monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
Ni kweli hii kanuni ipo kote kote,Nadhani hii "sheria" ipo kwa wote wanaume na wanawake...
Binti we unampa hela weeee,ma vocha unatuma kisa umeambiwa mapenzi pesa kumbe Moyo wake upo kwa jamaa mwingineee anagegeda kiulainiiiii,we mpaka mapesa....kanuni hii ni msumeno....