Haikuwa sahihi kwa Rais kutaja hadharani sababu ya kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.

Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.

Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
 
wewe uliamini ?
 
Jpm alivyokua anaropoka tuoneshe uliposhauri
 
Wote lao moja ni 2025 hakuna cha utendaji hapo…vurumai lote hili 2025.. wanapangana sababu ya 2025, waliobaki wanautaka na walioondoshwa wanautaka…

Mwenyezi Mungu fundi kweli…huwa anawapiga upofu km waliojenga mnara wababeli anaweka anaetakiwa kilaini zama za kupangana ziliondoka na Nyerere mwenye chama chake inavyoonekana
 
Matokeo ya kubebwabebwa ndo haya, mnakuwa na kiongozi ambaye hawezi kupima athari za kauli zake kwa umma
Kwa mfano hiyo ina athari gani inayoweza ku athiri umma?Yaani umma utaathirikaje hapo kwa mfano?Rais ameona anafanya kazi na watu ndumilakuwili ambao wanapanga mipango ovu dhidi yake unataka afichefiche nini?Waende huko wakafanye hayo maanalizi ya 2025
 
Je mama ana nia ya kusalia madarakani?
Kwa Sasa ni wazi amejionyesha anautaka tena Urais 2025

Kapeleka waziri wa ulinzi mwanamke na sasa atatuletea spika mwanamke

Ni wazi anatamani kuendelea kuwa Rais hata baada ya 2025

Hii inaleta picha mbaya kwamba huenda alimloga Magufuli ili yeye awe Rais
 
Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.

Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.

Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
Alichofanya mama ni sahihi kabisa 100%, kwa sababu wakiendeleza hujuma zao kwa mama sasa hawatakuwa na nguvu kwa vile nia yao Watanzania washaijua lengo lao ni kumkwamisha mama kwenye maendeleo, bora tulivyowajua wajisikie aibu, sisi tunahitaji maendeleo sio mafanikio ya mtu mmoja mmoja akina Job
 
Naunga mkono hoja... inawezekana hiyo kauli ya 2025 ilitumika tu kama sababu ya kuwang'oa hao wafuasi wa JPM ili apange safu yake.
 
Kwa mfano hiyo ina athari gani inayoweza ku athiri umma?Yaani umma utaathirikaje hapo kwa mfano?Rais ameona anafanya kazi na watu ndumilakuwili ambao wanapanga mipango ovu dhidi yake unataka afichefiche nini?Waende huko wakafanye hayo maanalizi ya 2025
Mtu kutaka kugombea urais ndiyo kuwa na nia ovu dhidi ya Rais? Kama ni hivyo ni wapi kwenye katiba imeandikwa hivyo?

Kila mtu ana haki ya kutaka kugombea Uraisi siyo yeye tu

Huyo saambovu ameshanogewa na hicho cheo, kitamtokea puani Watanzania bado hawapo tayari kuongozwa na mwanamke na siyo sehemu ya mazoea na tamaduni zetu

Kama anataka Uraisi kwa nguvu namna hiyo mwambie hapati aende huko kwao kula urojo
 
Kwa mfano hiyo ina athari gani inayoweza ku athiri umma?Yaani umma utaathirikaje hapo kwa mfano?Rais ameona anafanya kazi na watu ndumilakuwili ambao wanapanga mipango ovu dhidi yake unataka afichefiche nini?Waende huko wakafanye hayo maanalizi ya 2025
Athari zipo nyingi, hii si mara ya kwanza baraza linabadilishwa, usibadilishe ukaacha chuki nyuma.

Hivi kuonyesha nia ya kuwaongoza watanzania ni nia ovu? basi hadi lini ndipo unaruhusiwa kuonyesha nia, wiki moja mwezi mmoja kabla ya uchaguzi?
 
Jpm alivyokua anaropoka tuoneshe uliposhauri
Hii ilikuwa Dec 28, 2016 sijui kama tayari ulikuwa member wa JF.

Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.

Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.

Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
Kinara wa tamaa ni Mwigulu,mpaka leo mawe bado yana maandishi
 
Back
Top Bottom