Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Hadi leo Manji bado ameshikiliwa na Polisi

Hawakufanya kosa sababu ukimsikia Jamaa alisema hata wakiweza kabla ya ijumaa waende.
 
Wewe kwa ujinga ulidhani wanahojiana kwa mambo ya familia?? Ebu tumia ata ujinga ulionao maana utakuwa juu ya upumbavu kufikiria juu criminal investigation, waliitwa watu wa kusaidia taarifa, wauzaji, watumiaji, waingizaji, suppliers na wa wawezeshaji. Fikiria pia juu ya ni kipi alichunguzwa mch. Gwajima.

Hivi uko shule ulionda kusomea ujinga? Baada ya yote waliopitia wamekutwa na nini? Acheni ujinga wa kukurupuka.
 
Na wanaosha magari kabsa na kwaya juu kituoni
Waliitwa kwa njia ya TV na radio lazima wasindikizwe na gari haikuoshwa ilikuwa ikipanguswa vumbi tu, Wivu na chuki binafsi sasa umepenyezwa kwenye oparation kila kitu kitaonekana hovyo.
 
Makonda ana Chuki na wivu mkubwa kaamua kuwakomoa baadhi ya watu kupitia mgongo wa vita ya madawa ya kulevya.
 
Hivi kulala locked up 'sero' ni kitu kinachoogopwa sana?!? Mwanaume unayeogopa selo katika harakati za kusaka haki yako basi utakuwa ni tamaluki. Uwe na kosa usiwe nalo inaweza tokea ukalala selo.
Na kulala siku nyingi haijengi adabu, haina uhakika huo. Kama ndio hivyo Lema na Lissu ama majambazi na vibaka wangekuwa hawarudii matendo ya kuwalaza selo
Hio ni tabia ya mwanadamu kurudia kosa.
But ukiona karudia unatakiwa uumpe adhabu ya juu zaid.
Usizidharau selo bcz bila hizo tusingish dunian, dunia ingekuwa sehemu ya maovu kuliko nw.
 
..Nahisi bado dosage haipo sawa.huyo ni wakukaa atlist for 3 months akitoka atajua kuwa serikali ni nni.

Siku baba yako (kama bado yupo) akitiwa ndani kwa at-least 3 months kwa ''kuhisiwa tu'' ndo utajua kwa nini Mende wanapenda sana kukaa chooni.
 
Manji, Gwajima ni raia wa nchi hii, kama kwa dhati tunaheshimu katiba, hatupaswi kuwaonea!
Ilikuwa ni rahisi tu, kuwaambia leo hatutawasikiliza njooni kesho basi na mambo yakesha, sasa kuwatunishia misuli yafaa nini?
dunia ishakuwa na wababe kina Nebukadneza, Farao, Hiter, Saddam, Ghadafi, Leo wako wapi?
Tusubiri usidhani makonda atapona kwa hili, muda utaongea
 
Mkuu Kauli hiyo aliitoa hans pop yule wa simba alikuwa anamwambia wazir wa miundo mbinu mh magufuli.
 
Back
Top Bottom