Haka kadada nakapenda but uwezo sina nishaurini jamani nifanyaje ili niuteke moyo wa huyu mda

Amepanda pipa kuelekea Mwanza, ameiona picha yako na Obama, mabibi wadogo kama hako benefit of doubt inskwisha.
Anaamua kukuamini kama yule mkulima aliyetaka kumnunulia ndege bibi yake!

Akisha fika Mz yuko mikononi, stori ni kua Obama yuko Asia kwa Hang SuKyi, Burma.
Tule good time Mz!

Hapo mkuu spidi yako, kula spring chicken na mifupa yake!
Mkuu masopakyindi umenifurahisha sana leo ndio hivyo kumbe nimdanganye nitajaribu kufanya hivyo nimpandishe ndege akipandandege amekwisha atanipenda akitaka asitake. Wazo zuri hilo nitajaribu.
 
Last edited by a moderator:
Akufanye upate usingizi,but for how long haujalala?
Mkuu Imany John mkuu sasa ni wiki ya pili ninamfikiria ijampata mtoto kwao kuna Mbwamkali huwezi kwenda anachungwa kama nini kutwa yupo na kaka zake nitafanyeje ili nimpate? Nimtoroshe kwao nini?

Nimeshindwa kuvumilia brother MziziMkavuhabari za kumfukuzia dada yangu ziishie hapa hapa, Kama una mpenda mfate , sio una muuzisha sura hapa bro!
Mkuu Ismail N. Juma simuuzishi dada yako ninataka mawazo kwa watu wwe unamchunga kama nini dada yako hutaki apate mashemeji? Acha kumuonea wivu dada yako...... Lol
 
Last edited by a moderator:
Akili yako inakudanganya na wewe unadanganyika. Huyu ni kama wale wale uliowazoea.
Kaka distazo sio akili yangu inanidanganya huyo mtoto kwao ulinzi mkali huwezi kumpata kirahisi itabidi utumie maarifa mengi si rahisi kumpata kwao wanazo vijipesa kwa hiyo ukiwa masikini huwezi kumpata kaka.
 
Mkuu Imany John mkuu sasa ni wiki ya pili ninamfikiria ijampata mtoto kwao kuna Mbwamkali huwezi kwenda anachungwa kama nini kutwa yupo na kaka zake nitafanyeje ili nimpate? Nimtoroshe kwao nini?

Mkuu Ismail N. Juma simuuzishi dada yako ninataka mawazo kwa watu wwe unamchunga kama nini dada yako hutaki apate mashemeji? Acha kumuonea wivu dada yako...... Lol

aah.. unakua jeuri eeh! Basi humpati na mpigia pande mzee mtambuzi , maana nyie vijana hamuaminiki kabisa
 
Mzizi uwezo upi?

So far huyu dada nywele gharama ni ile ya kawaida, hajatumia malaki ya pesa ambayo wengine hutumia. Kucha, sura, nyusi zake zinaashiria kuwa viwezesha urembo kwake sio muhimu sana; angalia kucha ni fupi, safi hazina rangi kitu ambacho ni adimu sana kukuta kwa binti ambaye anajipenda kama yeye hapo.

Macho yake ya kipoleee.. Anaonesha hana makuu, anataka tu mtu wa kumpenda kweli na walau kuweza mtunza kwa kiasi fulani. Kwake what you see is what you get. Lol

AshaDii, hapo kwenye bold ndipo panapomsumbua mleta mada MziziMkavu, yaani binti anataka mabadiliko hapo kwenye urembo.
 
Last edited by a moderator:
553388_531799786849467_1480012748_n.jpg

Mkuu Boflo anakutafuta huyoooooooooooooo

Haka kadada nakapenda but uwezo sina nishaurini jamani nifanyaje ili niuteke moyo wa huyu mda
Uwezo upi huna au ndio ule mpaka utoe elfu 30 ndipo akwambie wewe Bonge la mwanaume nini?
 
Mzizi uwezo upi?

So far huyu dada nywele gharama ni ile ya kawaida, hajatumia malaki ya pesa ambayo wengine hutumia. Kucha, sura, nyusi zake zinaashiria kuwa viwezesha urembo kwake sio muhimu sana; angalia kucha ni fupi, safi hazina rangi kitu ambacho ni adimu sana kukuta kwa binti ambaye anajipenda kama yeye hapo.

Macho yake ya kipoleee.. Anaonesha hana makuu, anataka tu mtu wa kumpenda kweli na walau kuweza mtunza kwa kiasi fulani. Kwake what you see is what you get. Lol
...And what you dont see..!
 
Halafu, kamesuguriwa uso na adobe foto shop!
 
2mia ulimi wako ndo kiungo pekee kitakacho kufanya umpate binti huyo kwa maneno matamu yenye hekima na busara ambayo hta ukimwambia swala la pesa ,majumba ya kifahari na magari yote yanayeyuka haina haja ya kwenda kwa babu wala mganga wa kienyeji ulimi wako ndo kila kitu mkaka wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom