Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Manji mbembwe zote hajatoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
lakini kwa kwenda mapema zaidi hawajavunja sheria yoyote ya nchi
na hukumu ya kujipeleka polisi kabla ya siku waliyoitwa siyo kuwekwa ndani!
Kumbuka tangazo la Makonda liliwaogopesha, na kisaikolojia kusubiri siku mbili ili ukajue hatma yako ni jambo gumu, kwa maana unatamani uende hata saa hiyohiyo ujue hatma yako!. So mimi nawaelewa Gwajima na Manji, it is just an adrenaline rush ya kuface tatizo!!
Sawa mkuu, lakini kumbuka kuwa hata aina maneno wanayoyasema mbele ya wanahabari kabla ya kwenda kituo cha Polisi kuripoti yanaashiria namna fulani ya jeuri na hii inachangia aina ya treatment wanayoipata toka kwa polisi.
 
Sawa mkuu, lakini kumbuka kuwa hata aina maneno wanayoyasema mbele ya wanahabari kabla ya kwenda kituo cha Polisi kuripoti yanaashiria namna fulani ya jeuri na hii inachangia aina ya treatment wanayoipata toka kwa polisi.

Wema sepetu na wenzake walivyolala polisi walisema maneno gani kabla?

Polisi waliwa mistreat namna gani?

Kwa hiyo unaaminisha dunia kwamba jeshi la polisi ni jeshi la visasi?

Kwanza maneno gani walisema ambayo hayafai au hayana ukweli? Acha upumlbavue wewe, JF siyo shule y aufahamu, nenda kasome. Mnaabisha kweli!
 
Kuchekelea Manji na Gwajima kudhalilishwa kaa sababu tu wanaonekana wajeuri ni ujinga uliopitiliza.
Hakuna sehemu kuwa mjeuri au kujivuna ni kosa kwenye katiba yetu.
Huwezi dhalilisha watu on public media halafu utegemee wakae kimya kwa kuwa wewe ni kiongozi. Hiyo si sawa, si busara. Wafanyakazi wa serikali wamezoea kutukanwa,kuitwa wezi, kudhalilishwa kwa makosa ambayo hawajayafanya wanakaa kimya kwa sababu hawana cha kufanya. Wana familia zao zinazotegemea kazi hizo. Manyanyaso yanavumiliwa. Manji hapewi hela ya kula serikalini, gwajima pia hivyo hawawezi kuwa na uvumilivu wa wafanyakazi wa serikali ambao ajira ikikata wanaishia kudhalilika mjini.

Dhambi ya ubaguzi mbaya sana, tusimbague manji kwa sababu ana rangi tofauti na watanzania wengi,tusimbague gwajima kwa sababu dhehebu lake dogo. Kila mtanz aka anatakiwa ajisikie faraja kuwa mtanzania.

Manyanyaso waliyopewa Manji na Gwajima, yamezoeleka kwa immigrants wakiwa nchi za watu. Sio kwa mtanzania ndani ya nchi yake.

Tofauti kati ya binadamu na mnyama ni utu. Tukikosa utu tunaanza kwa wanyama. Hakuna haja ya kufika huko kisa upigiwe makofi ya kinafki.
Hivi mkuu umewahi kuyasikia maneno ambayo huwa Askofu Gwajima anayasema dhidi ya serikali hata kabla ya sakata hili? Ok kama umewahi kuyasikia au la basi hayo yanachangia sana treatment anayoipata toka kwa vyombo vya dola.
 
Wema sepetu na wenzake walivyolala polisi walisema maneno gani kabla?

Polisi waliwa mistreat namna gani?

Kwa hiyo unaaminisha dunia kwamba jeshi la polisi ni jeshi la visasi?

Kwanza maneno gani walisema ambayo hayafai au hayana ukweli? Acha upumlbavue wewe, JF siyo shule y aufahamu, nenda kasome. Mnaabisha kweli!
A dirty mouth does not utter wisdom, bado tungeweza kujenga mjadala kiungwana bila sababu ya wewe kutukana ok tufunge debate.
 
lakini kwa kwenda mapema zaidi hawajavunja sheria yoyote ya nchi
na hukumu ya kujipeleka polisi kabla ya siku waliyoitwa siyo kuwekwa ndani!
Kumbuka tangazo la Makonda liliwaogopesha, na kisaikolojia kusubiri siku mbili ili ukajue hatma yako ni jambo gumu, kwa maana unatamani uende hata saa hiyohiyo ujue hatma yako!. So mimi nawaelewa Gwajima na Manji, it is just an adrenaline rush ya kuface tatizo!!
Tangazo liliwaogopesha nini na huku waliitwa waje watoe ushirikiano pale kuna categori za watu wengi wapo watumiaji, wapo wabebaji, wapo wanaoweza saidia tu taarifa, wapo wauzaji, wapo wasambazaji sasa mtu kuitwa ukaleta panic kunatia shaka kubwa.
 
Huyo Gwajima kashakuwa Gwiji la central bcz alimtusi pengo na kuitwa huko.alikaa huko mpaka akalazwa na akahutubia kwa machela.
Nahisi bado dosage haipo sawa.huyo ni wakukaa atlist for 3 months akitoka atajua kuwa serikali ni nni.
Hivi kulala locked up 'sero' ni kitu kinachoogopwa sana?!? Mwanaume unayeogopa selo katika harakati za kusaka haki yako basi utakuwa ni tamaluki. Uwe na kosa usiwe nalo inaweza tokea ukalala selo.
Na kulala siku nyingi haijengi adabu, haina uhakika huo. Kama ndio hivyo Lema na Lissu ama majambazi na vibaka wangekuwa hawarudii matendo ya kuwalaza selo
 
ni raia ila wamekosa busara, uvumilivu na wanaleta ujuaji

mimi ningewaweka miezi miwili zaidi

waendelee kuongea
Hayo mamlaka ya kumuwekea mtu miezi miwili ungeyatoa wapi? Kwa sauti ya mkuru "Waberoya wish could be an IGP or Siro"
Hapo ingekuwa wewe umekosa busara uvumilivu na kuleta ujuaji.
Kuna sheria na taratibu za kumsweka raia ndani. Hatuwaweki kwa sababu ya [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Nlidhan mna akili kumbw mtoa post na baadh ya wachangiaj wte vlaza na nahic ni wadada maana wadada ndio wambea na wanafki kutwa kukaa vibarazan kumjadili mtu alokupta ki maendeleo...mnahis mtatajirika kwa kumchukia tajir au kumfilisi....fanyen mamb ya kiume
Nahisi wewe ndo hujui ni sheria ipi inayo kupa mamlaka kumshikilia mtuhumiwa zaidi ya siku 4 bila kumpeleka mahakamani kama anahatia nyie ndo majuha msio jua sheria mnaongelea hisia zenu bila kuangalia uhalisia.
 
Ujuaji na ujuha usio na mpango umewakosti mch Gwajima na tajiri wetu Bwans Manji.

Baada ya kuwa wametajwa kwenye list ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya na kumjia juu mh. Makonda kwa kitendo chake cha kuwataja watuhumiwa hao jambo ambalo limezua mjadala mpana nchini.

Binafsi baada ya hawa watu kuwa wametajwa na wakaja juu kwa kudai hawakutendewa haki na mh. Makonda kuwa amefanya kosa kuwataja hadharani huku akiwa hana uthibitisho nao walirudia makosa yale yale kwenda polisi kwa shari siku moja kabla ya tarehe ya kulipoti binafsi siku hiyo nilisema kwenye baadhi ya comments zangu nikiwaomba polisi kwanza wawatie ndani na kama polis walinisikia wakatiwa nguvuni.

Leo katika kujipata na kutoa lugha za ajabu utadhani siyo mtumishi wa Mungu nimemsikia mch. Gwajima akiapa kesho kurudi polisi eti akawatetee wale waliobaki wakishikiriwa akiwemo MANJI sasa kwa taarifa ya jioni mwenziwe manji kazimia naye naomba kesho ajipeleke tuone kama atarudi hapo ufufuo na uzima.

Upuuzi wa hali ya juu ni juu ya watu wanaotumia chuki binafsi kumuandama mh. Mkonda kwa chuki binafsi naomba Mungu amrehe na laana na mapepo aliyotumiwa na mch. Gwajima yamuepuke na kumwingia aliyemwombea adui yake mabaya.

Mwisho ninachoona kwa watanzania mnachezeshwa ngoma msiyo ijua, bunge kumshupalia makonda msione kitu cha ajabu kisa na mkasa ametaja majina ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya ni upuuzi mtupu. Tuhuma za ufisadi dhidi ya makonda zilingoja aanzishe hii vita ndiyo ziibuke? Ashukriwe mh. Rais wangu kwa kuonesha uzalendo na kuunga mkono vita hii bunge lisikutishe ni kama mwananchi wa kawaida nategemea kuona bunge likipambana na uhalifu siyo kusaport ujinga km wanavyofanya kwa kisingizio cha heshima ya bunge.

Mh. Mbowe asipo ripoti polis kama tia ndani tena ijumaa jioni tutamtoa jumatatu mahakamani.

ViVa Magufuri ViVa Makonda....! Go!Go! Go! No turning back.
Mnavyoshabaikia!!!! Imagine ni wewe umetajwa, halafu unawekwa ndani bila kupelekwa mahakamani, hadi unapata stress unapelekwa hospitali halafu baadaye unaachiwa!!!! Sheria inasemaje? Watu wanachodai hapa ni kufuata utawala wa sheria. Hata hao watuhumia pia wamedai hicho kwamba "Sheria haikufuatwa". Wengine tunasubiri sinema iishe. Yetu macho.
 
Sawa mkuu, lakini kumbuka kuwa hata aina maneno wanayoyasema mbele ya wanahabari kabla ya kwenda kituo cha Polisi kuripoti yanaashiria namna fulani ya jeuri na hii inachangia aina ya treatment wanayoipata toka kwa polisi.

Kinacho takiwa ni kufuatwa kwa utaratibu na Sheria ,habari ya kusema ni wajeuri au wanayo majivuno huo ni wivu wa kike.Ni mambo ya ajabu sana Serikal nzima inatunishiana misuli na Raia wake..Siku yanayokea ya kutokea mnatarajia kupata ushirikiano kweli ?..Acheni kutengenneza uadui hata pasipo faa kufanya hivyo.
 
ni raia ila wamekosa busara, uvumilivu na wanaleta ujuaji

mimi ningewaweka miezi miwili zaidi

waendelee kuongea

Busara ipi Mkuu? Busara alikosa Makonda Kwa kuwatuhum watu hadharani tangu jumatano halafu unawaambia waripot kituon ijumaa.
Alitegemea baada ya kuhusishwa na tuhuma hizo nzito wataishije mpaka kufikia hiyo ijumaa?. Mkuu kisaikolojia makonda alikosa busara kabisa.
 
Nimesikiliza hotuba ya Magufuli .... haki ya mama jamaa yuko serious. Hana mzaha

Sio kwamba yupo serious.
Angekuwa serious hiyo vita angeianzisha yeye , kinachokufanya umuone yupo serious ni tabia yake ya kutaka aonekane hivyo lakin in reality hayupo serious na hajui anachokifanya.
Unawakumbuka samaki wa Magufuli?
 
Biashara ya madawa ya kulevya ni sawa na kazi ya ujangili kule porini. Unapo ingia kichwa kichwa kwa kutafuta sifa za uongozi au kutaka kukomoa watu ukifikiri una deal na walimu wa shule za msingi unaweza kushangaa kama sio ukoo wako kupuputika basi ni wewe na familia yako. Hii habari ya Makonda kutaja taja majina ya watu na sisi wengine wa pembeni tuna baki kushangilia inaweza kuleta madhara makubwa kuliko hata madhara yaletwayo na madawa yenyewe. Kama Makonda anapitia humu, Ushauli wangu kwake ni kuviachia vyombo vya usalama kazi hii. Vinginevyo akubali kuishi kama popo, Kila anapo kwenda awe na walinzi hata nje ya nchi, Kila anacho kula hakikisha kina pimwa, ndugu zake awape ulinzi. Na kama atakuwa na uwezo wa kufanya hivyo basi ajitwishe msalaba, Vinginevyo ndoto zake zitaishia kitandani tu. Inshallah.
 
Tanzania ya leo ambayo wewe una-enjoy vitu vingi unajua ilijengwa vipi?. Kuna watu huko nyuma walijifanya viherehere wakaishia kupoteza maisha ndo ikapatikana hii Tanzania.
 
Back
Top Bottom