Et Diamond anamla rushy , dhibitisha basi mdogo wake warumi , tutammisi Sana R.I.P warumi
Mbna mo na di amempa pole dubengaa , kweli bila unafki maisha hayaendi😀😀
Sasa wee chawa wakee mkuu na habari hunaa?
Labda kwa huko dubengaa, ila mie najuaga yulee profoo fulengaa ndo anawala wote mtu na mkewee,
Tena mchongo uliundwa na mo na di.
Mjini kutamuuuu.
Mbna mo na di amempa pole dubengaa , kweli bila unafki maisha hayaendi
Mwanamke anapenda mwanamme mwenye mvuto , huko kwingine anafata za matumizi , believe me nakwambia , mi Hz mambo nakumbana nazo Sana , ukiwa na mvuto unahtaji visent vidogo tuu vya kung'aa mademu wanashoboka kinoma , wawe wake za watu , au vibinti vya mtaani , nilipataga demu mzuri kinoma mmeru hv Mitaa ya Kibamba , Demu alikuwa anang'aa kinoma , mzuri nice chick ngozi laini aisee,Watoto materialistic, hata uwe unatisha vp, kama una vyanzo,hawaogopi.
MmmmhIlaa jamaa mbayaa anakula mtu na mkeweee.
na hawajuani wala nn
Uwiiiiiih.
Umeshasema ana pedesheee, kwa pedeshee anafata pesa, kwako anafata penzi na fame.Mwanamke anapenda mwanamme mwenye mvuto , huko kwingine anafata za matumizi , believe me nakwambia , mi Hz mambo nakumbana nazo Sana , ukiwa na mvuto unahtaji visent vidogo tuu vya kung'aa mademu wanashoboka kinoma , wawe wake za watu , au vibinti vya mtaani , nilipataga demu mzuri kinoma mmeru hv Mitaa ya Kibamba , Demu alikuwa anang'aa kinoma , mzuri nice chick ngozi laini aisee,
Kumbe ana pedeshee la mjini , akawa anakuja ofsini kutoa pesa halopesa mana huyo Bwana wake alikuwa anamtumia kupitia halopesa , Leo anatumiwa laki tano kesho laki nne , jamaa anatuma pesa kama maji , cha kushangaza mi demu nikawa namhonga ice cream ya 2000akawa akipika msosi ananiletea ....... Daah nilienjoy Sana
Mi huwa nawachora tuu watu humu wanasema ooh mwanamke anataka pesa , tafuta hela , Hamna kitu , ukiona hvyo jua umeparamia chaka bovu
Sku ukiniona nakuwa baby wako forever na skuachiiii😁😁😁 af watu wanasemaga et we shoga , wakat pisi Kali kabisa , Wana Lao Jambo tuuUmeshasema ana pedesheee, kwa pedeshee anafata pesa, kwako anafata penzi na fame.
Iko hvyoo.
Sku ukiniona nakuwa baby wako forever na skuachiiiiaf watu wanasemaga et we shoga , wakat pisi Kali kabisa , Wana Lao Jambo tuu
Hilo hata mimi nimeliona,mwanamke alikua anatafuta kufahamika kwa madanga na kwa hili amefanikiwa,ni yeye aanze kuselectSidhani kama tabu ni hiyo huyu zungu ana shida zake tu, na mdada alifata umaarufu wa kuonekana kwa madanga, kafanikiwa
Ki ukweli mondi hata amwangalii huyo dem
NdioIna maana ile range alijinunulia
Mume wa zama hata ist ngumu sana kununua..lolNdio
Huyo ndo kanunua range!!! wanawake tuache kuzalilisha wanaume kuwapa mizigo ambayo ni ngumu kubeba, kumsingizia kijana wa watu kanunua range akitekwa na majambazi wakijuwa pesa anazo wakati hana?Mume wa zama hata ist ngumu sana kununua..lol
We mwanangu,uzi huu unatamba wewe tusasa hilo mie sijuiii. Labda wao ndo wakuthibitishie.
Mwanaume timilifu hawapendagishow off...angekua mwanaume mwingine asingeruhusu mkewe aongee uongo mpana namna hiy9Huyo ndo kanunua range!!! wanawake tuache kuzalilisha wanaume kuwapa mizigo ambayo ni ngumu kubeba, kumsingizia kijana wa watu kanunua range akitekwa na majambazi wakijuwa pesa anazo wakati hana?
Au kwenye ndoa inabidi ujipendekeze hivyo mme umpaishe mawinguni?
Afu yeye mme anajisikiaje kusingiziwa kanunua range?
Rip ruge😉
Wanawake mkuu hawaeleweki walikua wanapenda wabeba vyuma mara handsome huku wanapenda hela na akipata vyote anataka mtu anae mpiga miti mpaka anaomba poo ...mm mpaka sasa sijawaelewa huyu binadam hua anataka nn hasa ...akili yake ikoje ndo maana tunaishi nao kwa akili tu.Mwanamke anapenda mwanamme mwenye mvuto , huko kwingine anafata za matumizi , believe me nakwambia , mi Hz mambo nakumbana nazo Sana , ukiwa na mvuto unahtaji visent vidogo tuu vya kung'aa mademu wanashoboka kinoma , wawe wake za watu , au vibinti vya mtaani , nilipataga demu mzuri kinoma mmeru hv Mitaa ya Kibamba , Demu alikuwa anang'aa kinoma , mzuri nice chick ngozi laini aisee,
Kumbe ana pedeshee la mjini , akawa anakuja ofsini kutoa pesa halopesa mana huyo Bwana wake alikuwa anamtumia kupitia halopesa , Leo anatumiwa laki tano kesho laki nne , jamaa anatuma pesa kama maji , cha kushangaza mi demu nikawa namhonga ice cream ya 2000akawa akipika msosi ananiletea ....... Daah nilienjoy Sana
Mi huwa nawachora tuu watu humu wanasema ooh mwanamke anataka pesa , tafuta hela , Hamna kitu , ukiona hvyo jua umeparamia chaka bovu