAWAONI MATUNDA KWANGU HAWANA HAJA NA MIMI, MUNGU YEYE HUANGALIA MOYO ULIOKO SIRINI"""

ukiona mtu huogopi emerge unayo portray kwenye jamii basi mtu huyu uaakuwa na shida ya akili.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaa! MJINI MIPANGO!!!!!!! Umekopwa yakhe!! Angepataje hiyo OIL!!!!!!! Ciello kijana KAKOPWA HUKU!!!!!!!!

Nahisi hii oil ni lugha ya picha akimkaribisha na yeye akampime..lol.
 
Last edited by a moderator:
hahah kwani wenye sura kama wanapuliza moto hawastahili kupata bikra??? you rude gal hahahahah
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa! Huyo MUHAS 4 YR vipi SURA INASOMA?????????? Au ndo ngoja nisimalizie!!!!!!
 
Bob Marley katika wimbo wake "War" alioutoa katika hotuba ya Mfalme Haile Selassie ya Umoja wa Mataifa, aliimba.

Same thing for usafi, it is but a fleeting illussion, an ideal to be pursued but never attained.

Which may sound squashing, but on the bright side, it is a challenge to be enjoyed. Kwa hiyo basi, usafi is a journey, not a destination.

Hata huyo mungu anayesemekana kuwa ndiye msafi wa wasafi watu wana question kwa nini katengeneza dunia ambayo mabaya na machafu yanawezekanika kama yeye ni msafi kihivyo?

Kama mtu leo amekuwa "msafi" kuliko jana, bila ya kujali leo ni "msafi" vipi, anaelekea kuzuri na aendelee hivyohivyo.

Siku moja aweza kuwa Bodhisattva.

Swala sio usafi au uchafu wa mtu!!!!! Swala ni KUWA HONEST NA JINSI ULIVO!!!!!!!!1 Jitu chafu lajifanya safiiii!!!!!! Tena linazuga! Unaweza kuwa Mchafu but dont trick people to believe your clean!!!!!!!!!!

Its okay kutokuwa msafi ila usijifanye msafi wa kuigwa ilhali ni mchafuzi!!!!!!!!
 
Nahisi hii oil ni lugha ya picha akimkaribisha na yeye akampime..lol.

Hahahaaaaaa! Pale alikuwa anakaribishwa 0713 kwa CODES sasa yeye kujifanya mzoefu kajitia kutaja BP!!! Ukute nayo ni CODE yao watu wa ghomora! Sasa kufika mwenzie anashangaaa kaja na OIL kweli kweli!!!!!!! Si ndo ikabidi aondoke kwa haisra kuwa lengo halijatimia!!!!!!!
 
mi nitakuona hazipo kama utaanza kujichafua mwenyewe kwa maovu yako
kila mtu anategemea ufanye mema

So inabid uwaachie raia watafute mabaya yako kwa gharama zao, wakiniuliza naruka kimanga kuwa mie msafi eboooooo?
 
Hahahaaaaaa! Pale alikuwa anakaribishwa 0713 kwa CODES sasa yeye kujifanya mzoefu kajitia kutaja BP!!! Ukute nayo ni CODE yao watu wa ghomora! Sasa kufika mwenzie anashangaaa kaja na OIL kweli kweli!!!!!!! Si ndo ikabidi aondoke kwa haisra kuwa lengo halijatimia!!!!!!!

Hii inaitwa lugha gongana...jamaa anafikiria oil ya BP dada wa watu anasikitika jamaa hajaelewa na yeye anatamani kupimwa oil...
Hatari sana.
 
Back
Top Bottom