Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.
Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.
Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.