Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,612
- 17,647
Hivi na Zacharia Hanspope alitoa kauli ipi ?
Mbona hiyo kauli hakutoa Manji ?
Mbona hiyo kauli hakutoa Manji ?
ni kweli kakurupuka mtoa madaMkuu Kauli hiyo aliitoa hans pop yule wa simba alikuwa anamwambia wazir wa miundo mbinu mh magufuli.
Kwaio umefurah sanaUjuaji na ujuha usio na mpango umewakosti mch Gwajima na tajiri wetu Bwans Manji.
Baada ya kuwa wametajwa kwenye list ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya na kumjia juu mh. Makonda kwa kitendo chake cha kuwataja watuhumiwa hao jambo ambalo limezua mjadala mpana nchini.
Binafsi baada ya hawa watu kuwa wametajwa na wakaja juu kwa kudai hawakutendewa haki na mh. Makonda kuwa amefanya kosa kuwataja hadharani huku akiwa hana uthibitisho nao walirudia makosa yale yale kwenda polisi kwa shari siku moja kabla ya tarehe ya kulipoti binafsi siku hiyo nilisema kwenye baadhi ya comments zangu nikiwaomba polisi kwanza wawatie ndani na kama polis walinisikia wakatiwa nguvuni.
Leo katika kujipata na kutoa lugha za ajabu utadhani siyo mtumishi wa Mungu nimemsikia mch. Gwajima akiapa kesho kurudi polisi eti akawatetee wale waliobaki wakishikiriwa akiwemo MANJI sasa kwa taarifa ya jioni mwenziwe manji kazimia naye naomba kesho ajipeleke tuone kama atarudi hapo ufufuo na uzima.
Upuuzi wa hali ya juu ni juu ya watu wanaotumia chuki binafsi kumuandama mh. Mkonda kwa chuki binafsi naomba Mungu amrehe na laana na mapepo aliyotumiwa na mch. Gwajima yamuepuke na kumwingia aliyemwombea adui yake mabaya.
Mwisho ninachoona kwa watanzania mnachezeshwa ngoma msiyo ijua, bunge kumshupalia makonda msione kitu cha ajabu kisa na mkasa ametaja majina ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya ni upuuzi mtupu. Tuhuma za ufisadi dhidi ya makonda zilingoja aanzishe hii vita ndiyo ziibuke? Ashukriwe mh. Rais wangu kwa kuonesha uzalendo na kuunga mkono vita hii bunge lisikutishe ni kama mwananchi wa kawaida nategemea kuona bunge likipambana na uhalifu siyo kusaport ujinga km wanavyofanya kwa kisingizio cha heshima ya bunge.
Mh. Mbowe asipo ripoti polis kama tia ndani tena ijumaa jioni tutamtoa jumatatu mahakamani.
ViVa Magufuri ViVa Makonda....! Go!Go! Go! No turning back.
Mbona unajaa ges!!! mkuu we hujiuliz kwann yeye kaitwa na MO hajaitwa think more .Acha ushabiki wa kijinga uwahi ona akitumia
That's hw succesfull governments works.Marekan inayo guantanamo bay& nyerere vs abdul jumbe.Hayo mamlaka ya kumuwekea mtu miezi miwili ungeyatoa wapi? Kwa sauti ya mkuru "Waberoya wish could be an IGP or Siro"
Hapo ingekuwa wewe umekosa busara uvumilivu na kuleta ujuaji.
Kuna sheria na taratibu za kumsweka raia ndani. Hatuwaweki kwa sababu ya [emoji36] [emoji36] [emoji36]
Ndio maana alitahadharisha kwamba yy atabaki kwenye media akijadiliwa, pole yake. [emoji1]nainukuu " siongei na Mbwa bali naongea na mwenye Mbwa? " Naomba niishie hapa tafadhali.
NAONA umediverge issue ya ngada na umehamia kwenye siasa za upinzani. Sasa acha tujadili siasa solvent.That's hw succesfull governments works.Marekan inayo guantanamo bay& nyerere vs abdul jumbe.
Kuna wachache kutokana na nguvu zao watataka kubishana na serikali bila mantiki.
Kazi ya upinzan ni kuifanya serikali iwe 0% hata kama inayo 80%.kumbuka rais JK alivyokuwa anasemwa vibaya mpaka wapinzan kumuita rais mdhaifu.
Magufuli is energetic, hawez kukubal aonekane 0% Kwa maneno ya hovyo.Mtu akileta ujinga na serikali anakaa ndan kama Lema.Lema anazifanya halmashaur za ARUSHA kuwa 0% wakati syo kweli na ndio anakaa ndani.Rais lazima achunge ndimi ya mwanasiasa.
Marekani wao hawahangaiki na kuwanyanyasa Raia wake hata wale wageni wanaofukuzwa na Tramp wameamua kuwatetea bila uoga ni tofauti na Tanzania ambapo Mkulu akitoa Amri inakuwa ni Amri toka mbinguni kwa Mungu haipingwi wala kukosolewa na sasa yupo mtoto wa Mungu makonda amegeuka kutaka aabudiwe anatumia mbinu analogia kutaja majina kienyeji matokeo yake wauza unga olijino wengi wamahama Nchi na waliopo Tanzania wameficha ushahidi huku yy mwenyewe akilala gheto kwa masogange muuza unga sugu.NAONA umediverge issue ya ngada na umehamia kwenye siasa za upinzani. Sasa acha tujadili siasa solvent.
Kuswekwa ndani mtu kwa sababu tu anaongea kwa sababu tu ni mpinzani sio njia ya kuirahisishia serikali kuleta maendeleo eneo husika. Ni kuyachelewesha hayo maendeleo.
MAREKANI kuke nguantanamo hawasweki wapinzani wa kisiasa ndani. Tusijilinganishe sisi na wamerekani, kabisa hakuna mlinganyo. Tuongee ya kwetu hapa.
hujui unachokishabikiaUjuaji na ujuha usio na mpango umewakosti mch Gwajima na tajiri wetu Bwans Manji.
Baada ya kuwa wametajwa kwenye list ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya na kumjia juu mh. Makonda kwa kitendo chake cha kuwataja watuhumiwa hao jambo ambalo limezua mjadala mpana nchini.
Binafsi baada ya hawa watu kuwa wametajwa na wakaja juu kwa kudai hawakutendewa haki na mh. Makonda kuwa amefanya kosa kuwataja hadharani huku akiwa hana uthibitisho nao walirudia makosa yale yale kwenda polisi kwa shari siku moja kabla ya tarehe ya kulipoti binafsi siku hiyo nilisema kwenye baadhi ya comments zangu nikiwaomba polisi kwanza wawatie ndani na kama polis walinisikia wakatiwa nguvuni.
Leo katika kujipata na kutoa lugha za ajabu utadhani siyo mtumishi wa Mungu nimemsikia mch. Gwajima akiapa kesho kurudi polisi eti akawatetee wale waliobaki wakishikiriwa akiwemo MANJI sasa kwa taarifa ya jioni mwenziwe manji kazimia naye naomba kesho ajipeleke tuone kama atarudi hapo ufufuo na uzima.
Upuuzi wa hali ya juu ni juu ya watu wanaotumia chuki binafsi kumuandama mh. Mkonda kwa chuki binafsi naomba Mungu amrehe na laana na mapepo aliyotumiwa na mch. Gwajima yamuepuke na kumwingia aliyemwombea adui yake mabaya.
Mwisho ninachoona kwa watanzania mnachezeshwa ngoma msiyo ijua, bunge kumshupalia makonda msione kitu cha ajabu kisa na mkasa ametaja majina ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya ni upuuzi mtupu. Tuhuma za ufisadi dhidi ya makonda zilingoja aanzishe hii vita ndiyo ziibuke? Ashukriwe mh. Rais wangu kwa kuonesha uzalendo na kuunga mkono vita hii bunge lisikutishe ni kama mwananchi wa kawaida nategemea kuona bunge likipambana na uhalifu siyo kusaport ujinga km wanavyofanya kwa kisingizio cha heshima ya bunge.
Mh. Mbowe asipo ripoti polis kama tia ndani tena ijumaa jioni tutamtoa jumatatu mahakamani.
ViVa Magufuri ViVa Makonda....! Go!Go! Go! No turning back.
Sawa sawa walivyotiwa jela hata ktk ukoo kuna kiongozi wa ukoo,na ndo haya ktk serikali kuna viongozi lzm tuwe na nidhamu kwao kwa kuwa hakuna unachopungukiwa ukitii,sasa kuleta kiburi kujifanya ujuaji kisa una kiwanda cha mikate kuleta tambo nawe uonekane unaivimbia mamlaka matokeo yake ndo hayo,wangeweka japo wiki 2 watie adabu.Manji, Gwajima ni raia wa nchi hii, kama kwa dhati tunaheshimu katiba, hatupaswi kuwaonea!
Ilikuwa ni rahisi tu, kuwaambia leo hatutawasikiliza njooni kesho basi na mambo yakesha, sasa kuwatunishia misuli yafaa nini?
dunia ishakuwa na wababe kina Nebukadneza, Farao, Hiter, Saddam, Ghadafi, Leo wako wapi?
staring makondamovie na iendelee staring.........
wewe una kampuni ngapi??? njaa tupu na wivu tu umekujaa kichwaniTatizo wako na dharau sana! Manji kaenda na mkwara alidhani India hapa pole yake, mara ana makampuni sijui 100 who cares???