Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

Hahaha tukipotea humu tusiyafutane😃

Pombe zinaua sana,... watu wamenaswa na kamtego ka kunywa kidogo usilewe... Halafu balaa lake sasa mtu anachafua meza yote
Zitakuaa wewe bwashee kama mbali na pombe kijana
 
Najua kuna kufa , najua changamoto zipo 😃, ila Mimi mlevi nikipotea msinitafute nitarudi mwenyewe tu😃😃😃


Na hii ndio miezi yangu ya kupotea na kupiga pesa , hivyo tusizushiane vifo asee😃😃

Anaetaka msaada hasa wa kifedha awasiliane na seran tu , atanicheki nitakupa Masada bwashee😃
Kupotea kivip?
 
Back
Top Bottom