Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,501
- 6,648
Hakikisha haikosi ndani mwako hii kitu kaka
Toa sababu za msingi ili watu waelewe hoja yako.Hakikisha haikosi ndani mwako hii kitu kaka😀View attachment 3184029
Walio somea Cub washaelewa apo lazima uwe na D2 ndo usanukie mchezoToa sababu za msingi ili watu waelewe hoja yako.
Ni magadi mkuuNdiyo Nini Hiyo
Kwa nini msitumiane ujumbe ninyi mliosoma huko?Walio somea Cub washaelewa apo lazima uwe na D2 ndo usanukie mchezo
Walio somea Cub washaelewa apo lazima uwe na D2 ndo usanukie mchezo
Mbona makasiriko tenah 😂😂sasa kwann usiwatumie pm walosoma kyuba
Jibu swali alilokuuliza.Mwandiko hauwezi kukuonesha makasiriko.Mbona makasiriko tenah 😂😂
Bas kaa kwa kutulia mkuu 😂😂 maisha ndo haya haya🤣🤣🤣Jibu swali alilokuuliza.Mwandiko hauwezi kukuonesha makasiriko.
🚶🚶🚶Ya kufyonzea jicho?