Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Haji Manara "anachapiwa" Bi. Mdogo?

Ha haa,janja Sana wewe! umechange gia angani,maana wewe Ni mwanaharakati wa kukomesha ombaomba PM
Hapana jamani unanisingizia. Kinachotokea PM always ni siri ya wahusika. Labda sema tu hutaki wageni wenye mikongojo nyumbani kwako. Poa tu haina neno. Na wewe siku moja utazeeka na kuhitaji mkongojo. Dunia ni hii hii hakuna nyingine. Utakwenda wapi mjukuu wangu?
 
Ukute ashakula kiinua mgongo chote sasa amebaki na monthly pension ndo maana anajifanya hapendi kuombwa pm kumbe ni hela hana....
Ukiwa na hela unatamani kuombwa ombwa tu....hela Inawasha me nakwambia
Jamani yamekuwa hayo tena dah!

Ila hela za kiinua mgongo zina majini wallahi maana hata zilivyoisha mpaka leo siamini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom