Haka kadada nakapenda but uwezo sina nishaurini jamani nifanyaje ili niuteke moyo wa huyu mda

mkuu Mbuzi Mzee Umeshapata namba yake ya simu?hahahhh umemjuaje tena* makubwa hayo kulikoni?

Mkuu Babkey Hilo nalo ni neno nikishindwa kutumia mdomo wangu itabidi niende kwa Babu wa lolindo au mtu mmoja humu ndani anaitwa kwa jina MGANGA WA KIENYEJI anipe mzizimkavu niufanyie kazi mzizi wa Mripu nitakwenda kwa wasambaa na Wadigo wanipe Mzizi wa mripu niuripue moyo wake anipende mimi MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.


BANDUGU NISAIDIENI NIMPATE HUYO MTOTO

1.jpg

Babu wa Loliondo .....

MziziMkavu itabidi tukae tuchague mzizi wa kutumia maana wewe nami wote ni wataalamu
 
Mbona anaonekana kama ana mimba, au ni macho yangu. Kama sio basi atakuwa anajijali kwenye mambo ya madikodiko, mzizimkavu shuruti ujipange
 
Mkuu MGANGA WA KIENYEJI itabidi tutumie Mzizi mmoja unaoitwa Mwita tumuite aitike aje upesi kwangu au tutumie mzizi wa Mripu tumripue moyo wake kimapenzi aje kwangu unanishauri vipi? Au unaoMzizi mwengine wa kumwita huyu bibie?

Naam, upo mzizi unaitwa FILAMOYO. (KIDIGO HICHO). Mti huo ni hatari saana. Hupumbaza moyo wa mtu utakavyo wewe. Mtu anaweza kupenda kama chizi au ukitaka mtu akajiue kwa basi ni mzizi huo.
 
Naam, upo mzizi unaitwa FILAMOYO. (KIDIGO HICHO). Mti huo ni hatari saana. Hupumbaza moyo wa mtu utakavyo wewe. Mtu anaweza kupenda kama chizi au ukitaka mtu akajiue kwa basi ni mzizi huo.
Mkuu MGANGA WA KIENYEJI ukisha upata huo mzizi wa filamoyo unauchoma au unaufanya kazi gani? Mkuu hebu nipe maelezo yake Basi/ mimi nitautafuta inshallah kuna mtu ananisumbuwa sana je nikitumia mzizi wa mripu kumripua moyo wake haita tosha?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom