Haka kadada nakapenda but uwezo sina nishaurini jamani nifanyaje ili niuteke moyo wa huyu mda

Mkuu MziziMkavu:Yuko wapi huyu,hebu naomba mawasiliano yake ili niseme naye juu yako faster lazima atakutafuta tu mkuu wangu!!!!!
Mkuu WABHEJASANA Wewe sasa ni Mwizi unaomba mpaka namb ya simu ya mtoto wangu ili iweje umtongoze? haiwezekani picha tu haikutoshi kuiangalia?
 
Last edited by a moderator:


1.jpg

Babu wa Loliondo .....

He heeeee!
Mzizi Mdry ,ni wewe huyo umekaa hapo ukisubiri kikombe cha tano cha Mzee Mwasapila wa Loliondo?
Huyo binti siri ni ndogo tu gia ya uongo!
Mwambie ulisha onana na Obama Kenya,amekualika Ikulu Washington, unabeba tu kwa Fastjet ukielekea Mwanza!
 
He heeeee!
Mzizi Mdry ,ni wewe huyo umekaa hapo ukisubiri kikombe cha tano cha Mzee Mwasapila wa Loliondo?
Huyo binti siri ni ndogo tu gia ya uongo!
Mwambie ulisha onana na Obama Kenya,amekualika Ikulu Wasington, unabeba tu kwa Fastjet ukielekea Mwanza!
Mkuu masopakyindi nitajaribu je akikataa akisema nionyeshe picha nilizopiga na Rais OBAMA nitazipata wapi?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha
Unaenda duka la picha- pkotoshop!
masopakyindi then what is next........ kisha kwenda hapo kwenye duka la Photoshop

Amepanda pipa kuelekea Mwanza, ameiona picha yako na Obama, mabibi wadogo kama hako benefit of doubt inskwisha.
Anaamua kukuamini kama yule mkulima aliyetaka kumnunulia ndege bibi yake!

Akisha fika Mz yuko mikononi, stori ni kua Obama yuko Asia kwa Hang SuKyi, Burma.
Tule good time Mz!

Hapo mkuu spidi yako, kula spring chicken na mifupa yake!
 
bedroom-inspiration5.jpg 99.jpg

Sio Ishu Mkuu naweza kukuachia geto langu na usafiri kwa muda utumie ukishamvisha pete ya ndoa mnarudi zenu kwa mtogole namimi narudi kwenye geto langu.
 
Nimeshindwa kuvumilia brother MziziMkavuhabari za kumfukuzia dada yangu ziishie hapa hapa, Kama una mpenda mfate , sio una muuzisha sura hapa bro!
 
View attachment 72965View attachment 72966

Sio Ishu Mkuu naweza kukuachia geto langu na usafiri kwa muda utumie ukishamvisha pete ya ndoa mnarudi zenu kwa mtogole namimi narudi kwenye geto langu.
Hilo nalo ulilosema ni neno zuri akiona nyumba yako na gari yako tu atanipenda si unajuwa wanawake kwakupenda Gari na nyumba? asante sana mkuu sifongo kwa mawazo yako ubarikiwe.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom