mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 2,441
- 5,061
usingesoma ungemuelewa mtoa mada kwa kuwa umelishwa ujinga huwez kumuelewa.. Broo nauli laki 2 wamepanda watu sita alafu nauli laki wamepanda watu sitini.. Kwa akili yako ya shulen nan anapata pesa ndefu... Bro juz kat nimepanda air tz toka songea to dar naul laki mbili unusu ndan tulikuwa nane seet zipo 170 mi nimekaa ya 83 imajin anachoongelea mtoa madaHaiwezekani...
Uendeshaji wa ndege una gharama kubwa, anza kwa kutafakari bei ya mafuta ya ndege, kiwango chanlita ambazo ndege huchoma kwa safari inayolingana na basi, gharama za service ya ndege, malipo ya wahudumu, malipo ya kutumia kiwanja cha ndege n.k