Hahahhaha kuna ukweli hapa?

Hahahhaha kuna ukweli hapa?

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,596
998021_401778706610103_1678196852_n.jpg
Nimeikuta hii kwa Facebook.................. haya mtwambie kama ni kweli tusimalize mapishi yetu yote kumbe twachemsha maji. Muwe na weekend njema
 
Mapenzi hayafungwi plasta my dear. Yaani ukiona tu mambo halijojo, unatoka kabla haujarushiwa virago. Kweli tupu hiyo!
 
Mambo ndivyo sivyo.....chapa lapa mapemaaaaa.Ukisubir mpaka yapelekwe ICU bas inakuwa ngondo.
 
Nadhani hii "sheria" ipo kwa wote wanaume na wanawake...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mmmh.... Yaani ni kweli kabisaa..!
 
Broad generalities never apply to all people at all times.

So I dare say not all men always know who their hearts belong to and same applies to women also.
 
Broad generalities never apply to all people at all times.

So I dare say not all men always know who their hearts belong to and same applies to women also.

senki yuu vere mache.
 
Mapenzi hayafungwi plasta my dear. Yaani ukiona tu mambo halijojo, unatoka kabla haujarushiwa virago. Kweli tupu hiyo!
Ila kwa "monkey style" mtu hafurukuti aisee... Navuta picha siku niliwaona ngedere wakinanihii huko maeneo ya udzungwa...
 
Kuna ka ukweli hapo, waweza zani umependwa kumbe jamaa anatimiza haja zake za kimwili, ila moyo kautua kwa wengine, mwisho wa siku unaachwa soremba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom