MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
- Thread starter
- #41
Hahah Fugwe asa kwa nini usiwe mkweli tu mapema kuliko kuendelea kufaidi vya MwanajamiiOne wakati moyo wako uko kwa Smile? Unamwacha MwanajamiiOne anajibinua na kujipindua, kutwa kucha anasakanya style kwenye internet, anahangaika na nyudi kwa ajili ya kujifukiza, anahudhuria vichen pati ili aku'shibishe' vema ufurahi hapo bado hajazamisha kichwa kwenye macookery books hukio.....mwe !Ni kweli, unafanya nani hii wakati mawazo yapo kwa yule unayempenda
Last edited by a moderator: